Kahama VS Njombe/Mafinga

Ujenzi wa viwanda vya kuongeza thamani minofu ya samaki na nafaka ukiendelea Mjini Sumbawanga πŸ‘‡πŸ‘‡











 
Sasa kama familia ya watu 6 inategemea ekari moja mtaacha kuwa na GDP ndogo na umaskini uliotukuka?

Lazima wingi wenu uonekane kwenye tija ya uzalishaji sio katerero tuu
Kwamba kagera hakuna Ardhi ama.

Wingi wa watu wa kagera una tija Sana.

Just imagine kagera waache kuzalisha maharage,ndizi,kahawa, vanilla,Sukari ,samaki
si mtakufa nyote hapa bongo.



Watu ni wengi na wanazalisha sana. We huoni ajabu mikoa yote nchini kagera inazalisha asilimia 60 ya kahawa, asilimia 20 ya maharage, asilimia 60 ya ndizi ,asilimia 50 ya Sukari bado na samaki
 
Tushafunga mjadala bukoba sio mji wa kulinganisha na mji wowote huko kusini.


Turudi kwenye mada Yetu ya kilimo


Husikimbie kijana

Kagera inaongoza uzalishaji wa vanilla nchiniView attachment 1924579
Ulifunga mjadala na nani au unataka kukimbia? πŸ˜†πŸ˜†

Ukipata service road kali kama hii Bukoba nzima nitag πŸ‘‡πŸ‘‡





 
Utakuwa na matatizo sio bure.




We unafikiri kagera hakuna Ardhi sio.



Hiz Tani zinatoka wap.

Yaan Hadi BBC wanaenda kagera kutazama uzalishaji wa maharage.



Kwa Tanzania kagera ndo ina hekta nyingi za maharage kulinganisha na mkoa wowote ule
 
Hiv huko mvua inanyeshaga kweli..


Vumbi kila mahali
Hizi ni pics za kiangazi live sio za make up wala masika ndio maana unaona hivyo.

Na huu ni Mji mkubwa sio tiny town kama hako ka Bukoba .

Mitaani Swax πŸ‘‡πŸ‘‡











 


Hiv unaelewa maana ya household



Bakhresa na kagera wap na wap
 
Hata hivyo viazi mviringo.


Kagera ni mkoa wa sita na njombe haipo hata top ten.


Huu mkoa unaoongoza kwa kilimo utakubali tu



 
Ndani ya meli ya mv Victoria bidhaa zikitoka bukoba kwenda mikoa mbali mbali kupitia mwanza.


Hebu tuendelee kuwalisha watanzania ingawa hamna shukrani pamoja na kejeli mnazozitoa kwa mkoa wa kagera




Magufuli hakuwa mjinga kurudisha meli ya mv Victoria na kujenga mpya ya mv mwanza.
Na reli kuielekeza mwanza
 
Mnaponzwa na kuzaana hovyo.
Kijana Kama watoto Wana uhakika wa kula,kusoma na kuishi sehemu nzr acha wazae tu.


Ndo maana mkoa wa kagera una hospital kubwa 23 na shule zaidi ya 600 za msingi na sekondari zaidi ya 250
 
Mnaponzwa na kuzaana hovyo.
Mkoa wa kagera unaoongoza kwa uzalishaji wa madini ya bati nchini. Na ndo mkoa pekee unaotoa madini hayo.



Biashara za magendo zimeshamiri Sana kwenye huh mkoa ndo maana serikali inakosa mapato but hali ya maisha iko vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…