Kahama VS Njombe/Mafinga

Nabishana na popoma mwenye udumavu wa akili .hebu Soma taarifa yako vzr.

Hiyo ndo GDP ya mkoa?!!!


Eti civil engineer



Una matatizo makubwa sana
Kwa hiyo hutaki au? Nimeweka hapo taarifa umeona top 10 ya GDP Kagera imo? Au mpaka nikupangie in ascending order huwezi kuchambua Takwimu?

Huna akili unachoweza ni kubishana.
 
Kwa hiyo hutaki au? Nimeweka hapo taarifa umeona top 10 ya GDP Kagera imo? Au mpaka nikupangie in ascending order huwezi kuchambua Takwimu?

Huna akili unachoweza ni kubishana.
Karudi usome vzr maana ya GDP na GDP per Capita
 
Nadhani reasoning yako ni ndogo,ukiwa unaishi Morogoro inakufanya usiwese kufahamu Dar au Dodoma?

Kuna watu wanatembea kuzidi wahandisi, wafanyabiashara na madereva?
We Baki na takwimu zako

But mwanza ndo jiji la pili kwa ukubwa,watu na maendeleo nchini Tanzania
 
Kweli wewe ni mburula,nasema hivi both GDP per Capita na GDP as a whole , Takwimu zote Kagera inasugua matako,kama huwezi kuchambua hayo ni matatizo yako binafsi.
We jamaa utakuwa mfupi,mweusi halafu popoma mwenye udumavu
 
Onyesha dual carriage road hapo Jiji uchwara la Mwanza,hayo mengine hayatasaidia kubadili umaskini wa huko kwenu..
Akili huna. Kwa hiyo dual carriage ndo maendeleo pekee unayoona ya maana Sana



Hiv huko kusini Kuna hata passenger bridge hata moja

Mwanza ziko mbili Tena kubwa
 
Akili huna. Kwa hiyo dual carriage ndo maendeleo pekee unayoona ya maana Sana



Hiv huko kusini Kuna hata passenger bridge hata moja

Mwanza ziko mbili Tena kubwa
πŸ˜πŸ˜πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Kumbe nini? Taja Jiji lolote unalolijua wewe halina miundombinu ya kisasa?

😝😝😝😝😝 Kumbe sio maendeleo,haya tuoneshe maendeleo.. Yaani nimecheka hadi kupaliwa..Arusha,Dar,Dom hadi Swax kote kuna barabara zenye hadhi isipokuwa City uchwara ya Mwanza.

Nadhani sasa umeeelewa ila unajilaza tuu πŸ˜ͺπŸ˜ͺ..kubali hicho ni kimji uchwara na cha kishamba Sana..
 
Turudi kwa Wazamini Sumbawanga kupiga nyundo za utosi Bukoba fishing village..

Mitaani πŸ‘‡

















 
Mtu mfupi wa njombe
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ€£πŸ€£ Sio mimi ila ni wakaazi wa Jiji la pili kwa ukubwa na maendeleo Tzn πŸƒπŸƒ..

Mjumbe hauwawi πŸ‘‡πŸ‘‡



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…