Kahama VS Njombe/Mafinga

Rudi tena machimboni kajipange upya.

Kusini kucheere,hivi hapa viwanja vya Ihefu Highland estates na Nelson Mandela Sumbawanga.πŸ‘‡πŸ‘‡











 
Kuna density gani hapo sasa ,nikiagiza jeshi la Iringa hicho kijiji kitatokea wapi?

Barabara Swax imewachapa nje ndani,kesho nitaamza kuleta jengo moja moja yako mengi sana
 
Kuna density gani hapo sasa ,nikiagiza jeshi la Iringa hicho kijiji kitatokea wapi?

Barabara Swax imewachapa nje ndani,kesho nitaamza kuleta jengo moja moja yako mengi sana
Iringa nimeishi.
Ule mji ukitoa vyuo ni vile vughorofa pale Kati hauna kitu zaidi ya baridi na slums.Halafu mji mdogo Sana ule




Official now bukoba vs kusini
 
Jumlisha vyuo vya Poverty zone vyot huwezi pata vyuo idadi kama hii ya vyuo vilivyopa Mbeya pekee.

Twende Kazi sitaki maneno Picha za CuCom pekee πŸ‘‡πŸ‘‡

































 
Iringa itakuaibisha Bkb size yake ni Swax, unadhani ulivyoishi enzi hizo ndivyo ulivyo leo?
Kijana nimeenda juzi tu hapo Ruaha University.


Mji ule hauna kitu zaidi ya vyuo na tumajengo tule Central.


Mji una slums Kama zote. Vijijini Sasa huko kilolo sijui kilolo ni ajabu ajabu tu.




Eiffel tower and Bukoba cathedral
Compare and contrast
 
Sioni vyuo kutoka Kanda ya migodi vya kushindana na vyuo vya Mbeya City pekee,mnafeli wapi?

Teofilo Kisanji University Mbeya πŸ‘‡πŸ‘‡









 
Kuwa na vyuo vingi sio maendeleo bro


Maendeleo ni kuwa na wasomi wengi Kama ilivyo kagera. mtu mmoja Kati ya 5 Ana degree .


Kuna Publication iliyoeleza hotuba ya Enock Massawe akiwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akieleza idadi ya Maprofesa Tanzania tokea imepata uhuru kufika 500 lakin kagera ina Maprofesa zaid ya 150 na 70% ya Maprofesa haob wakitokea Wilaya ya Missenye Tarafa Kiziba kwa (NSHOMILE) kifuatiwa na Wilaya ya ukerewe ambayo ina Maprofesa 24, wakifuatiwa na Kilimanjaro 21 Maprofesa tu
Na mikoa mingine mingine

Nikafanya kauchunguzi kwa Haraka nimepata hawa hapa, changamoto ni kwamba kuna Maprofesa wahaya wasiotumia majina ya kihaya, hivo hao sikuweza kuwatambua haraka,

Waliotambulika haraka ni hawa
1. PROF. BARONGO JUSTUS O
B.Sc. (UoN), M.Sc. (Queens), Ph.D. (McGill).
Email: jbarongo@uonbi.ac.ke
2. Professor L Barongo
Community Medicine: Professor
Contact Details:
(+264 61) 2065012
lbarongo@unam.na
3: Professor Feliciano Barongo mzumbe University
4: Prof Silas Lwakabamba is a Rwandan professor of Tanzanian
5: Professor Rwekaza Mukandala
6: Professor John Rwomushana
7: Professor Anna Tibaijuka
8: Professor Kesho Mushahara
9: Professor Kazaula
10: Professor Tibageza
11: Professor Delphin Rwegadsira
12: Professor Justinian Rweyemamu
13: Professor Letice Rutashobya
14: Professor Clavery Mtesigwa UDSM
15: Prof Mwesiga Baregu
16: Prof Mushumbusi kibogoya UDSN
17: Professor mugyabuso Mulokozi UDSM
18: Professor Faustine Kamuzora
19: Professor Aurelia Ngirwa
20: Professor Kamuntu
21: Professor Chris Kamuzora
22: Professor Rwelamila NRF
23: Professor mark Rweyemamu Galv
24: Professor Kyaruzi SUA
25: Professor Joseph Kahamba
26: Prof Sylvest Kajuna kairuki University
28: Professor Erasmus Kaijage
29: Professor Hoses Rwegoshora
30: Professor Kami S P Rwegasira
31: Filbert Rwehumbiza
32: Professor Kamala
33: Professor Kairuki
34: Theonest Mutabingwa
35: Professor Mwemezi Rwiza Nelson Mandela University
36: Professor Kato Rugangila,
37: Professor Tumwesige
38: Professor Godwin Kaganda
39: Professor John Ruhangisa
40: Professor Benson Bagonza
41: Professor Rwegarulila
42: ProfessorJamindu Katima
43: Professor Batamuzi
44: Professor Mutayoba
45: Professor Bitegeko
46: Professor Jonathan Kabigumila
47: Professor Mutabingwa Theonest Kahangwa ,
48: Professor Kamazima M M Lwiza
49: Professor Joseph Buchweishaija
50: Professor Emanuel Babyegeya
51: Professor L.K Rutasiitara
52: Professor Richard W Rwechungura
53: Professor Egydius R Rwenyagila
54: Professor Benezet Mtayoba SUA
55: Professor B. A Rwezaura UDSM
56: Professor R.C Ishengoma
57: Professor Tibandebage
58: Professor W . Rugakingira
59: Professor Buberwa
60: Professor C. S Binamungu Mzumbe
61: Professional prof Bonaventure Rutinwa
62: Professor Alex M Mtalemwa Harvad University
63: Professor Deogratius Rutatora SUA
64.Prof Mutahaba
Orodha ni ndefu
 

Niliuliza swali kwa udadisi,! Sikuhitimisha, tuendelee kunogesha mjadala. Mjadala huu unaleta chachu kujituma ili kukuza uchumi
 
Kujifariji sio vibaya πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†,hao wasomi walisoma vyuo vya jirani hapo Uganda na Kenya,sasa sisi tunajenga mfumo wa kusomesha wasomi kwa vyuo vya ndani.

Naendelea na kuwachapa fimbo, UDSM--Mbeya University College of Health and Allied Sciences(MUCHAS)πŸ‘‡πŸ‘‡

Teaching Hospital ni Mbeya Zonal Referral Hospital











 
Sijalishi vilio vyenu,njooni mtoe ujinga kwa kusoma kwenye vyuo vikuu vilivyopo Mbeya.

Tumaini University Makumira Mbeya CentreπŸ‘‡πŸ‘‡



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…