Kahama VS Njombe/Mafinga

Ona hapo Chini Vijiji vyenu mnavyoita miji vinavyotia aibu kwenye mapato.Yaani kakijiji cha Bukoba ni kamepigwa bao hadi na Nanyumbu TC πŸ˜€ πŸ˜€ Tukisema huko kumejaa maskini tunamaamisha hivi πŸ‘‡ πŸ‘‡
 

Attachments

Wilaya kama Sengerema ni mfano tuu wa Wilaya maskini za kutupwa,ina watu Zaidi ya 600,000 lakini umewahi isikia popote kwenye kuchangia uchumi kama Wilaya za Nyanda za Juu?

Hiyo Kanda ukiwa na akili timamu huwezi ishi
Kuna mgodi mkubwa unafunguliwa Sengerema, tayari leseni yenye thamani ya Trillions 2.3 imekwatwa. Ndio utakuwa mgodi mkubwa wa dhahabu kuliko yote nchini na utakuwa Sengerema. Multiplier effects za huu mgodi lazima muite maji mmaaaa
 
Kwa Takwimu hizi,huwa najiuliza sgr inajengwa kuelekea Mwanza kwa ajili ya nini?


View attachment 1879432
Umeangalia DRC, ujaangalia Uganda.
. Bandari ya Mwanza kusini inapokea meli zenye uwezo wa kubeba mabehewa yaani zina rail ndani nani kiunganishi cha reli za Tanzania, Kenya na Uganda kwa njia ya ziwa.

Na hivi karibuni, SSH kasaini mkataba wa ujenzi wa meli mpya kubwa kuliko zote kwenye eneo la maziwa makuu kwa ajili ya kuunganisha reli kwa njia ya maji...
 
Sasa hapo kwenye hizi picha kuna nini cha maana wewe umekiona?
Kwa hapa Tanzania hakuna mkoa wenye makazi Bora vijijini Kama kagera hasa hiz wilaya za muleba,misenyi, bukoba na karagwe. Kidogoo Kilimanjaro ndo vijijini kwao Kuna majumba ingawa nao ni vijiji vya wachaga tu
 
Ona basi hata aibu, kama jengo la wazazi hospital ya Kanda lipo hivyo na bado limezidiwa na Jengo la Hospital ya Mkoa (Sekou Toure). Kwa nini tusiseme Mwanza ni zaidi ya kanda nzima ya kusini???!
Hujaona hapo juu bweni la Rufaa Bugando mnaita hospital ya Kanda? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kusini tunaingia rasmi na kwa kishindo kwenye sekta ya Madini ,watch out kwa sasa tutakuwa na silaha zote ikiwemo madini mliyokuwa mnalingia.

Migodi ya Songwe, Mchuchuma na Liganga on the pipe lineπŸ‘‡πŸ‘‡





 
Ukiongelea chai ,kahawa , miti uvuvi, madini vyote hivyo vinafanyika nyanda za juu kusini hicho ni kiwanda Cha chai kikubwa kinapatikana mkoa wa njombe
 
Ona hapo Chini Vijiji vyenu mnavyoita miji vinavyotia aibu kwenye mapato.Yaani kakijiji cha Bukoba ni kamepigwa bao hadi na Nanyumbu TC πŸ˜€ πŸ˜€ Tukisema huko kumejaa maskini tunamaamisha hivi
Hizo takwimu ni makusanyo tu ambayo yanaenda kujenga dar.


Unaweza kuta hiyo wilaya haina hospital ya wilaya au Basi Kama ipo basi iko mbali na wananchi .


Maendeleo mtu mmoja ndo muhimu sio makusanyo yako hayo.Na kwa Hilo wahaya wapo juu Sana wote waliopo bukoba na nchi nzima ndo maana route za ndege dar bukoba ni nne kila siku na watu wanajaa. Air Tanzania Mara mbili, precision Mara moja na auric.Bukoba airport iko busy always.



Hebu niongelee wilaya moja ya wahaya

Kijana hiv unajua wilaya ya muleba Ina hospital tano kubwa.
1.Rubya hospital
2.kagondo hospital
3.Ndolage hospital
4.Kaigara hospital
5.Izimbya hospita
Na kila hospital Ina chuo Cha uuguzi.



Wilaya ya misenyi Ina hospital tano.
1.Mugana hospital
2.Kajunguti hospital
3.Kagera sugar hospital
4. Bunazi hospital
5 Mutukula hospital



Hebu tazama Rubya hospital 90km kutoka mjini bukoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…