Kahama VS Njombe/Mafinga

Wanjombe wapambane waizidi kigoma ujiji kwanza, sisi sio level y
Wanjombe wapambane waizidi kigoma ujiji kwanza, sisi sio level yao.
Ukiongelea maswala ya miundombinu nyanda za juu kusini ipo mbali Sana na miundombinu yao inafaida kubwa Sana tofauti na Kanda ya ziwa mfano reli ya dsm mwanza zaidi ya kubeba abiria watabeba mapank ya samaki ko unavochangia mada inatakiwa uwe na uelewa mpana na jiografia ya nchi yako na nchi za jiran pia ndo maana kwa Tanzania barabara inayopitisha gari nyingi kwa siku ni TAZAM road inayotoka dar mpaka afrika kusin na karibia mikoa ya nyanda za juu kusin imepita Kuna bomba la mafuta toka dar had ndola Zambia kitu ambacho Kanda ya ziwa ndo wanaamka saiz wenzenu HIV vitu vilishakuwepo na hiyo happy chini ni mtandao wa reli
 
Kinachonishangaza mnapenda chini lakini matokeo yake ni HIV tu, wasukuma wanasukuma mashine lakini matokeo yake wanaongezeka tu tena bila ukimwi
 
Kinachonishangaza mnapenda chini lakini matokeo yake ni HIV tu, wasukuma wanasukuma mashine lakini matokeo yake wanaongezeka tu tena bila ukimwi
Maendeleo na ukimwi yanahusiana nin mbona historia hufatilii kuwa ulianzia kagera Kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini wameelimika wanapima sio hko mtu anakufa na ukimwi anazingizia amerogwa ko huo ndo utofauti elimu inasaidia ushamba ni mzigo
 
Heeeh!!!!
 
Kijana mje mjifunze kagera ilivyocontrol ukimwi mpaka Sasa haipo top ten Tena.

Elimu ni kitu Cha msingi Sana.
Ulisumbua kagera miaka ya mwanzo ulipoingia na ulikuwa haujulikani Sana lakin baada ya kujulikana umepunguzwa Kasi.

Yote hii ni elimu na usomi wa huu mkoa.

Mambo ya ukimwi yamebaki kwenu huko kusini
 
Nyanda za juu kusini Nyeenyeeee, huko mnabebwa na shaba za Zambia tu, mbali na hapo tungeifunga TAZARA
 
Kwa akili yako unazani Mwanza inashindana na vijiji vya hapa Tanzania, ungekuwa na akili ungejiuliza kwanini serikali inawekeza Mwanza na dar na haiweki nguvu sana huko kwenye mashamba ya viazi na mpunga.
Serikali ipi kama ni ile hata chato ilipendelewa lkn tunaona mfano kama airport ikigeuka kuwa kama mobutu memorial temple,soon!
 
Fatilia vizuri reli ya tazara inasafirisha mizigo gani na sio shaba tu na kumbuka ndo reli yenye treni nyingi za mizigo na abiria na hii kwa Sasa haijaishia Zambia imeanzia cape Town south Africa na Kuna tren special za watalii
Nyanda za juu kusini Nyeenyeeee, huko mnabebwa na shaba za Zambia tu, mbali na hapo tungeifunga TAZARA
 
Safari za ndege za Iringa zimesitishwa .hakuna abiria huko.

Halafu wanasema wanavipato

Sijui vipato gani hiv

Muache kukalili Kanda ya ziwa haya mambo nyanda za juu kusin yalishafanyika muda mrefu mtu anajua reli ya tazara inasafirisha shaba tu na ngoja tukuletee zinazo beba content na magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…