Kahama VS Njombe/Mafinga

mbunda kuna Lami mkuu
lubya kuna lami mkuu
Nshamba nakoje??
Kijana umetoka kagera lini?

Lami imewekwa huko Rubya mwaka 2019 na magufuli aliizindua mwaka huu na barabara inaitwa mujungi road.

Lami kwa Sasa ipo nshamba.




Barabara za muleba zisizo na lami ni zile za mubunda na ngote
 
Hata ziwani mkoa wa njombe upo utauzidia wap kagera kunywen tu ubisi
 
Ahaa kumbe mnalinganisha makusanyo?


Mie nilifikiri maendeleo


Hata makusanyo Dodoma iinakusanya zaidi kuliko ubungo lakin huwezi linganisha maendeleo ya maeneo hayo.
 
HIZO ni ofisi za halmashaur ya mji njombe na makambako mkoa wa njomb
 
Kumbe mnashindanisha mabasi?

Hiv mnatumia akili zanu kweli.sasa mtu anatoka bukoba saa 12 jioni etii unaenda dar ? Au bukoba hampajui


Anyway bukoba mabasi yapo kibao Tena mazuri Hadi Dar lux ilikuwepo.sina haja ya kuyataja.


Bukoba watu huingia na kutoka kwa mabasi,meli na ndege.
Meli tu ya mv Victoria inashusha watu 1000 kila siku


Vijana hiv huko nyanda za juu Kuna route za ndege kweli?


Hebu tazama bukoba inavyozidiwa na abiria wa ndege.Ndege inaenda bukoba ikiwa na asilimia zaidi ya 70
 
Wapi hakuna umeme toka zamani! Umeme kwenda kusini ni njia moja tena ile ndogo ya kizamani, wakati umeme kwenda kanda ya ziwa ni njia mbili tena hii ya pili ni kubwa zaidi na ya kisasa Kama ulivyoona kwenye picha
Kwa hiyo nakupa ushahidi japo juu unabisha au? Huko lake zone vitu kama hivi mumeanza kuviona enzi za Mkapa na JK ndio maana mnaongoza kwa umaskini.

Nimesema hivi umeme umekuwepo Nyanda

Wewe acha ushamba,nimekueleza tena kwa mifano hai kwamba nyie ndio mnaanza kutumia umeme nowadays wakati sie tumekuwa na umeme toka Uhuru.

Hata saizi umewah sikia Rukwa,Songwe na Njombe tunalia Lia Kuhusu umeme au kukatika umeme?

Tuma multiple sources kuanzia private, institutions na government.

Shida unaishi kijijini na umekaririshwa pumba
 
Kwan wilaya za kagera hazina fursa?


We huoni atcl inavyofurahia hii route.

Nyie endeleeni na makusanyo bukoba watu wanafurahia vipato
 
Eti Pato ni la msimu.


Kijana unijua mixed farming ya migomba?
Au tukurudishe shule? Hujui hiyo mihogo,magimbi nk hulimwa pamoja na migomba?

Pato la msimu wakati bukoba kuna uvuvi Kuna viwanda vikubwa viwili vya samaki, biashara za mipakani,kilimo Cha miwa kagera sugar, vanilla,


Bado Kuna migodi mikubwa Kama stamico Kule biharamulo .
 
We kweli ni kituko, umeme kanda ya ziwa uko toka enzi za mjerumani, kipindi huko kusini mnaishi na nyani hata barabara ya lami hamuijui inafananaje
 
Shamba la Green gold mkoa wa njombe mtasubiri sana
View attachment 1880027
Haha mara ya mwisho kwenda Igwachanya (Wanging'ombe) lini??
pote huko now ni lami2 mkuu hadi Iten
Haya tazama majusanyo hapo ndyo utajua Iringa vs Bukoba ni Mbingu na AridhiView attachment 1880051
Endeleeni na makusanyo makubwa lakin wananchi wenu wakibaki maskini .


Kagera hakuna makusanyo makubwa lakin watu wanajitambua na wanaelimu hivyo wanachokipata wanakiwekeza kwenye elimu kwanza na maendeleo ndo maana vijijini kumejengeka Sana.


Siku njombe mkifika stage hii mnitag

Bukoba watu wanavipato
 
njombe zijaongelea viwanda vya chai lupembe na mananasi madeke kmbka Parachichi ya njombe huuzwa Kenya na Malawi kama ni ziwa Nenda Manda pato la kutosha2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…