Ile barabara ya kuingia mjini bukoba yaani kutoka kibeta Hadi downtown itengenezwe upya Ina Kona Kali sana .ajali kila sikuYap kote huko ujenzi unaendelea na sehem nyingine ni umaliziaji kama hiyo barabara ya nyakato kwenda kaagya huko mbele tyr ni mita chache tu wanamalizia kutoka nyakato secondary
Ni kweli hapa na mimi nilikuwa nachek gar limedondoka hapo nyangoye, nafikiri vilevile kuna haja ya kuipanua angalau kutokea round about ya rwamishenye mpaka mjiniIle barabara ya kuingia mjini bukoba yaani kutoka kibeta Hadi downtown itengenezwe upya Ina Kona Kali sana .ajali kila siku
Naona na Leo imetokea ajali maeneo ya nyangoye
Huo mkoa hauna miji una Vijiji vya ujamaa tuu.Ndo maana mnakaa mnajifariji huko hamtembei mnasubiri kusimuliwa
Isijekuwa unazungumzia barabara za Tanroads,sasa unategemea barabara isipite Vijijini ipite wapi?kumbe nyie bado sana hata hamjui barabara za lami kwenda vijijini, soon unaanza ujenzi wa barabara kutoka kijiji kyetema kwenda kyaka kupitia vijiji vya ibwera na katoro km45
Ndo hivo vijiji watu wanaishi maisha mazuri kuliko miji yenu uchwaraHuo mkoa hauna miji una Vijiji vya ujamaa tuu.
Acha kuzingua barabara inatoka mpanda kaliua ukyankulu Kahama Geita .Specialization in zone, grain tunasogea Kahama. Yaani hapo mpaka mipunga ya Katavi/ Swax wanaleta Kahama. Sababu ya umuhimu huo kuna mradi wa barabara Swax - Kahama km 426
Hatuzungumzii kupita vijijini, tunazungumzia barabara za kwenda vijijini kama kutoka muhutwe barabara kuu kwenda kamachum au kutoka barabara kuu kwenda kanyigoIsijekuwa unazungumzia barabara za Tanroads,sasa unategemea barabara isipite Vijijini ipite wapi?
Sisi tuna barabara kuu nyingi Sana kwa sasa zimekamilika kwa lami na zingine mpya zinajengwa sasa sijui hizo zenu zinaenda wapi.
Kwamba hujui Kuna vijijini haviguswi na barabara kuu na barabara za tanroads.Isijekuwa unazungumzia barabara za Tanroads,sasa unategemea barabara isipite Vijijini ipite wapi?
Sisi tuna barabara kuu nyingi Sana kwa sasa zimekamilika kwa lami na zingine mpya zinajengwa sasa sijui hizo zenu zinaenda wapi.
Kama zinazoitwa lami ndio hizo ,aah endeleeni kuwekaKwamba hujui Kuna vijijini haviguswi na barabara kuu na barabara za tanroads.
Hizo ndo tunasemea Sasa. Yaan mfano Kijiji cha kishanda kipo km 45 kutoka barabara kuu ya muleba to bukoba na barabara hiyo inawekwa lami ili mazao ya ndizi ,kahawa, maharage nk yaweze kusafirishwa kwenda bandari za kemondo na bukoba.
Ndo maana unaona hata lami zake ni za kawaidaView attachment 1925388
Nyie ni washambaUkiona mkoa una mji mmoja tu ujue huo mkoa hauna ushindani na huo ndo mkoa wa kagera ebu angalieni mikoa yenye miji miwili ndani yake ilivo na ushindani mkubwa wa miji yao kukua kwa kasi mfano njombe Ina njombe tc na makambako tc , shinyanga mc na kahama mc , ruvuma songea mc na mbinga tc ,iringa mc na mafinga tc ,Moro mc na ifakara tc, Dom cc na kondoa tc, mtwara mc ,masasi tc na nanyamba tc , musoma mc na tarime tc kuwa na miji miwili ndani ya mkoa mmoja kunaleta ushindani mkubwa Sana wa kimaendeleo tofauti na mji ukiwa mmoja mnajibweteka mji unazidi kudumaa Kama kagera
Hiyo uliyotaja hapo ni miji au mukusanyiko wa nyumba zilizojengwa hovyo hovyoUkiona mkoa una mji mmoja tu ujue huo mkoa hauna ushindani na huo ndo mkoa wa kagera ebu angalieni mikoa yenye miji miwili ndani yake ilivo na ushindani mkubwa wa miji yao kukua kwa kasi mfano njombe Ina njombe tc na makambako tc , shinyanga mc na kahama mc , ruvuma songea mc na mbinga tc ,iringa mc na mafinga tc ,Moro mc na ifakara tc, Dom cc na kondoa tc, mtwara mc ,masasi tc na nanyamba tc , musoma mc na tarime tc kuwa na miji miwili ndani ya mkoa mmoja kunaleta ushindani mkubwa Sana wa kimaendeleo tofauti na mji ukiwa mmoja mnajibweteka mji unazidi kudumaa Kama kagera
Kumbuka hii ni michango ya wananchi sio serikali yenuKama zinazoitwa lami ndio hizo ,aah endeleeni kuweka
Hakuna cha ushindani zaidi mnaviacha vijiji vyenu vinadumaa huko vinabaki na nyumba za tembe tu miaka yote. Hata hyo unayoita miji unakuta ndani ya mamlaka ya mji kumejaa nyumba za tope na nyasi, lakini njoo utembee kutoka muleba mpaka Bukoba mjini zaidi ya km 80 huwezi ona hizo nyumba za nyasi na ni vijiji vimefuatana hakuna mapori au toka muleba pita nshamba mpaka kamachum vijijini huko zaidi ya km 40 huwezi ona hizo nyumba za tembe zilizojaa miji yenuUkiona mkoa una mji mmoja tu ujue huo mkoa hauna ushindani na huo ndo mkoa wa kagera ebu angalieni mikoa yenye miji miwili ndani yake ilivo na ushindani mkubwa wa miji yao kukua kwa kasi mfano njombe Ina njombe tc na makambako tc , shinyanga mc na kahama mc , ruvuma songea mc na mbinga tc ,iringa mc na mafinga tc ,Moro mc na ifakara tc, Dom cc na kondoa tc, mtwara mc ,masasi tc na nanyamba tc , musoma mc na tarime tc kuwa na miji miwili ndani ya mkoa mmoja kunaleta ushindani mkubwa Sana wa kimaendeleo tofauti na mji ukiwa mmoja mnajibweteka mji unazidi kudumaa Kama kagera
Hahaha usilojua ni sawa na usiku wa Giza tulikwambia uchomoke huko migombani utembelee na mikoa mingine ujifunze unaishia kukariri historia ya zamani saiz vijiji watu wamejenga nyumba za maana mzee njoo ujifunze mkoa wa njombeHakuna cha ushindani zaidi mnaviacha vijiji vyenu vinadumaa huko vinabaki na nyumba za tembe tu miaka yote. Hata hyo unayoita miji unakuta ndani ya mamlaka ya mji kumejaa nyumba za tope na nyasi, lakini njoo utembee kutoka muleba mpaka Bukoba mjini zaidi ya km 80 huwezi ona hizo nyumba za nyasi na ni vijiji vimefuatana hakuna mapori au toka muleba pita nshamba mpaka kamachum vijijini huko zaidi ya km 40 huwezi ona hizo nyumba za tembe zilizojaa miji yenu
Yaani huko nyanda za juu kusini napafahamu vizuri bila kusimuliwa bado mnajenga tembe mbaya zaidi mtu akipata pesa anakimbilia mjini, pengine na imani potofu zinachangiaHahaha usilojua ni sawa na usiku wa Giza tulikwambia uchomoke huko migombani utembelee na mikoa mingine ujifunze unaishia kukariri historia ya zamani saiz vijiji watu wamejenga nyumba za maana mzee njoo ujifunze mkoa wa njombe
Ndoo maana tulikwambia hata mkoa wa njombe huu ujui vizuri ebu tukusaidie data vizuri ndo ujue tunavo kwambia mkoa umejengeka ukitoka idofi makambako tc Hadi njombe tc ni km 69 ni full makazi Tena ya kisasa unakuja idofi makambako tc Hadi ilembula mpakani na mbeya full makazi km45 bado unakuja njombe tc Hadi makete dc full makazi zaidi ya km 100 ,na hizo ni main road bado road zinazo unganisha miji na vijiji hatujaongelea .acha kufa na historia ya zamani mambo yalisha badilika mzeeHakuna cha ushindani zaidi mnaviacha vijiji vyenu vinadumaa huko vinabaki na nyumba za tembe tu miaka yote. Hata hyo unayoita miji unakuta ndani ya mamlaka ya mji kumejaa nyumba za tope na nyasi, lakini njoo utembee kutoka muleba mpaka Bukoba mjini zaidi ya km 80 huwezi ona hizo nyumba za nyasi na ni vijiji vimefuatana hakuna mapori au toka muleba pita nshamba mpaka kamachum vijijini huko zaidi ya km 40 huwezi ona hizo nyumba za tembe zilizojaa miji yenu
Acha uongo mzee Kama huna hoja kaa kimya endelea kuangalia tembe zilivo zagaa Kanda ya ziwa na umasikini wenuYaani huko nyanda za juu kusini napafahamu vizuri bila kusimuliwa bado mnajenga tembe mbaya zaidi mtu akipata pesa anakimbilia mjini, pengine na imani potofu zinachangia
Endelea kujifariji tu mmejazana kwenye vimiji uchwara vyenu hivo vijiji vipo hoi. Kilimanjaro walijipima ubavu ila hawakuona ndani tena angalau walileta tupicha ila nyie ni maneno tuAcha uongo mzee Kama huna hoja kaa kimya endelea kuangalia tembe zilivo zagaa Kanda ya ziwa na umasikini wenu