Kahama VS Njombe/Mafinga

Soma vizuri hiyo makala usi panic ndo ulinganishe na hicho usijue ni kiwanda kimoj
Soma makala hiyo ndo ujue makambako wamejenga viwanda vingapi sio kimoja Kama mwanza makambako vpo vinne
 
Kama umefika bukoba utakuwa unapafahamu Rwamishenye. Sasa jamaa kaingia Google Earth kaona bukoba ilivyojengeka Kule city center kaamua alete Rwamishenye km Kama tano kutoka mjini
City centre au town centre
 
Kusini sio kwa kusahaulika huko! Hadi kwenye movie ya Mh Rais mmesahaulika!! Shida hakuna location nzuri na Rais ana mzio na vumbi.
 
Kusini sio kwa kusahaulika huko! Hadi kwenye movie ya Mh Rais mmesahaulika!! Shida hakuna location nzuri na Rais ana mzio na vumbi.
Kama kumesahaulika nionyesha barabara kama hii hapo poverty zone yote ya Kanda ya ZiwaπŸ‘‡



 
Hakuna kitu hapo ndo maana hata Rais hakutaka kuja kurekodia movie yako huko
Huko kwenu alikuja kurekodi nini? Yale makalio mliyokuwa mnatikisa wakati mnadanganywa na mambo ya machifu au? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…