Hao wote uliowataja pengine 20 tu wananyumba kwao😂😂😂Kijana mnajivunia majengo ya chuo?.kanda ya ziwa tunajivunia wasomi
kwa mkoa wa kagera mtu mmoja katika ya watu sita Ana degree mzee. Na Wala kagera hakuna chuo kikuu hata kimoja Cha umma kuna matawi tu.
Kuna Publication iliyoeleza hotuba ya Enock Massawe akiwa mkuu wa Mkoa wa Kagera akieleza idadi ya Maprofesa Tanzania tokea imepata uhuru kufika 500 lakin kagera ina Maprofesa zaid ya 150 na 70% ya Maprofesa haob wakitokea Wilaya ya Missenye Tarafa Kiziba kwa (NSHOMILE) kifuatiwa na Wilaya ya ukerewe ambayo ina Maprofesa 24, wakifuatiwa na Kilimanjaro 21.
Waliotambulika haraka ni hawa
1. PROF. BARONGO JUSTUS O
B.Sc. (UoN), M.Sc. (Queens), Ph.D. (McGill).
Email: jbarongo@uonbi.ac.ke
2. Professor L Barongo
Community Medicine: Professor
Contact Details:
(+264 61) 2065012
lbarongo@unam.na
3: Professor Feliciano Barongo mzumbe University
4: Prof Silas Lwakabamba is a Rwandan professor of Tanzanian
5: Professor Rwekaza Mukandala
6: Professor John Rwomushana
7: Professor Anna Tibaijuka
8: Professor Kesho Mushahara
9: Professor Kazaula
10: Professor Tibageza
11: Professor Delphin Rwegadsira
12: Professor Justinian Rweyemamu
13: Professor Letice Rutashobya
14: Professor Clavery Mtesigwa UDSM
15: Prof Mwesiga Baregu
16: Prof Mushumbusi kibogoya UDSN
17: Professor mugyabuso Mulokozi UDSM
18: Professor Faustine Kamuzora
19: Professor Aurelia Ngirwa
20: Professor Kamuntu
21: Professor Chris Kamuzora
22: Professor Rwelamila NRF
23: Professor mark Rweyemamu Galv
24: Professor Kyaruzi SUA
25: Professor Joseph Kahamba
26: Prof Sylvest Kajuna kairuki University
28: Professor Erasmus Kaijage
29: Professor Hoses Rwegoshora
30: Professor Kami S P Rwegasira
31: Filbert Rwehumbiza
32: Professor Kamala
33: Professor Kairuki
34: Theonest Mutabingwa
35: Professor Mwemezi Rwiza Nelson Mandela University
36: Professor Kato Rugangila,
37: Professor Tumwesige
38: Professor Godwin Kaganda
39: Professor John Ruhangisa
40: Professor Benson Bagonza
41: Professor Rwegarulila
42: ProfessorJamindu Katima
43: Professor Batamuzi
44: Professor Mutayoba
45: Professor Bitegeko
46: Professor Jonathan Kabigumila
47: Professor Mutabingwa Theonest Kahangwa ,
48: Professor Kamazima M M Lwiza
49: Professor Joseph Buchweishaija
50: Professor Emanuel Babyegeya
51: Professor L.K Rutasiitara
52: Professor Richard W Rwechungura
53: Professor Egydius R Rwenyagila
54: Professor Benezet Mtayoba SUA
55: Professor B. A Rwezaura UDSM
56: Professor R.C Ishengoma
57: Professor Tibandebage
58: Professor W . Rugakingira
59: Professor Buberwa
60: Professor C. S Binamungu Mzumbe
61: Professional prof Bonaventure Rutinwa
62: Professor Alex M Mtalemwa Harvad University
63: Professor Deogratius Rutatora SUA
64.Prof Mutahaba
Orodha ni ndefu sana
Nyie bakini na majengo yenu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1879887
Msisitizo huu hapa 👇Moja ya viwanda vya madawa vilivyopo mji wa makambako nyanda za juu kusini vinategemea kuhudumia Tanzania na nchi za SADC ndo ujue wapi hospitali zitakuwa na huduma nzuri
View attachment 1879915View attachment 1879924
Nimefika Bukoba, na kwa ukweli kabisa bila kuwa bias, Tuchukue miji miwili niwili kwa nyanda za juu kusini kisha na miji miwili ya KageraHayo maendeleo ya kusini yako wap mbona yako mdomoni mwako na ukweli unaujua kuwa Kuna umaskini umetamalaki huko..
Hiv huko kusini sijui nyanda Kuna viwanja vya mpira kweli[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hebu tazama kaitaba stadium bukoba moja ya viwanja vitano pekee nchini vyenye nyasi bandia.
Haya ndo maendeleo Sasa.
Sidhani Kama utarudia kulinganisha bukoba na huo upumbavu wa kusiniView attachment 1879817View attachment 1879819View attachment 1879820View attachment 1879821View attachment 1879823
Dar ya wapi? Hujui kwamba 60% ya hayo makusanyo hubakia Halmashauri husika? Endelea kuleta miradi ya zama za maweHizo takwimu ni makusanyo tu ambayo yanaenda kujenga dar.
Unaweza kuta hiyo wilaya haina hospital ya wilaya au Basi Kama ipo basi iko mbali na wananchi .
Maendeleo mtu mmoja ndo muhimu sio makusanyo yako hayo.Na kwa Hilo wahaya wapo juu Sana wote waliopo bukoba na nchi nzima ndo maana route za ndege dar bukoba ni nne kila siku na watu wanajaa. Air Tanzania Mara mbili, precision Mara moja na auric.Bukoba airport iko busy always.
Hebu niongelee wilaya moja ya wahaya
Kijana hiv unajua wilaya ya muleba Ina hospital tano kubwa.
1.Rubya hospital
2.kagondo hospital
3.Ndolage hospital
4.Kaigara hospital
5.Izimbya hospita
Na kila hospital Ina chuo Cha uuguzi.
Wilaya ya misenyi Ina hospital tano.
1.Mugana hospital
2.Kajunguti hospital
3.Kagera sugar hospital
4. Bunazi hospital
5 Mutukula hospital
Hebu tazama Rubya hospital 90km kutoka mjini bukobaView attachment 1879800View attachment 1879801View attachment 1879802
Kijana hiv barabara ya lami ni kitu Cha kujivunia?[emoji848]Babu toka humo ziwani waache vyura njoo nchi kavu ukutane na mkeka mkali kama huu,bado Niko Sumbawanga [emoji116][emoji116]
View attachment 1879927
View attachment 1879929
View attachment 1879930
View attachment 1879931
View attachment 1879933
Washamba wako usukumani,the whole country knowsJamaa ni ndina la hatari
Hutaiweza hata Iringa tu ndugu yangu.Kijana naona umeanza kupost matunda.[emoji28][emoji28][emoji28] Baada ya maendeleo yenu.
Mimi natumia mkoa mmoja tu wa Kanda ya ziwa naam kagera Tena wilaya tatu za wahaya kuichapa kusini yote.
Tunaongelea maendeleo ya watu sio makusanyo yanayojenga dar
Kijana look at this cathedral .Inafanya bukoba ionekane kama Paris ya East Africa. Yes bukoba ni Paris ya East Africa indeed.
Sio Eiffel tower ni bukoba main cathedral
Hebu leta kanisa lolote huko kusini nzima lenye kufikia hata robo ya hiliView attachment 1879857View attachment 1879859View attachment 1879860View attachment 1879861View attachment 1879862View attachment 1879863View attachment 1879864View attachment 1879865View attachment 1879866
😆😆😆😆 Hiyo ni lami au kokoto za kupunguza vumbi?Kijana hiv barabara ya lami ni kitu Cha kujivunia?[emoji848]
Wakati lami kwa bukoba imesogea vijijini
Barabara za lami huko kamachumu vijijini wilayani muleba.
Barabara imejengwa na madoni wa kihaya wakishirikiana na mbunge wao.
Muhutwe mpaka nshamba Km 51View attachment 1879946View attachment 1879947View attachment 1879948View attachment 1879949
Ikumbukwe kuwa Njombe ilikua sehemu ya Iringa hadi 2012 wakati bukoba ni makao makuu ya mkoa kwa zaidi ya miaka 30 hivyo Njombe iko juuNimefika Bukoba, na kwa ukweli kabisa bila kuwa bias, Tuchukue miji miwili niwili kwa nyanda za juu kusini kisha na miji miwili ya Kagera
1. Mbeya na Kyela
2. Songwe pale Mlowo na Tunduma
3. Iringa na Mafinga
4. Njombe na Makambako
Kisha Bukoba Mjini na Biharamulo
Kwa vyovyote kwa tathmini yangu tena bila unafiki, Mbeya imeizidi mbali sana Bukoba mjini. Likewise Kyela imeizid au angalau kidogo ni sawa na Biharamulo(Kyerwa, Ngara, Muleba bado kwa Kyela kidogo pale Karagwe njia panda ya Murongo)
Mji wa Iringa na Mji wa Bukoba, bado Iringa iko juu sana kwa Bukoba. Mji wa Mafinga hakuna mji wowote wa Wilaya za Kagera unaweza kuifikia Mafinga Mji na kwa kweli hata Mufindi DC as whole-economically na PPP!
Mji wa Njombe na Mji wa Bukoba, hii ni kama haipishani sana ni kama ngoma draw, ingawa kwa takwim mpya, Njombe iliizidi Bukoba mjini kwa mapato 2020/2021! Makambako ni mji ambao siyo wa Kiserikali sana, inanipa ugumu kufanya ulinagifu na miji ya Wilaya kama Karagwe, Biharamulo na Ngara. Hata hivyo, Makambako panapata hadhi kwa sababu ya barabara kuu(TANZAM)
Songwe inazidiwa na Bukoba mjini, kwa kua pale Mlowo na au Vwawa ni maeneo mapya. Ama kuhusu Tunduma, hakuna Wilaya yoyote katika zote Tanzanka hii ina mji ambao una mzunguko kama Tunduma na hii si kwa Bukoba tu ni miji karibu yote ambayo ni makao makuu ya Wilaya Tanzania nzima(labda Kahama na Mafinga TC)
Kwa hiyo ndugu yangu, huwez kubeza nyanda za juu kusini, kwa kweli wanajitahid sana kule.
Credit pekee kwa MKOA wa Kagera, ni kuwa una wasomi wengi sana lakini wengi wakiwa miji mikubwa kama Dar, Mwanza nk lakini hawapo au hawajawekeza sana biashara Mjini Bukoba. Jambo la pili, wengi wa watu wa Kagera, wamejenga nyumba nzuri mashambani mwao, na hivyo Bukoba mjini kuachwa yatima. Kama kwa hali zao wangejenga mji mkuu wao, Bukoba ingetisha.
Ni kama vile inavyojulikana kusini imesahaulika, iko nyuma inabuluza mkiaWashamba wako usukumani,the whole country knows
Vyura na Binadamu mnashindania humo ziwani.In case ulikua hujui.
Hii ndo bandari ya bukoba maarufu Kama custom . Bandari ya pili kwa ukubww baada ya mwanza.
Watu zaidi ya 1000 huondoka na kuingia bukoba kwa meli kutoka mwanza
Na Sasa meli mpya ipo inajengwa mv mwanza yenye kubeba watu 1200 View attachment 1879803View attachment 1879804View attachment 1879805View attachment 1879806View attachment 1879807View attachment 1879808View attachment 1879810
Unaongea huku ukiwa unaumia.Hao wote uliowataja pengine 20 tu wananyumba kwao[emoji23][emoji23][emoji23]
😝😝 Iliyosahaulika inaweza kuwa na miradi kama hii👇👇Ni kama vile inavyojulikana kusini imesahaulika, iko nyuma inabuluza mkia
Mbeya ni Mji mkubwa na mkoa wa Mbeya kiujumla ni namba tatu kwa uchumi nchi hii huwezi linganisha na huto tutakataka.Nimefika Bukoba, na kwa ukweli kabisa bila kuwa bias, Tuchukue miji miwili niwili kwa nyanda za juu kusini kisha na miji miwili ya Kagera
1. Mbeya na Kyela
2. Songwe pale Mlowo na Tunduma
3. Iringa na Mafinga
4. Njombe na Makambako
Kisha Bukoba Mjini na Biharamulo
Kwa vyovyote kwa tathmini yangu tena bila unafiki, Mbeya imeizidi mbali sana Bukoba mjini. Likewise Kyela imeizid au angalau kidogo ni sawa na Biharamulo(Kyerwa, Ngara, Muleba bado kwa Kyela kidogo pale Karagwe njia panda ya Murongo)
Mji wa Iringa na Mji wa Bukoba, bado Iringa iko juu sana kwa Bukoba. Mji wa Mafinga hakuna mji wowote wa Wilaya za Kagera unaweza kuifikia Mafinga Mji na kwa kweli hata Mufindi DC as whole-economically na PPP!
Mji wa Njombe na Mji wa Bukoba, hii ni kama haipishani sana ni kama ngoma draw, ingawa kwa takwim mpya, Njombe iliizidi Bukoba mjini kwa mapato 2020/2021! Makambako ni mji ambao siyo wa Kiserikali sana, inanipa ugumu kufanya ulinagifu na miji ya Wilaya kama Karagwe, Biharamulo na Ngara. Hata hivyo, Makambako panapata hadhi kwa sababu ya barabara kuu(TANZAM)
Songwe inazidiwa na Bukoba mjini, kwa kua pale Mlowo na au Vwawa ni maeneo mapya. Ama kuhusu Tunduma, hakuna Wilaya yoyote katika zote Tanzanka hii ina mji ambao una mzunguko kama Tunduma na hii si kwa Bukoba tu ni miji karibu yote ambayo ni makao makuu ya Wilaya Tanzania nzima(labda Kahama na Mafinga TC)
Kwa hiyo ndugu yangu, huwez kubeza nyanda za juu kusini, kwa kweli wanajitahid sana kule.
Credit pekee kwa MKOA wa Kagera, ni kuwa una wasomi wengi sana lakini wengi wakiwa miji mikubwa kama Dar, Mwanza nk lakini hawapo au hawajawekeza sana biashara Mjini Bukoba. Jambo la pili, wengi wa watu wa Kagera, wamejenga nyumba nzuri mashambani mwao, na hivyo Bukoba mjini kuachwa yatima. Kama kwa hali zao wangejenga mji mkuu wao, Bukoba ingetisha.
Nimetembelea Tz 75% kiukwel kwa miji ya nyanda juu kusini huwez linganisha na Kagera hata ¼ kwan nyanda za juu miji yake imechangamka sana huwez linganisha wilaya za Kagera na Wilaya za Iringa maybe za njombe coz Njombe mjini na makambak ndiko paliko pambazuka lkn sio Ludewa;Wanging'ombe na Njombe vijijni kimkoa Njombe iko vzr lkn kiwilaya Kagera iko vizuri zaidi kama Muleba na Karagwe bila kusahau Misenyi lkn kule nshamba bado san kama kama ilivyo Igwachanya (Wanging'ombe )Ikumbukwe kuwa Njombe ilikua sehemu ya Iringa hadi 2012 wakati bukoba ni makao makuu ya mkoa kwa zaidi ya miaka 30 hivyo Njombe iko juu
Wala sijasema ukubwa wa miji hata kidogo.Nimefika Bukoba, na kwa ukweli kabisa bila kuwa bias, Tuchukue miji miwili niwili kwa nyanda za juu kusini kisha na miji miwili ya Kagera
1. Mbeya na Kyela
2. Songwe pale Mlowo na Tunduma
3. Iringa na Mafinga
4. Njombe na Makambako
Kisha Bukoba Mjini na Biharamulo
Kwa vyovyote kwa tathmini yangu tena bila unafiki, Mbeya imeizidi mbali sana Bukoba mjini. Likewise Kyela imeizid au angalau kidogo ni sawa na Biharamulo(Kyerwa, Ngara, Muleba bado kwa Kyela kidogo pale Karagwe njia panda ya Murongo)
Mji wa Iringa na Mji wa Bukoba, bado Iringa iko juu sana kwa Bukoba. Mji wa Mafinga hakuna mji wowote wa Wilaya za Kagera unaweza kuifikia Mafinga Mji na kwa kweli hata Mufindi DC as whole-economically na PPP!
Mji wa Njombe na Mji wa Bukoba, hii ni kama haipishani sana ni kama ngoma draw, ingawa kwa takwim mpya, Njombe iliizidi Bukoba mjini kwa mapato 2020/2021! Makambako ni mji ambao siyo wa Kiserikali sana, inanipa ugumu kufanya ulinagifu na miji ya Wilaya kama Karagwe, Biharamulo na Ngara. Hata hivyo, Makambako panapata hadhi kwa sababu ya barabara kuu(TANZAM)
Songwe inazidiwa na Bukoba mjini, kwa kua pale Mlowo na au Vwawa ni maeneo mapya. Ama kuhusu Tunduma, hakuna Wilaya yoyote katika zote Tanzanka hii ina mji ambao una mzunguko kama Tunduma na hii si kwa Bukoba tu ni miji karibu yote ambayo ni makao makuu ya Wilaya Tanzania nzima(labda Kahama na Mafinga TC)
Kwa hiyo ndugu yangu, huwez kubeza nyanda za juu kusini, kwa kweli wanajitahid sana kule.
Credit pekee kwa MKOA wa Kagera, ni kuwa una wasomi wengi sana lakini wengi wakiwa miji mikubwa kama Dar, Mwanza nk lakini hawapo au hawajawekeza sana biashara Mjini Bukoba. Jambo la pili, wengi wa watu wa Kagera, wamejenga nyumba nzuri mashambani mwao, na hivyo Bukoba mjini kuachwa yatima. Kama kwa hali zao wangejenga mji mkuu wao, Bukoba ingetisha.
Kuna njia kuu mbili za umeme kwenda kanda ya ziwa kama unavyoziona, hiyo ya kulia ni ya zamani na hiyo ya kushoto ndo iliongezwa. Kusini imesahaulika mno[emoji13][emoji13] Iliyosahaulika inaweza kuwa na miradi kama hii[emoji116][emoji116]
View attachment 1879974
View attachment 1879975
Imejengeka eeh,ni hivi nyie Kijiji cha Bukoba size yenu ni SumbawangaUnaongea huku ukiwa unaumia.
Kwa Tanzania hakuna mkoa uliojengeka vijijini Kama kagera. Hasa zile wilaya za wahaya
Siku ikitembelea vijiji vya wahaya ndo utasema kusoma Kuna faida aisee
Makazi huko bukoba vijijini.View attachment 1879955View attachment 1879956View attachment 1879959View attachment 1879962View attachment 1879963View attachment 1879964
Umekosea, Mbeya ni Kijiji kikubwa.Mbeya ni Mji mkubwa na mkoa wa Mbeya kiujumla ni namba tatu kwa uchumi nchi hii huwezi linganisha na huto tutakataka.
Size ya Kagera ni Rukwa.Mbeya imeizidi Mwanza kwa vyuo vikuu ndio ulinganishe na huto tuvijiji ?