Kahama VS Njombe/Mafinga

Nikuletee current data? Huko wakushatika nyie bado mnabafilishana mikia
Kijana hiyo ni 2018. Mara ya mwisho NBS kutoa takwimu za umaskini

Mkoa wa Rukwa ( sumbawanga yako) ni mkoa maskini zaidi nchini


Wew unachanganya per Capita na umaskini
 
Weka list ya 5 bora kwa umaskini,ukikosa Kagera na Mwanza nahama jukwaa maana mnabadilishana tuu vigoda vya umaskini..
We Kama unaiona kagera nitag



Kagera soon inatoka top ten
na itarudi kwa hali yake kumbuka kipindi kile ugonjwa wa mnyauko wa migomba na mauzo ya kahawa yalikuwa yameshuka na hakuwepo meli za kusafirisha mazao
 
Kagera siku hiz ni ya 10 huko . Naona mkoa unarudi katika hali yake baada ya mkoa kukumbwa na majanga muda mrefu.View attachment 1932910
😂😂😄😄 Poverty zone yote imo ,hivi huko mnamaisha kama ya nguruwe au?..

Kwa taarifa yako kwa Rukwa hiyo 2018 ndio kwanza walikuwa Wana mwaka 2 toka wapate lami ila wako updates hizo figure hutoikita hapo ila nyie wazee wa katerero hapo hamchomoki aisee
 
Weka list ya 5 bora kwa umaskini,ukikosa Kagera na Mwanza nahama jukwaa maana mnabadilishana tuu vigoda vya umaskini..
Mkoa unarecover baada ya kupitia majanga mengi.


Bandari ya bukoba mkoani kagera. Kila mtu anaangaika kusafirisha bidhaa zake.uchapakazi uliotukuka kagera


Kukosekana kwa meli baada ya mv bukoba kuzama na mv Victoria kuharibika kulizubaisha maendeleo ya huu mkoa na umaskini ukaongezeka.

But now unarecover
 
Eti kagera haichomoki.

Tazama hapa bandari ya bukoba .kila mtu anapambana ajikwamue na umaskini. Watu wanalala hapo ili watanzania msikose chakula.

Kagera inarudi katika hadhi yake iliyopotea siku nyingi
 
Kagera sio mkijitahidi mtachomoka ni ajabu mkoa una Hali ya hewa nzuri eti unakuwa maskini,hii..

Huoni Highlands hapo iko juu with exception to Rukwa.But nakuhakikishia next update huwezi Kuta Rukwa hapo
 
Kagera sio mkijitahidi mtachomoka ni ajabu mkoa una Hali ya hewa nzuri eti unakuwa maskini,hii..

Huoni Highlands hapo iko juu with exception to Rukwa.But nakuhakikishia next update huwezi Kuta Rukwa hapo
Ukiungalia takwimu za nyuma kabla ya mkoa kupata majanga mkoa huu haukuwahi kukosa top five ya mikoa yenye ahueni .

Katika maisha Kuna kuanguka na kuamuka mkoa ulianguka na Sasa unaamka kwa Kasi juu.



Nakuhakikisha utarudi katika hadhi yake.
 
Kagera sio mkijitahidi mtachomoka ni ajabu mkoa una Hali ya hewa nzuri eti unakuwa maskini,hii..

Huoni Highlands hapo iko juu with exception to Rukwa.But nakuhakikishia next update huwezi Kuta Rukwa hapo
Umeshindwa kushangaa kwa nini mikoa yote ya Kusini watoto wanaongoza kudumaa
! Si ajabu tupo tunabishana na wenye utapiamlo
 
Mkuu hujasoma list hiyo kwani?? Njombe inaongoza ikifuatiwa na majirani zake wote (kanda ya kusini yote). Yaani mnaonekana mpo local sana dunia imewaacha
 
Mkuu mbona elimu ya lishe inafundishwa tangu primary mpaka kwenye vituo vya afya na taasisi mbalimbali, au huko kwenu hivi vitu havipo?? Yaani nyie ni zaidi ya local
 
Sasa huko Kahama hii elimu wallipataje halafu matajiri mkaikosa????
 
Umeiona Njombe hapo? Mikoa mingine kama Ruvuma na Rukwa ndio imetokea lakini Matajiri wa Njombe na Mbeya huwezi wakuta kwenye list za hovyo hovyo
Soma heading ya hilo gazeti "Mikoa hiyo inaongozwa na Njombe.....,''
 
Rukwa si Southern Highland???,
Ulichelewa kupata miundombinu ya barabara,mwaka 2015 ndio wamepata lami sasa huoni kwamba lazima uwe vibaya kiasi?

Ila ndani ya miaka 6 toka ufunguke unakimbia mbio za farasi kwenye maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…