Uzalishaji wa zao la vanilla nchini.Kila mkoa nchi hii una fursa za kutosha ishu ni value ya hizo products.
Chai,kahawa na parachichi Njombe ni champions.
Timber products Njombe ni leading region.
Mazao ya chakula kama mahindi,viazi,matunda anuwai tuko front.
Vanilla imehamia huku kwetu huko kwenu imebakia historia.
Madini kama chuma,makaa nk yako ya kutosha.
Vyanzo vya maji na utalii ndio usiseme tutahost mabwawa 3 makubwa ya kuzalisha umeme Tzn.
Uvuvi na usafiri wa ziwani tumo.
Hilo la Kagera kuongoza kwenye uzalishaji wa maharage ni kichekesho kipya mkuu.
Mwisho wa siku value na uchapakazi ndio vitaamua utofauti .
Unahesabika kuwa mikoa duni kwa sababu ya population yake .Hii ndio hoja kuu mkoa wa 2012 uwe na watu wenye makazi bora na mkoa ulionzishwa 1969 Kama Kagera hadi leo unahesabika katika mikoa duni hii ni sawa na mtu aliyeanza mbio saa moja anapitwa na mtu aliyeanza mbio saa tisa alasiri.Njombe inatembea kwa mwendo wa SGR nenda vijijini Kuna nyumba za Maana Sana zinajengwa.Tukisema sisi tinaonekana kupendelea lakini wageni Wanajionea wenyewe.Iko taswira iliyowaingia watu kuamini kua mikoa ya kusini hakuna maendeleo watu walichosahau ni kua Mikoa ya Njombe,Ruvuma,Mtwara,mbeya iko kasikazini mwa Malawi,Zambia,Mozambique na sehemu ya Congo.Hivyo inaopportunity nyingi kuliko mikoa iliyopo katikati mwa nchi.Nyakati zimechange muda wa viongozi kupendelea tu kwao umeisha.Sasa ni kila mtu na Nguvu zake.
Ngara na Biharamulo hakuna Neema huko ni kama Makete tu πUnahesabika kuwa mikoa duni kwa sababu ya population yake .
Just imagini 3.1 million people
Hebu watengeneze mkoa wa chato labda waziondoe ngara na biharamulo
Anyway uzalishaji wa Sukari nchini kagera ikiwa top threeView attachment 1924500
We umesahau kagera inapakana na nchi nne [emoji23][emoji23]Hii ndio hoja kuu mkoa wa 2012 uwe na watu wenye makazi bora na mkoa ulionzishwa 1969 Kama Kagera hadi leo unahesabika katika mikoa duni hii ni sawa na mtu aliyeanza mbio saa moja anapitwa na mtu aliyeanza mbio saa tisa alasiri.Njombe inatembea kwa mwendo wa SGR nenda vijijini Kuna nyumba za Maana Sana zinajengwa.Tukisema sisi tinaonekana kupendelea lakini wageni Wanajionea wenyewe.Iko taswira iliyowaingia watu kuamini kua mikoa ya kusini hakuna maendeleo watu walichosahau ni kua Mikoa ya Njombe,Ruvuma,Mtwara,mbeya iko kasikazini mwa Malawi,Zambia,Mozambique na sehemu ya Congo.Hivyo inaopportunity nyingi kuliko mikoa iliyopo katikati mwa nchi.Nyakati zimechange muda wa viongozi kupendelea tu kwao umeisha.Sasa ni kila mtu na Nguvu zake.
Bado kuna mradi wa umeme wa maji Rusumo na Murongo/ Kikagate UgandaWe umesahau kagera inapakana na nchi nne [emoji23][emoji23]
Uganda kasikazini, Rwanda upande wa magharibi, Burundi upande wa kusini magharibi, na Kenya ukivuka ziwa tu.
Huu mkoa una future na Sasa wameanzisha national parks burigi chato,ibanda national park na rumanyika national park.
Meli zimerudi Kama mv Victoria na Sasa mv mwanza inayojengwa.
Kirochohurudisha mkoa wa kagera nyuma ni majanga Kama vita vya kagera nk nk
Mkoa bado unarecover
Hizo wilaya na Mimi sisemi uongo ziko nyuma sana.na ndo zinairudisha nyuma kitakwimu mkoa wa kagera.Ngara na Biharamulo hakuna Neema huko ni kama Makete tu π
Naomba ufunguliwe uzi wa Mkoa wa Kagera na NjombeBado kuna mradi wa umeme wa maji Rusumo na Murongo/ Kikagate Uganda
Kijana kagera Ina future Kali sana.
Hizi Takwimu ni za lini? Hadi nimekua mkubwa ndio nimejua leo kuwa Kagera wanazalisha maharage maana sijawahi yala wala sijui ni aina gani.Kagera inaongoza kwa uzalishaji wa maharage nchini
Eti kijana Leo hautakula maharage [emoji23][emoji23]
Basi kumbuka mkoa wa kagera walimaji katika Sala[emoji23][emoji23]
Endeleeni kuzalisha miti[emoji23]View attachment 1924485
Tatizo ni baresa anazalisha sio common wananchi ndio maana mnaogelea kwenye umaskini.
Inaonekana huo mkoa uko predominantly na kilimo zaidi, unfortunately Mazao mengi ya kilimo huwa yanabei ndogo hasa kwa kilimo cha kujikimu matokeo yake ni umaskini.
Sasa wapi ambako hakuna under construction projects?Halafu anakuja mpumbavu mmoja anakwambia mji umelala
New projects bukobaView attachment 1922009View attachment 1922010View attachment 1922012View attachment 1922013View attachment 1922015View attachment 1922016View attachment 1922017
Kijana. Soma vizuri hapo 2019/2020Hizi Takwimu ni za lini? Hadi nimekua mkubwa ndio nimejua leo kuwa Kagera wanazalisha maharage maana sijawahi yala wala sijui ni aina gani.
Najua maharage kutoka Kigoma,Rukwa,Mbeya,Songwe na Ruvuma.
Mbona maharage yana fetch bei nzuri na yanawatoa watu huku kwetu Highlands sasa kama mnaongoza how comes mnaongoza kwa poverty rates kwa kiasi hicho? Nyie watu mna shida ya uvivu au?
Kijana nadhani unafahamu mixed farming.Inaonekana huo mkoa uko predominantly na kilimo zaidi, unfortunately Mazao mengi ya kilimo huwa yanabei ndogo hasa kwa kilimo cha kujikimu matokeo yake ni umaskini.
Maana uje upate gunia 12 za maharage kwenye ekari ni mziki huwezi linganisha na ekari moja ya miti au viazi mviringo.
Tafuteni kitu kingine cha maana mtaishia mkoani kila siku.
Kiboko ya Bukoba ,Swax ππThe way bukoba is still coming upView attachment 1922021View attachment 1922023View attachment 1922024View attachment 1922026View attachment 1922029
Hebu nilete report ya serikali. Yeye si anapenda takwimu[emoji23][emoji23]AaahhahaaaaaViazi mviringo unaulizia Kagera?????
Sasa kama familia ya watu 6 inategemea ekari moja mtaacha kuwa na GDP ndogo na umaskini uliotukuka?Kijana. Soma vizuri hapo 2019/2020
Unapooona tunapinga takwimu zako na serikali hata sisi tunajiuliza Kama wew.
Lakin jibu la haraka haraka ni kuwa GDP ya kagera ni ndogo kulinganisha na population .
3.1 million people nyuma ya dar na mwanza tu. Lakin uwekezaji wa serikali kwa mkoa huu bado uko chini .
View attachment 1924539
Tushafunga mjadala bukoba sio mji wa kulinganisha na mji wowote huko kusini.