Kahama VS Njombe/Mafinga

Ila hizo nyumba zenu ntakuwa mnapata shida sana maana hayo mawe na vilima sijui hata raha ya nyumba na maisha iko wapi kwa staili hiyo ..
Sio kila miji ifanane hiyo ndo unique ya jiji la Mwanza na miji mingine ya Afrika.Mwanza ina undugu na Rio de janeiro kimuonekano na kimakazi kwa hapa duniani.
 
Hizo ni picha za hotel zetu na hapo nje kuna gari la shirika acha kuzingua baharia huko hakuna kitu, nyie endeleni kulima parachichi tu.
Usiwe mjinga ,magari ya shirika hayawezi kuwepo nyumbani? Nitakuja na hotel saizi nakuja na houses kali tuu kutoka Mbeya City πŸ‘‡















 
Hapo hamna kitu ni viota hivyo nakuambia ukweli subiri uzi unaofuata ni mbeya city vs Singida town coming soon.
Nyumba za katoro na bukoba vijijini huko ndo unalingia hapa kwamba ndo nyumba kali za mbeya
 
Hao wamekuja kula posho tuu,sijui kuna nini cha kujifunza huko ..

Kwa mfano sisi Njombe tuko busy na kilimo cha kisasa tuje Kahama kujifunza nini hasa?
Mtakaa hivyohivyo na ubishi wenu wa njombe lakini kahama wamejipanga kila siku wanabuni miradi mipya kuongoza mapato na nyinyi mnakaa kubisha hao waliokuja kujifunza utashangaa watapaa kiuchumi na kuwa manispaa halafu mbaki na ubishi wenu
 
Mtakaa hivyohivyo na ubishi wenu wa njombe lakini kahama wamejipanga kila siku wanabuni miradi mipya kuongoza mapato na nyinyi mnakaa kubisha hao waliokuja kujifunza utashangaa watapaa kiuchumi na kuwa manispaa halafu mbaki na ubishi wenu
Wewe kenge unajua nini? Njombe hatuna cha kujifunza huko machimboni ,sisi tuna projects zetu za kilimo cha kisasa na kuongeza thamani ya Mazao ya kilimo na misitu..

Mapato ya Njombe na Kahama ni 7.5b vs 7.9b respectively,,na mwaka huu tunawakalisha..

Kwenye mapato hakuna kitu mtatufundisha tumetoka 3.5 bln 2018/19 hadi 7.5 b 2020/21 ,Kawafundisheni Bukoba village town huko ..

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…