Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,927
Sitaki hadithi nataka data official na hizo officials zilizoko kwenye website ya Tamisemi ndio nilikuwekea hapo.Kwa kuongezea umy mwalimu alisema kahama MC wamekusanya 9bilion point 6 fuatilia hotuba yake akiwahutubia wakuu wa mikoa hivyo kwa mapato njombe watasubiri sana kwa kahama nisawa na fisi anaesubiri mkono wa binadamu anapotembea utanyofoka aokote
Fursa zipo huku πKahama weeeehhhh, migodi ya dhahabu ni bonus tu. Kahama yenyewe kama Kahama ni fursa.
Sisi Njombe tunawekeza kwenye vitu vyenye kuongeza value ya Mazao ya wakulima na shughuli za misitu ..Tunawekeza kwenye ICD, EPZ na SEZ sasa hivi, vitu ambavyo hata hamviwazi na hamtegemei kuwa navyo, Wakuu wa mikoa walikuja Kahama kujifunza na wa Njombe alikuja π π π
Geita ipo sema huyo huwa anachagua vitaarifa uchwara ila ukiangalia taarifa za NBS ,Geita iko top 20 ,Kagera haimo.Geita sijaiona mkuu
Tunaamini taarifa za maandishi sio maneno ya mdomoni ya Waziri..Simu yangu sijaweza kuweka attachment ila naomba ufungue tamisemi utaona sehemu ambayo umy mwalimu anaeleza kwa nini kikao cha wakuu wa mikoa yote nchini kimefanyika kahama hoja mojawapo alisema kahama MC imeongoza katika kukusanya mapato katika manispaa imekusanya billion 9point 6 pia imetenga kituo cha businesses part imekuwa ya mfano tz nzi ma hivyo waje wajifunze kwahio hoja yangu kahama wamekunya billion tisa na million 600 labda mapank anisaidia akiandika OR tamisemi Facebook akatafuta hio taarifa ataipata mie nimesema sijui kuweka attached simu yangu inagoma
Wa Njombe alikuja kula posho tuu ,sisi tuna mipango yetu kulingana na mazingira yetu hatuna ujinga wa kuiga vitu ambavyo havisadifu mazingira yetu unless uwe kichaa.Tunawekeza kwenye ICD, EPZ na SEZ sasa hivi, vitu ambavyo hata hamviwazi na hamtegemei kuwa navyo, Wakuu wa mikoa walikuja Kahama kujifunza na wa Njombe alikuja π π π
Kahama migodi ina input ndogo sana. Kahama sio ya migodi tena. Kipindi mgodi umesimamisha uzalishaji iliyumba lakini sio kwa kiasi kikubwa. Main formal employee wa MIGODI Kahama si wakazi hata hiyo mishahara mikubwa wanayolipwa kiasi kidogo kinabaki Kahama.
Meanwhile Wakazi wa Kahama yenye mapato wanasema hivi πππππKwa kuongezea umy mwalimu alisema kahama MC wamekusanya 9bilion point 6 fuatilia hotuba yake akiwahutubia wakuu wa mikoa hivyo kwa mapato njombe watasubiri sana kwa kahama nisawa na fisi anaesubiri mkono wa binadamu anapotembea utanyofoka aokote
Hilo ni Jiji uchwara na la kipuuzi kuna maendeleo gani hasa kushinda Arusha na Dom kwa mfano..Mimi navyojua mwanza sio jiji uchwara hata kidogo.
Nyuma ya Dar hakuna jiji lililoendelea bongo hii zaidi ya mwanza
Kama kuwa centre ni point mbona mumeshindwa ata kuikaribia Bujumbura?Tofautisha kanda zetu na Great lakes region Boss πππ. Mwanza ni center kwa capital city zote za EA. Dodoma, Nairobi, Kampala, Gitega (Burundi), Kigali, Kinshasa na Juba
View attachment 1933114
Hiki kitengo Cha elimu kagera msijilinganishe kabisa.Kuropoka ruksa ila uhalisia uko hivi [emoji116]
View attachment 1934195
View attachment 1934196
View attachment 1934197
View attachment 1934198
View attachment 1934199
View attachment 1934200
Huu ndo ukweli.Geita ipo sema huyo huwa anachagua vitaarifa uchwara ila ukiangalia taarifa za NBS ,Geita iko top 20 ,Kagera haimo.
Kweli we mtu ya njombe una udumavu wa akili.Hilo ni Jiji uchwara na la kipuuzi kuna maendeleo gani hasa kushinda Arusha na Dom kwa mfano..
Kimji kimejaa slums na hakuna barabara ndio kuna maendeleo hapo? Hivi mtu anaweza toka mkoa mwingine kuja Mwanza kuangalia nini hasa?.
Hilo Jiji lenu uchwara nilishalidharau Sana,jengeni barabara zinazoendana na Jiji kama dual carriage na jengeni majengo marefu ku justify status ya Jiji la pili na mkome kunya ziwani,kujenga tembe milimani na muache ushamba.
Hivi unajua kwamba Mbeya tukishajenga Tanzam kuwa dual carriage ya 4 lanes na kujenga Uyole na Iwambi bypass tutawapiga mbali sana.
Kwani kuna kitu gani cha maana Mwanza inazidi Mbeya kwa mfano?
Nje ya Dar ,Jiji pekee la kuogopwa ni Dodoma tuu hakuna kwingine.
Wewe ni kenge ,Tzn naifahamu olmost yote..Mwanza sisimuliwi nimeishi miaka 3 hapo last time nilitoka huko 2016 na kuna ndugu zangu kibao..Kweli we mtu ya njombe una udumavu wa akili.
Na Wala hujawahi fika mwanza
Kumbe ulikuwa misungwi[emoji23][emoji23]Wewe ni kenge ,Tzn namfahamu olmost yote..Mwanza sisimuliwi nimeishi miaka 3 hapo last time nilitoka huko 2016 na kuna ndugu zangu kibao..
Mwanza yote na Wilaya ya Misungwi yote naijua,I used to a totor wa Civil Engineering hapo Misungwi CDTTI kwa hiyo huna cha kunisimulia Kuhusu Mwanza.
Duuuuhhhhhhhh! Kumbe Misungwi, basi sawa π π π π π π πWewe ni kenge ,Tzn namfahamu olmost yote..Mwanza sisimuliwi nimeishi miaka 3 hapo last time nilitoka huko 2016 na kuna ndugu zangu kibao..
Mwanza yote na Wilaya ya Misungwi yote naijua,I used to a totor wa Civil Engineering hapo Misungwi CDTTI kwa hiyo huna cha kunisimulia Kuhusu Mwanza.
Kwa nini unapenda taarifa uchwara wewe? NBS wametenganisha taarifa za kila mkoa wewe unakomaa na sources uchwara Ili Kagera iwemo but official statistics huo mkoa Maskini haupo.
Sasa mapank ulitakaje? Nilikuwa nawatoa ujinga ndugu zako huko kwa hiyo utanidanganya nini wewe Kuhusu Mwanza?Duuuuhhhhhhhh! Kumbe Misungwi, basi sawa π π π π π π π
Kuna Misungwi na Mwanza BossSasa mapank ulitakaje? Nilikuwa nawatoa ujinga ndugu zako huko kwa hiyo utanidanganya nini wewe Kuhusu Mwanza?
Nabishana na popoma mwenye udumavu wa akili .hebu Soma taarifa yako vzr.Kwa nini unapenda taarifa uchwara wewe? NBS wametenganisha taarifa za kila mkoa wewe unakomaa na sources uchwara Ili Kagera iwemo but official statistics huo mkoa Maskini haupo.
Ukija kwenye official data Kagera haipo hata top ten na Shinyanga sio ya 3,look here [emoji116]
View attachment 1934597