Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Huyu mshikaji nimegundua nut ya kwenye cerebrum imelegea sio bure, ana post vijihotel vya ajabu ajabu et anasema kanda ya ziwa hazipo na vigorofa vyenyewe ni kama vijumba vya igogo huko bugarika 😂😂😂
Enjoy ,this is Mbeya City 👇

Screenshot_20210914-223054.png


Screenshot_20210914-222201.png


Screenshot_20210914-222138.png


Screenshot_20210914-221922.png


Screenshot_20210914-221715.png


Screenshot_20210914-221648.png


Screenshot_20210914-221633.png


Screenshot_20210914-221537.png


Screenshot_20210914-221422.png


Screenshot_20210914-221343.png


Screenshot_20210914-221159.png


Screenshot_20210914-221059.png


Screenshot_20210914-221031.png


Screenshot_20210914-220040.png
 
Hiyo mbeya ikashindane na singida ata kahama hamtaiweza kama hiyo ndo mbeya basi aliyeipa hadhi ya jiji alikuwa katoka kulishwa maparachichi ya njombe.
 
Hizi ndio real estate 😂😂😂 hizi nyumbani za kuishi watu wakawaida sana karibu Buswelu ujione sitaki nikushindanishe na maeneo makubwa kama Capripoint, bwiru au isamilo hizo picha ni nyumba za watu wa buswelu na Nyamadoke.
 
Hizi ndio real estate 😂😂😂 hizi nyumbani za kuishi watu wakawaida sana karibu Buswelu ujione sitaki nikushindanishe na maeneo makubwa kama Capripoint, bwiru au isamilo hizo picha ni nyumba za watu wa buswelu na Nyamadoke.
Weka picha acha maneno
 
Hizi ndio real estate hizi nyumbani za kuishi watu wakawaida sana karibu Buswelu ujione sitaki nikushindanishe na maeneo makubwa kama Capripoint, bwiru au isamilo hizo picha ni nyumba za watu wa buswelu na Nyamadoke.
Hizo nyumba anazopost zinaachwa mbali mno na magheto ya mwananchi.
 
Back
Top Bottom