Mimi ninaongelea ndege wew unaleta hizo treni zilizochoka!!?View attachment 1904090View attachment 1904091View attachment 1904092View attachment 1904093
Muache kukalili Kanda ya ziwa haya mambo nyanda za juu kusin yalishafanyika muda mrefu mtu anajua reli ya tazara inasafirisha shaba tu na ngoja tukuletee zinazo beba content na magari
Hebu muache apumzike kwa amani.Hii shule si ndio tulidhurumiwa rambirambi zetu
Mimi ninaongelea ndege wew unaleta hizo treni zilizochoka!!?
Kama na maendeleo ya usafirishaji miji Kama bukoba imekuwa na meli na bandari toka ukoloni uko 1930 .
Kumbuka bukoba ilikuwa mji mwaka 1890 nyie sijui mlikuwa wap...
View attachment 1904150View attachment 1904151View attachment 1904152
IringaHe
View attachment 1904257View attachment 1904258
Angalia mji mlio anzanao nyanda za juu kusini ulivowapiga gap endeleeni kunywa ubisi mkajifariji et mnaendelea mtasubiri sana
Muachage ushamba nyie watu wa. Kusini.He
View attachment 1904257View attachment 1904258
Angalia mji mlio anzanao nyanda za juu kusini ulivowapiga gap endeleeni kunywa ubisi mkajifariji et mnaendelea mtasubiri sana
Hko ni kujifariji tu huwezi linganisha iringa na bukoba iringa IPO mbali SanaIringa
Mji mdogo na umejaa slums kuanzia ipogoro Hadi Samora sema Kuna maghorofa yamebanana hapo mjini Kati.
Serikali inajitahidi Sana kupaendeleza iringa kwa stendi ya kisasa,barabara,masoko na vyuo lakin watu wake hawana vipato hata kidogo.
Kwenye huduma za kijamii na hali ya maisha bukoba inaipiga gape iringa kuanzia mjini mpaka vijiji
Vijijini Sasa huko kilolo sijui iringa vijijini na balaa tupu umaskini wa kutisha.
Kwanza hiyo picha uliopost ni slums tupu
Mwalimu Nyerere mwanakanda ya ziwa alijenga reli kwenda Zambia wala hakuwalenga nyie, hapo kwenu ilipita tu sababu hakukuwa na namna. Bila Zambia reli mngekuwa mnaziona kwenye tv tu hususani star tv ya kanda ya ziwa make nyie huko hamna tv station.View attachment 1904090View attachment 1904091View attachment 1904092View attachment 1904093
Muache kukalili Kanda ya ziwa haya mambo nyanda za juu kusin yalishafanyika muda mrefu mtu anajua reli ya tazara inasafirisha shaba tu na ngoja tukuletee zinazo beba content na magari
Hko ni kujifariji tu huwezi linganisha iringa na bukoba iringa IPO mbali Sana View attachment 1904686View attachment 1904687View attachment 1904691
Mji wenu ni manzese iliyochangamka.Hata watu wa masifa bukoba kweli mnajifananisha na iringa town kweli mtasubiri sana
View attachment 1904713View attachment 1904715
Hata watu wa masifa bukoba kweli mnajifananisha na iringa town kweli mtasubiri sana
View attachment 1904713View attachment 1904715
Huu mji hakuna kitu kabisa.Hko ni kujifariji tu huwezi linganisha iringa na bukoba iringa IPO mbali Sana View attachment 1904686View attachment 1904687View attachment 1904691
Yaani Njombe ya jamii forum ni Dubai ndogo, ni watu vile hawajuiMiji na mikoa yote Tanzania ikajifunze Njombe namna ilivyowaondoa machinga na wajasiliamali wadogo barabarani na maeneo yasiyolasmi na kuwa weka kwenye masoko na maeneo ya biashara bila prukushani na mabomu.Heko sana kwa halimashauri ya mji Njombe naamini wengine watajifunza kwenu.Hakina nimejionea mwenyewe mji uko safi kabisa na DAR ES SALAAM hii ingekua safi kama Njombe bila biashara holela lingekua jiji la mfano kabisa.
Ukweli ndio huo nimekwenda Njombe Jumanne hakika ni mji msafi,well cleaned hakuna watu wanapanga bidhaa barabara au kupika barabarani na mitaroni Kama Dsm na miji mingine kwa hilo sina cha kusema kongole kwa halimashauri.Yaani Njombe ya jamii forum ni Dubai ndogo, ni watu vile hawajui
Hii village town ya Bukoba ni hovyo kabisa kimji hakina street lights ikifika usiku watu wote wanashindana kuwanga na kufanya katerero tuu ππMimi ninaongelea ndege wew unaleta hizo treni zilizochoka!!?
Kama na maendeleo ya usafirishaji miji Kama bukoba imekuwa na meli na bandari toka ukoloni uko 1930 .
Kumbuka bukoba ilikuwa mji mwaka 1890 nyie sijui mlikuwa wap...
View attachment 1904150View attachment 1904151View attachment 1904152
Ndo unavyojifariji sio ππ Bila maghorofa hicho ni kijiji za ujamaa almaarufu village townMji wenu ni manzese iliyochangamka.
Napafahamu Sana iringa kuanzia kihesa,ipogolo,mkwawa nk nk
Maendeleo ya mji sio kuwa na maghorofa marefu mzee. Tazama miji ya ulaya .miji mingi ya ulaya hainaga maghorofa marefu lakin Ina huduma zote muhimu.
Hio ndo bukoba huduma zote muhimu zipo ( isipokuwa stendi tu ambayo nayo inajengwa) tukianzia hospital zaidi ya tano, airport, barabara,maji, bandari,viwanja vya mpira, umeme nk ni huwezi linganisha na iringa.
Mji mdogo Sana ule.
Kwanza huko safari za ndege zimefungwa hakuna abiria hukojinsi mji ulivyojaa maskini
Iringa Per Capita GDP 4,000 VS Kagera Per Capita GDP 1,1000 ππππ.Iringa
Mji mdogo na umejaa slums kuanzia ipogoro Hadi Samora sema Kuna maghorofa yamebanana hapo mjini Kati.
Serikali inajitahidi Sana kupaendeleza iringa kwa stendi ya kisasa,barabara,masoko na vyuo lakin watu wake hawana vipato hata kidogo.
Kwenye huduma za kijamii na hali ya maisha bukoba inaipiga gape iringa kuanzia mjini mpaka vijiji
Vijijini Sasa huko kilolo sijui iringa vijijini na balaa tupu umaskini wa kutisha.
Kwanza hiyo picha uliopost ni slums tupu
The biggest mover ni NjombeIringa Per Capita GDP 4,000 VS Kagera Per Capita GDP 1,1000 ππππ.
Umaskini wa kutopea huko Katerero Region sidhani kama mna jipya hapa Tznππ
View attachment 1914407
Iringa Per Capita GDP 4,000 VS Kagera Per Capita GDP 1,1000.
Umaskini wa kutopea huko Katerero Region sidhani kama mna jipya hapa Tzn
View attachment 1914407