Kahama VS Njombe/Mafinga

Nyie endeleeni kujisifu kwa vyuo sisi na wakina nshomile waitu tunajazana huko kwenye vyuo vyenu kuliko ata nyie wenyeji.
Jazaneni leteni pesa shida iko wapi? Bahati nzuri mkimaliza hamrudi kwenu hadi disemba kusalimia mababu afu mnarudi tena Kusini.
 
It's weekend bukoba.

Ndoa za beach zimeanza bukoba Tanzania
 
Vitega uchumi bado vinaiibuka bukoba

New hotels,new appartments and plaza.

Halafu mtu mfupi mmoja anasema wahaya hawawekezi bukoba
 
Barabara ya lami kuelekea vijiji vya nyakato bukoba vijijini. Kutoka stendi kuu mpya ya kyakairabwa
 
Karibuni kwenye mada.

Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.

Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Mafinga na Njombe ni miji yenye future kwa sababu miti unakata inaota tena, tena kama mikaratusi ambayo sasa hivi ndo inatengeneza hardboard unakata inamea tena...

miwati pia unakata inamea tena...

chai pia unakata inamea tena

Mazao unapanda yanamea tena

Ila Kahama siku GOLD ikiisha mji unarudi kuwa kama old Kilosa town
 
Mkuu hapo umeteleza refer tofauti kati ya Tunduma na Vwawa

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Swala la kahama na gold ni kitu kimeenea Tanzania nzima kwamba mzunguko wa fedha kahama unaletwa na dhahabu tu sio kweli mimi nipo hapo kahama ina mambo mengi sana nje ya dhahabu kama kweli ni dhahabu mbona geita zipo nyingi kuliko kahama tena ni makao makuu ya mkoa mbona hazileti mzunguko mkubwa wa fedha kama kahama jibu ni kwamba wawekezaji waliwahi kuwekeza hama baada ya mwanza jiji kujaa leo hii kahama kunaviwanda vinajengwa na wazawa vyenye gharama ya billion 200 pia mkuu wa mkoa ameomba serikali iugawe mkoa wa shinyanga katika mikoa miwili ya tanesco yaani kahama ijitegemee kwa sababu kunakwenda kuwa na uwekezaji mkubwa wa viwanda ndio industrial zone kwa shinyannga na mkoa mzima wa shinyanga unatumia umeme wa billion 8 kwa mwezi lakini kahama peke yake inatumia billion 7 huo ndio ukubwa wa kahama yaani panapobaki mkoa mzima wanatumia billion moja hata mafuta ya petrol kahama ni ya pili kutoka mwanza kwa matumizi makubwa ya mafuta hayo mashine za mpunga kwa mwaka kahama wanakusanya ushuru wa billion 3 kuna kimji kinaitwa kagongwa kinakusanya bilion moja kwa mwaka ushuru wa mpunga kinazidi hata halmashauri za bahi hayo ni mapato nje ya dhahabu hivyo hoja yangu kwa uwekezaji uliopo kahama kwa sasa kahama bila buzwagi inawezekana na uchumi wa mkoa wa shinyanga uko kahama hivyo shinyanga bila kahama haiwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…