Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Bora iwe mall maana hata architecture yake ina mbwembwe Sana aiseeHilo lisoko la kisutu lingegeuzwa kuwa limall soko gani lina gorofa nne plus then unampeleka mtu kununua nyanya na vitunguu hii nchi ina watu wa ajabu sana.
List of cities in Tanzania - Wikipedia pita hapoAcha masihara basi mkuu yaani Kahama hiyo ya kichuuzi ndio iwe Jiji? Acha dharau wewe kwa status ya City
Yaa kwa pesa niliosikia ni Kati ya 20-35 bln annually,hii pesa ni ndefu Sana.Ilemela ikianza kuvuna mzigo wa refiner itakuwa level za akina Kinondoni
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Ndio maana waliachia stand ya Nyamhongolo iende Halmashauri mpya ya Kisesa walijua mzigo unakuja tuYaa kwa pesa niliosikia ni Kati ya 20-35 bln annually,hii pesa ni ndefu Sana.
Pesa za migodi ndio zinawabeba hata Geita na Kahama.Mtakuwa mbele Sana lakini haita akisi Hali ya maisha ya watu maana hayo yatakuwa ni mapato ya corporate na sio kutoka kwenye shughuli za kawaida za wananchi.
Ila kwa kuwa zitakuwa spent kwenye Halmashauri husika itasisimua mzunguko wa pesa kwenye hiyo Halmashauri
Agakan hospital iko moja DSM nyingine huwa ni health centres,Marie stopes hawana hospital ila Wana health centre.Kama ndio hizo mlizo nazo basi Kuna kazi kubwa.Wewe ni kiazi tu
Sekou Toure ni Hospital ya Mkoa mzima wa Mwanza. Kahama ni Mkoa????
Yaaani ndio ujue Kahama ni Level nyingine ingekuwa ni Makao makuu ya Mkoa usinge leta hoja ya kipuuzi hivi.
Mbali na hapo huduma za Afya Kahama Bado ni za uhakika kutoka kwenye hospital za binafsi Kama Aga Khan, BAKWATA na Marie stoppers na hata zile za serikali.
Hospital ya Wilaya Kahama unaweza weka group moja na Hospital ya Nyamagana Kona ya Butimba au Hospital ya Ilemela kule Kabusungu.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Mwanza kuna Agakhan hosp mbili tena sio health centre mkuu.Agakan hospital iko moja DSM nyingine huwa ni health centres,Marie stopes hawana hospital ila Wana health centre.Kama ndio hizo mlizo nazo basi Kuna kazi kubwa.
Ni Healthy centers sawa, huko Njombe zipo???Agakan hospital iko moja DSM nyingine huwa ni health centres,Marie stopes hawana hospital ila Wana health centre.Kama ndio hizo mlizo nazo basi Kuna kazi kubwa.
Hiyo Mwanza hata anaijua basi, anaisomaga humu tu.Mwanza kuna Agakhan hosp mbili tena sio health centre mkuu.
Kahama haifikirii kuwa makao makuu ya mkoa, tunaangalia kuwa jiji baada ya miundo mbinu kuwekwa sawa.
Unatakiwa kujua baada ya haya majiji 6
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Arusha
4. Mbeya
5. Dodoma
6. Tanga
Nafasi zinazofuata ni
7. Morogoro
8. Kahama
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
List of cities in Tanzania - Wikipedia pita hapo
Basi toa Kahama weka Shinyanga kwa akina nizakale
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Wewe hata Mwanza huijui. Aghakhani walijenga hospital Bugando hills. Wewe unakariri ile ya zamani pole sana.Agakan hospital iko moja DSM nyingine huwa ni health centres,Marie stopes hawana hospital ila Wana health centre.Kama ndio hizo mlizo nazo basi Kuna kazi kubwa.
Weka picha,Agakhan za ukweli ziko DAR na Arusha tuuMwanza kuna Agakhan hosp mbili tena sio health centre mkuu.
Nikikaa position nzuri nitapiga picha ni majengo makubwa sana ya ghorofa si chini ya nne kwa hii agakhan mpya.Weka picha,Agakhan za ukweli ziko DAR na Arusha tuu
Sasa mimi nimeongelea kahama wewe unaniletea story za mwanza acha bangiπππWewe hata Mwanza huijui. Aghakhani walijenga hospital Bugando hills. Wewe unakariri ile ya zamani pole sana.
Kama hiyo ndo njombe Basi bado sana aisee.kahama mnaionea bure. Kahama imepiga hatua Sanaleo na waletea latest Arial view ya Njombe Town
sio kama ni njombe yote kuna eneo kubwa halionekani ktokana na location ya cameraman mkuu.Njombe ni kubwa kutokana geographia yake huwezi iona yote ndio maana kuna mahotel,NJOMBE town offices,ofisi za mkuu wa mkuu wa mkoa juwezi ziona hapo. Njombe sio tambarale kama ukanda wa kahama it is a mountainous townKama hiyo ndo njombe Basi bado sana aisee.kahama mnaionea bure. Kahama imepiga hatua Sana
Hebu leta picha za town centre ya njombesio kama ni njombe yote kuna eneo kubwa halionekani ktokana na location ya cameraman mkuu.Njombe ni kubwa kutokana geographia yake huwezi iona yote ndio maana kuna mahotel,NJOMBE town offices,ofisi za mkuu wa mkuu wa mkoa juwezi ziona hapo. Njombe sio tambarale kama ukanda wa kahama it is a mountainous town