Kahama VS Njombe/Mafinga

Nyumba za kuishi wilaya ya njombe bukoba ni hotel kwel maisha yanaenda speed
 
Mwalimu Nyerere mwanakanda ya ziwa alijenga reli kwenda Zambia wala hakuwalenga nyie, hapo kwenu ilipita tu sababu hakukuwa na namna. Bila Zambia reli mngekuwa mnaziona kwenye tv tu hususani star tv ya kanda ya ziwa make nyie huko hamna tv station.
Wakati unaandika hili ume shirikisha moyo na ubongo au umetumia kamasi kufikiri ....
 
Mji uko ka slum za manzese ndo unasifia hapa.

Miji ya kusini slums tupu. Sio mbeya,sio iringa Wala njombe
Njombe ni nouma Sana imechapa Khm sasa Bukoba imekuja kusuport.

Njombe Vs Kahama/Bukoba.Tunashindana na Manispaa
 
HIZ

Hizo ni Old Pictures nenda kapige picha leo.Watu wamejenga vigorofa kwenye mashamba ya parachichi.Hatushindani na watu wenye GDP ya 1.1 πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Eti GDP.

hata huelewi unaandika Nini.

Tanzania hii bado maskini yote.
Tena huko kusini ndo balaa kabisa

Wakulima ndo maskini wa kutupwa. Wanazalisha Sana but faida kidogo ndo kinachowakuta watu wa kusini.

Bora sisi tupo kwa elimu sana
 
HIZ

Hizo ni Old Pictures nenda kapige picha leo.Watu wamejenga vigorofa kwenye mashamba ya parachichi.Hatushindani na watu wenye GDP ya 1.1 πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Mkulima wa bongo atabaki maskini milele sera za nchi zisipobadilika.

Wakulima wa bongo huzalisha Sana lakin kwa sababu ya sera mbovu za nchi mikoa yao inaonekana Ina GDP kubwa but hali ya maisha ni ajabu kweli kweli
 
HIZ

Hizo ni Old Pictures nenda kapige picha leo.Watu wamejenga vigorofa kwenye mashamba ya parachichi.Hatushindani na watu wenye GDP ya 1.1 πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Njombe ni nouma Sana imechapa Khm sasa Bukoba imekuja kusuport.

Njombe Vs Kahama/Bukoba.Tunashindana na Manispaa
Makete ni moja ya wilaya kwenye mkoa wenye per capita ya 3000

Halafu huko si ndo kwa wakinga

Kagera kitakwimu inaonekana maskini lakin kuuhalisia haijafikia hali hii.
 
Picha ya kwanza na ya pili hapo juu inaonesha how Mighty Njombe is..
HIZ

Hizo ni Old Pictures nenda kapige picha leo.Watu wamejenga vigorofa kwenye mashamba ya parachichi.Hatushindani na watu wenye GDP ya 1.1 πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Pamoja na wilaya ya biharamulo ( ambayo ndo maskini Sana mkoa wa kagera) kuwa maskini lakin haijafikia hatua hii.

Ludewa ndani ya mkoa wenye per capita kubwa nchini njombe
 
Uwe unagoogle taarifa current ,hii taarifa yako ni zamani sana inazungumzia Ludewa ya Iringa wakati toka 2012 Ludewa haiko Iringa tena iko mkoa wa Njombe.Nikukumbushe Barabara ya Zege kilomita Hamsini amabayo pengine ndefu zaidi kwa kiwango hicho East na Central Africa.Iko Njombe Wilaya ya Ludewa.na sasa imebaki kama kilomita 15 kuisha.Unapogoogle tafuta latest information najua wewe bado hujasaranda sehemu nyingi za nchi hii.

Kwa unataka kusema mmeendelea Sana baada ya miaka hii kumi yote

Tanzania hii

Tanzania umaskini bado ni mkubwa Sana

Tena huko kusini ndo balaa.

Mimi hotel hazijaisha huku bukoba.

Wahaya wanajitahidi Sana kuwekeza kwao

Royal fountain hotel bukoba
 
Mkoa wa kagera hizo barabara za wilaya tushamaliza zamani

Tupo barabara za vijijini.

Mimi napenda takwimu ziendelee kutuonyesha maskini ili wahaya wazidi kuwekeza kwao sana .

HIZ

Hizo ni Old Pictures nenda kapige picha leo.Watu wamejenga vigorofa kwenye mashamba ya parachichi.Hatushindani na watu wenye GDP ya 1.1 πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Nani alisema maprofesa hawaijengi bukoba.

Nyumba ya mama professor Anna tibaijuka bukoba

Mama wa mboga
 
HIZ

Hizo ni Old Pictures nenda kapige picha leo.Watu wamejenga vigorofa kwenye mashamba ya parachichi.Hatushindani na watu wenye GDP ya 1.1 πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Hebu twende muleba Sasa .wilaya yenye hospital zaidi ya tano.

Wilaya ya pili kwa shule nyingi nchini.
Wilaya ambayo bado kata mbili tu ambazo hazina lami
 
HIZ

Hizo ni Old Pictures nenda kapige picha leo.Watu wamejenga vigorofa kwenye mashamba ya parachichi.Hatushindani na watu wenye GDP ya 1.1 πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Parokia ya itahwa huko bukoba vijijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…