Naona umeandika neno 'LAKE' hapo, ndiyoo ni LAKE, yaani ziwa. Ni ziwa kubwa kuliko Maziwa yoooote Afrika. Ambapo kwenye hilo ziwa kunajengwa daraja reeefu kuliko yote Afrika mashariki na kati. Ni kanda ambayo hadi Sasa serikali iko Mzigoni kuhakikisha inaunganishwa na jiji kuu la kibiashara kwa reli itakayopitisha treni ya umeme, Ni kanda ambayo iko busy zaidi 'ukitoa dar' kwa trip za ndege za ndani. Ni kanda ambayo toka mwaka 2000 inapeperusha matangazo ya tv nchini na nchi za nje kwa satellite, Ni kanda ambayo toka mwaka 1996 inapeperusha matangazo ya radio nchi nzima na nchi za maziwa makuu, Ni kanda ambayo kuna kampuni ya kutengeneza meli yaani kama Japani tu, Ni kanda ambayo kuna hifadhi bora zaidi duniani 'serengeti', Ni kanda ambayo ndani yake Kuna jiji lenye manispaa mbili na ndani ya jiji kuna national park, nk. Huko kusini vipi?dev
developed wapi lake Zone π π π π
Una matatizo ,hapo mwisho nimekuwekea Salam za PM kwa wanafamilia, Songoro marine ni matajiri kutoka Kanda ya Kusini wamekuja kuwasaidia maisha huko kwenu ππUmesahau kuweka msisitizo kwamba 'kampuni ya meli ya songoro marine ya Mwanza, Kanda ya Ziwa'
We unaota mitumbwi hii ndio ulinganishe na meli kubwa za mizigo za serikali?Mwanza kuna Mkurya mmoja anazo karibia 12 tena kubwa zaidi ya hizo anaitwa Kitano Chacha, kuanzia Passenger n Cargoship mpaka tanker za mafuta.
View attachment 1891731View attachment 1891733
View attachment 1891738
Aaaahhhh, nitakuja na fleet za Mkombozi fishing and marine transport hapa uone vyuma.We unaota mitumbwi hii ndio ulinganishe na meli kubwa za mizigo za serikali?
Hii mitumbwi yako inabeba magari 3 afu unaita na unalingishia kabisa ? Kuwa serious
Badala ya kununua Zana za kilimo mkajenga uwanja wa kutua Birds πππndiyo maana hadi Leo mnashika mkia kwenye maendeleoNaona umeandika neno 'LAKE' hapo, ndiyoo ni LAKE, yaani ziwa. Ni ziwa kubwa kuliko Maziwa yoooote Afrika. Ambapo kwenye hilo ziwa kunajengwa daraja reeefu kuliko yote Afrika mashariki na kati. Ni kanda ambayo hadi Sasa serikali iko Mzigoni kuhakikisha inaunganishwa na jiji kuu la kibiashara kwa reli itakayopitisha treni ya umeme, Ni kanda ambayo iko busy zaidi 'ukitoa dar' kwa trip za ndege za ndani. Ni kanda ambayo toka mwaka 2000 inapeperusha matangazo ya tv nchini na nchi za nje kwa satellite, Ni kanda ambayo toka mwaka 1996 inapeperusha matangazo ya radio nchi nzima na nchi za maziwa makuu, Ni kanda ambayo kuna kampuni ya kutengeneza meli yaani kama Japani tu, Ni kanda ambayo kuna hifadhi bora zaidi duniani 'serengeti', Ni kanda ambayo ndani yake Kuna jiji lenye manispaa mbili na ndani ya jiji kuna national park, nk. Huko kusini vipi?
[emoji1787][emoji1787]Unamng'ang'ania hadi marehemu! Kisa ulisikia alifia mbeya!! Ndiyo alifia mbeya alikoenda kikazi na hakuzikwa kusini na wala hakuwa mtu wa kusini, ni damu ya Mara hiyo alikuwa mkazi wa ilemela, Mwanza.Una matatizo ,hapo mwisho nimekuwekea Salam za PM kwa wanafamilia, Songoro marine ni matajiri kutoka Kanda ya Kusini wamekuja kuwasaidia maisha huko kwenu [emoji16][emoji16]
Inafahamika kusini aka matakoni mwa Tanzania ndo inashika mkia, watumishi wa Umma wakipangiwa kusini wanalaza nyasi, hawataki shida. Wanaojikaza kwenda walishawahi kuombewa posho za mazingira magumu ya kazi[emoji134][emoji134] sijui iliishia wapi, nami nasema wapewe tu kuwafuta machozi.Badala ya kununua Zana za kilimo mkajenga uwanja wa kutua Birds [emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo maana hadi Leo mnashika mkia kwenye maendeleo
Ata Rio de janeiro ipo hivyo hakuna jiji lilikamilika acha ulofa, hiyo mikoa yenu inasafari ya miaka zaidi ya 200 kufika jiji la Mwanza lilipofikia sasa.
Haya maisha yaani watu wanaishi kwenye mabanda ya nguruwe tena mjini Kati,inasikitisha lakini ndio ukweli huu.
Kusini hakuna hiyo habari ππππAta Rio de janeiro ipo hivyo hakuna jiji lilikamilika acha ulofa, hiyo mikoa yenu inasafari ya miaka zaidi ya 200 kufika jiji la Mwanza lilipofikia sasa.
[emoji1787][emoji1787]Unamng'ang'ania hadi marehemu! Kisa ulisikia alifia mbeya!! Ndiyo alifia mbeya alikoenda kikazi na hakuzikwa kusini na wala hakuwa mtu wa kusini, ni damu ya Mara hiyo alikuwa mkazi wa ilemela, Mwanza.
Afu mie sijakuuliza kuhusu marehemu Songoro ambaye inabidi tumuache aendelee kupumzika kwa amani, nilisema kuhusu kampuni ya Songoro Marine yenye maskani yake manispaa ya Ilemela ndani ya jiji la Mwanza ambayo inajenga boti, meli, ferry, nk katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda na Msumbiji. Kumbuka inaitwa songoro Marine ya Mwanza, Tanzania, haya sema 'Songoro Marine ya Mwanza Tanzania' [emoji28][emoji28]
We endelea kulima viazi ila uache useng# kulinganisha Mwanza na vijiji vya wakulima.Haya maisha yaani watu wanaishi kwenye mabanda ya nguruwe tena mjini Kati,inasikitisha lakini ndio ukweli huu.
Haya ni makazi sio Maofisi.
Kwani nani ana taka habari za kutoka huko mavumbini.Kusini hakuna hiyo habari ππππ
Mwanzo si ndio hiyo hapo imejaa mabanda ya nguruwe au kuna Mwanza nyingine?We endelea kulima viazi ila uache useng# kulinganisha Mwanza na vijiji vya wakulima.
Achana nao hao malofa usiangaike kuharibu bundle lako, ata mji wote wa njombe na sumbawanga haiwezi kufikia Buzuruga.
Mnaishi kwenye mapango na mawe kama nguchiro,vicheche au nyoka ..Tokeni huko achieni viumbe hai wengine.
Ni kweli, tukiingiza Mwanza itakuwa Kama tunaua Mende kwa nyundo, tutawaonea hawa wachimba viazi.Mkuu nilikuwa sitaki kuingilia huu uzi wenu nikizana ni wa njombe vs kahama, lkn nakuta vitu vya ajabu mara MWANZA imeanza kulinganishwa na vijiji vya walima viazi mviringo, nawaomba muendelee kulinganisha hiyo miji ya kusini na miji mingine MWANZA itoeni huko ni kama kuilinganisha manchester united na team kama za ndanda za njombe mji.
Umeona utafute eneo bovu kuliko lote ndio huje upost hapa, hao wapo magorofani bwege wewe unasema wapo kwenye vibandaMwanzo si ndio hiyo hapo imejaa mabanda ya nguruwe au kuna Mwanza nyingine?