Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Bata batani pande za Mbeya 👇
Acha kujaza sever na kuchagua Uzi,Leta nyumba sio shelterHizo nyumba zako za kijiji Cha mbeya zinapatika huko bukoba vijijini Tena ndani ndani hukoView attachment 1938870View attachment 1938871View attachment 1938872View attachment 1938873View attachment 1938874
Walikagua lini wakati mwendazake alipayuka tuu kama alivyofanya kwa Dom..Hakuna procedures zilifanyika na endapo procedures zingefanyika ungeona na miji mingine imepewa hadhi stahiki..Hivi wataalamu wemeshaenda kukagua njombe ili kujiridhisha kama imegikia hadhi ya manispaa maana kahama walikaguliwa na wakatangazwa bungeni na ilikuwa kahama kibaha na geita japo kuwa nzega waliomba ila baada ya ukaguzi hawakukidhi vigezo pia kahama ilishawahi kutangazwa manispaa toka 2014 ila magumashi yakafanyika hati hawakuifata figusu mkoani ndio maana magufuli akaitangaza halafu hati baadae
Ila ujue miji iliyotangazwa bungeni ilikuwa mitatu kahama kibaha na geita sasa kahama tayari bado hio 2 na ishu ni budget ya kuanzisha miji mipya ila kama vigezo vya makusanyo njombe mnakidhi labda hivyo vingineWalikagua lini wakati mwendazake alipayuka tuu kama alivyofanya kwa Dom..Hakuna procedures zilifanyika na endapo procedures zingefanyika ungeona na miji mingine imepewa hadhi stahiki..
Njombe tutatangazwa kadiri ya procedures vigezo viko tayari ni suala la muda tuu.
Kahama haikutangazwa bungeni kuwa Municipal ilitangzwa on the sport na Magufuli kwa alifurahishwa utendaji wa Mkurugenzi..So the true Municipal is yet to be found😊😊Hivi wataalamu wemeshaenda kukagua njombe ili kujiridhisha kama imegikia hadhi ya manispaa maana kahama walikaguliwa na wakatangazwa bungeni na ilikuwa kahama kibaha na geita japo kuwa nzega waliomba ila baada ya ukaguzi hawakukidhi vigezo pia kahama ilishawahi kutangazwa manispaa toka 2014 ila magumashi yakafanyika hati hawakuifata figusu mkoani ndio maana magufuli akaitangaza halafu hati baadae
We jamaa wa mwisho kabisa,hivi hauangalii hata takwimu,kuanzia mapato na kila kitu...njombe inakuzwa na wenyeji wake,kahama inakuzwa na wahamia...unadhani upi ni mji consistency,mzee hiyo mitaji unayowaona nayo wakinga maeneo yeyote wameanzia njombe,sasa kahama kuna wakina nani matajiri wakubwa wapo dar wanavimba,lakini kingine njombe ina vyanzo vingi vya mapato kulinganisha na baadhi ya wilaya nyingi...na sio mbao tu.Shinyanga-Mwanza ni mbali sana wewe mtu wa Njombe una matatizo.
.
Ona una ndoto mfu tena kwamba Njombe baada ya miaka 10-15 itazipita Iringa na Songea hivi hao watu wa Iringa watakuwa wamelala tu?
.
Njombe inaweza kuipita Lindi ila sio Iringa na Songea
Kahama na Ilemela zilifikiliwa kuwa Municipal kabla ya Njombe kuwa MkoaWalikagua lini wakati mwendazake alipayuka tuu kama alivyofanya kwa Dom..Hakuna procedures zilifanyika na endapo procedures zingefanyika ungeona na miji mingine imepewa hadhi stahiki..
Njombe tutatangazwa kadiri ya procedures vigezo viko tayari ni suala la muda tuu.
Historia haina nafasi saizi,Kwa hiyo imeingia kuisaidia Kahama kushindana na Njombe au? 😄😄Kahama na Ilemela zilifikiliwa kuwa Municipal kabla ya Njombe kuwa Mkoa
Haina hata vigezo,Mji mzima una kabarabara kamoja,eti Manispaa huu upuuzi tu wa yule dhalimu kupendelea Kanda ya kwao.Kahama haikutangazwa bungeni kuwa Municipal ilitangzwa on the sport na Magufuli kwa alifurahishwa utendaji wa Mkurugenzi..So the true Municipal is yet to be found😊😊
Hivyo vingine vipi? Kigezo kikuu ni kuwa na Makao Makuu ya Mkoa au Wilaya,mapato tayari,kila kitu kipo kuanzia viwanda hadi idadi ya watu.Ila ujue miji iliyotangazwa bungeni ilikuwa mitatu kahama kibaha na geita sasa kahama tayari bado hio 2 na ishu ni budget ya kuanzisha miji mipya ila kama vigezo vya makusanyo njombe mnakidhi labda hivyo vingine
Kijiji cha njombe kiwe manispaa?!! Acha utani basi.Hivyo vingine vipi? Kigezo kikuu ni kuwa na Makao Makuu ya Mkoa au Wilaya,mapato tayari,kila kitu kipo kuanzia viwanda hadi idadi ya watu.
Ni hivi Njombe tunafuata procedure za serikali hatua kwa hatua kama inavyotakiwa,siku serikali ikiwa na fedha za kuanzisha hayo maeneo mapya ya kiutawala,Miji mingi tuu ikiwemo Njombe itapandishwa hadhi kuwa Manispaa..
Ujue kuna privilege tunakosa kwa kutokuwa Manispaa
Mara tatu Rais inakuja kanda ya ziwa wakati huohuo wala hajafikiri kuja kusini, vipi hapo Mama anapendelea labda? Make yeye ni Kanda ya ziwa, Pwani na Zanzibar tu.Haina hata vigezo,Mji mzima una kabarabara kamoja,eti Manispaa huu upuuzi tu wa yule dhalimu kupendelea Kanda ya kwao.
We jamaa wa mwisho kabisa,hivi hauangalii hata takwimu,kuanzia mapato na kila kitu...njombe inakuzwa na wenyeji wake,kahama inakuzwa na wahamia...unadhani upi ni mji consistency,mzee hiyo mitaji unayowaona nayo wakinga maeneo yeyote wameanzia njombe,sasa kahama kuna wakina nani matajiri wakubwa wapo dar wanavimba,lakini kingine njombe ina vyanzo vingi vya mapato kulinganisha na baadhi ya wilaya nyingi...na sio mbao tu.
Huu ndo ufala wa serikali zenu dhalimu hasa ile hawamu ya nne ilikuwa inataka kuangamiza kanda ya ziwa, kahama inachangia kwa kiasi gani pato la taifa lakini ushenzi wa ubaguzi dhidi ya kanda ya ziwa leo hii ata barabara za maana tu hakuna, kiukweli kahama ilitakiwa kuwa kama Jo'berg.Haina hata vigezo,Mji mzima una kabarabara kamoja,eti Manispaa huu upuuzi tu wa yule dhalimu kupendelea Kanda ya kwao.
Dhalimu alikuwa Waziri wa Ujenzi miaka yote awamu ya 4,akawa Rais kwa nini hakujenga?Huu ndo ufala wa serikali zenu dhalimu hasa ile hawamu ya nne ilikuwa inataka kuangamiza kanda ya ziwa, kahama inachangia kwa kiasi gani pato la taifa lakini ushenzi wa ubaguzi dhidi ya kanda ya ziwa leo hii ata barabara za maana tu hakuna, kiukweli kahama ilitakiwa kuwa kama Jo'berg.
Mara tatu Rais inakuja kanda ya ziwa wakati huohuo wala hajafikiri kuja kusini, vipi hapo Mama anapendelea labda? Make yeye ni Kanda ya ziwa, Pwani na Zanzibar tu.
Mzee mwenzangu hiyo migodi inaingiza shilingi ngapi kwa mwaka?Dhalimu alikuwa Waziri wa Ujenzi miaka yote awamu ya 4,akawa Rais kwa nini hakujenga?
We unazeeka vibaya,weka basi Takwimu ambazo Kahama inachangia kwenye Pato la Taifa.Jibu ni kwamba Kahama yako ni insignificant kwenye Nchi.
Nilishakujibu mara nyingi tuu sehemu kama huko lake zone ni zenye matatizo lukuki na ni Kanda ya nyumbu sasa ukitaka ulaji unawaweka Kati nyumbu..Mara tatu Rais inakuja kanda ya ziwa wakati huohuo wala hajafikiri kuja kusini, vipi hapo Mama anapendelea labda? Make yeye ni Kanda ya ziwa, Pwani na Zanzibar tu.
Nitaka radhi kwanza Niko kwenye 30's mimi sio Mzee..Mzee mwenzangu hiyo migodi inaingiza shilingi ngapi kwa mwaka?
Nitaka radhi kwanza Niko kwenye 30's mimi sio Mzee..
Migodi mingapi,si uko mmja,sasa mgodi 1 ndio nini kwenye uchumi?