Kila Kanda kuna Jiji la kimkakati ,ni ishu ya wapi kinaanza na wapi kutafuata,hakuna rasilimali za kutosha ku push maeneo yote at par..Mwanza kijiografia Mwanza ni mji wa kimkakati, kwenye nchi za eneo la maziwa makuu. Ndio juhudi kubwa za ku link Mwanza zinaendelea, kwa upande wa Anga flights za Rwandair kwenda Uk, kituo baada ya Kigali itakuwa Mwanza, SGR ndio hiyo kick off tayari, bado Daraja la Busisi (TZS700b),
Usafiri wa maji ujenzi wa meli mpya kubwa kuliko zote za abiria na mizigo kwenye eneo EA great lakes unaendelea..
Tumebadilika Tulikuwa tunashindia misosi aina moja tuu ila sasa tumebadilika maana tuna kila aina ya misosi ila utamaduni ndio ulikuwa tatizo,mtu asipokula ugali anaona hajala.Mkuu hujasoma list hiyo kwani?? Njombe inaongoza ikifuatiwa na majirani zake wote (kanda ya kusini yote). Yaani mnaonekana mpo local sana dunia imewaacha
Ulichelewa kupata miundombinu ya barabara,mwaka 2015 ndio wamepata lami sasa huoni kwamba lazima uwe vibaya kiasi?
Ila ndani ya miaka 6 toka ufunguke unakimbia mbio za farasi kwenye maendeleo.
Tofautisha kanda zetu na Great lakes region Boss πππ. Mwanza ni center kwa capital city zote za EA. Dodoma, Nairobi, Kampala, Gitega (Burundi), Kigali, Kinshasa na JubaKila Kanda kuna Jiji la kimkakati ,ni ishu ya wapi kinaanza na wapi kutafuata,hakuna rasilimali za kutosha ku push maeneo yote at par..
Serikali ikimalizana na ukanda huo sgr nk vinahamia Kusini,western na Highlands
Ndio nimekwambia ni kasumba ya miaka mingi ila bei za mahindi zimewafosi kubadili hise angani.Hakuna cha kuifungua, wanalima mahindi ambayo mpaka muibembeleze serikali ije inunue kwa bei inayotaka
Ni huko huko.Rukwa si Southern Highland???,
Yap ni ya mwisho kwa sababu ya population.Fungua per capita Sasa kagera ya mwisho
Tazama hapa Rukwa Wana per Capita ya 3000+ but ndo mkoa maskini nchini .Fungua per capita Sasa kagera ya mwisho
Nadhani tusubirie takwimu mpya, Mkoa kama wa pwani utakuwa umepanda. Viwanda ni vingi mno.Tazama hapa Rukwa Wana per Capita ya 3000+ but ndo mkoa maskini nchini .
So per Capita inategemea GDP na population ya mkoa husika.
Kagera soon inakatwa na unatengenezwa mkoa wa chato ( biharamulo na ngara) so wanajitahidi kuupunguzia mzigo huu mkoaView attachment 1933151
Mbona wanaotoka Jiji uchwara la Mwanza umewaacha maana ndio wanashindania hicho kiti ππNi huko huko.
Karibu nusu ya watu wa huu mkoa wa Rukwa ni maskini
Sure kabisa.ule mkoa serikali imekeza Sana aisee.Nadhani tusubirie takwimu mpya, Mkoa kama wa pwani utakuwa umepanda. Viwanda ni vingi mno.
Unatakiwa ulinganishe data za 2018 na hizi za sasa ndio utapata majibu sahihi.Tazama hapa Rukwa Wana per Capita ya 3000+ but ndo mkoa maskini nchini .
So per Capita inategemea GDP na population ya mkoa husika.
Kagera soon inakatwa na unatengenezwa mkoa wa chato ( biharamulo na ngara) so wanajitahidi kuupunguzia mzigo huu mkoaView attachment 1933151
Mimi navyojua mwanza sio jiji uchwara hata kidogo.Mbona wanaotoka Jiji uchwara la Mwanza umewaacha maana ndio wanashindania hicho kiti
Kahama migodi ina input ndogo sana. Kahama sio ya migodi tena. Kipindi mgodi umesimamisha uzalishaji iliyumba lakini sio kwa kiasi kikubwa. Main formal employee wa MIGODI Kahama si wakazi hata hiyo mishahara mikubwa wanayolipwa kiasi kidogo kinabaki Kahama.Unatakiwa ulinganishe data za 2018 na hizi za sasa ndio utapata majibu sahihi.
Rukwa hakuna Migodi kwamba income disparity iwe kubwa kwa hiyo taarifa za kuongezeka kwa percpita automatically zimepunguza na umaskini maana hizi Takwimu ni za 2020 na kipindi kile ilikuwa 2018 huko.
Technically haiwezekani per Capita iongezeke.afu poverty rates zisalie kule kule.
Hali hiyo inawezekana kutokea huko Kanda ya Ziwa ambako watu wanategemea uwekezaji wa migodi.
Kijana hizo takwimu zote ni 2018 na ni mwaka mmojaUnatakiwa ulinganishe data za 2018 na hizi za sasa ndio utapata majibu sahihi.
Rukwa hakuna Migodi kwamba income disparity iwe kubwa kwa hiyo taarifa za kuongezeka kwa percpita automatically zimepunguza na umaskini maana hizi Takwimu ni za 2020 na kipindi kile ilikuwa 2018 huko.
Technically haiwezekani per Capita iongezeke.afu poverty rates zisalie kule kule.
Hali hiyo inawezekana kutokea huko Kanda ya Ziwa ambako watu wanategemea uwekezaji wa migodi.
Tangu lini viwanda na vya wahindi na migodi vikaongeza ustawi wa maisha ya watu? Utakuwa Mkoa mkubwa kwa GDP tuu ila lifewise watu hoi.Sure kabisa.ule mkoa serikali imekeza Sana aisee.
But huko mkuranga,rufiji,kisarawe,bagamoyo na chalinze vijijini Kuna umaskini wa kufa mtu pamoja na kuwa karibu na dar.
So mkoa unaonekana una GDP na per Capita kubwa but kwa sababu sio watu wanaomiliki umaskini bado ni mkubwa
Hizo takwimu zako Tazama coffee ( kahawa) ni zao la tatu nchini kuchangia Pato la taifa na zaidi ya 60% linalimwa kageraTangu lini viwanda na vya wahindi na migodi vikaongeza ustawi wa maisha ya watu? Utakuwa Mkoa mkubwa kwa GDP tuu ila lifewise watu hoi.
Shughuli za kustawisha uchumi wa mtu ni biashara na kilimo,miti na ufugaji ..Ndio maana Highlands inawapiga gap wengi kwenye maisha ya mtu mmja mmja.
Kwa mfano saizi zao la pareto na mpunga vinaingiza pesa nyingi tuu Tzn na linalimwa huku Highlands
View attachment 1933191
View attachment 1933192