Kahama VS Njombe/Mafinga

Nanyie kuna baadhi mnachanganya hoja, Makambako na Makete mnajumuisha ktk maendeleo ya Njombe
Usichanganye hoja. Bulyang'hulu haiko kwenye manspaa ya Kahama bali iko halmashauri ya msalala ! Siyo sehemu ya mji wa Kahama.
 
Mhhh. Kahama wana hospitali ya Kanda ? Wana stand za mabus ngapi ? Wewe wa ajabu kabisa. Unalinganisha Kahana na Jiji la Mwanza ? Kihuduma na mpangilio wa mji bado Shinyanga ni nzuri kuliko hiyo Kahama yako.
Wewe ni kiazi tu, nimesemea ubora wa huduma. Kuitwa Hospital ya Kanda unajua inamaanisha nini? Na Kahama ipo Kanda ipi kwani?

Kuhusu Stand ya Mabus kwa Kanda ya ziwa, ukitoa Stand ya Nyegezi tu, stand inayofuata kwa kupokea wingi wa mabus ni Kahama. Na stand inayokesha yaani hakuna kulala masaa 24 Stand ya Kahama na hiyo ya Nyegezi zinafanya hivyo.
 
Order please 😁😁
 
Pale ni viwanda vipo vingi sana
Duuuu viwanda vinasaidia Sanaa afu wapo kalibu na dsm kwaiyoo hata uuzaji wa bizaa ni rahisi kwaiyo mapato yapoo ya kutoshaa hata ss makambako viwanda vikikamilila na uzalishaji ukaanza mapato yataongezeka tuuu ishu n masoko ya uhakikaaa Kama mbeya
 
Mkuuu apoo umeenda mbali sana kumbuka hata makao makuu ya mkoa ni wilayaa pia kwaiyoo unataka useme wilaya ya morogoro, moshi, temeke nk zote mmezipitaaa
Huwezi fananisha Moshi na Kahama, Wala Temeke na Kahama. Labda ilala
 
Wewe mburula toa ujinga wako hapa. Kahama ina hosipital gani yenye huduma kulinganisha ngazi ya sekotoure. Mji wenu hauna hata city centre umekaa shaghalabghala. Fyuuuu. Kahama ni wilayani tu acha kutuchosha na post za kishamba hapa.
 
Wewe mburula toa ujinga wako hapa. Kahama ina hosipital gani yenye huduma kulinganisha ngazi ya sekotoure. Mji wenu hauna hata city centre umekaa shaghalabghala. Fyuuuu. Kahama ni wilayani tu acha kutuchosha na post za kishamba hapa.
Wewe ni kiazi tu

Sekou Toure ni Hospital ya Mkoa mzima wa Mwanza. Kahama ni Mkoa????

Yaaani ndio ujue Kahama ni Level nyingine ingekuwa ni Makao makuu ya Mkoa usinge leta hoja ya kipuuzi hivi.

Mbali na hapo huduma za Afya Kahama Bado ni za uhakika kutoka kwenye hospital za binafsi Kama Aga Khan, BAKWATA na Marie stoppers na hata zile za serikali.

Hospital ya Wilaya Kahama unaweza weka group moja na Hospital ya Nyamagana Kona ya Butimba au Hospital ya Ilemela kule Kabusungu.


Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Makao Makuu ya mkoa mtayapata wapi nyie? Hata hiyo Manispaa mlipendelwa tu.
 
Hilo lisoko la kisutu lingegeuzwa kuwa limall soko gani lina gorofa nne plus then unampeleka mtu kununua nyanya na vitunguu hii nchi ina watu wa ajabu sana.
 
Makao Makuu ya mkoa mtayapata wapi nyie? Hata hiyo Manispaa mlipendelwa tu.
Kahama haifikirii kuwa makao makuu ya mkoa, tunaangalia kuwa jiji baada ya miundo mbinu kuwekwa sawa.
Unatakiwa kujua baada ya haya majiji 6
1. Dar es salaam
2. Mwanza
3. Arusha
4. Mbeya
5. Dodoma
6. Tanga

Nafasi zinazofuata ni
7. Morogoro
8. Kahama


Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Acha masihara basi mkuu yaani Kahama hiyo ya kichuuzi ndio iwe Jiji? Acha dharau wewe kwa status ya City
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…