Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Tu force ili iwaje? Ndio ukubwa wenyewe huo wa Mji wa Njombe.Safi πππ huo uloo wenu wa ku force mambo lazima mtandao wa barabara uwe mkubwa ko tegemea makambako kuwa kivingine zaidi ya Sasa maana ndo tunaanza lami pembezoni kwenye uwekezaji mkubwa wa makampuni maana umeme kila Kona upo
Tu force ili iwaje? Ndio ukubwa wenyewe huo wa Mji wa Njombe.
Afu Njombe sio hadhi yenu hadi tubishane kuendelea ni kuikosea heshima,hicho kijiji hakina hata miaka 10 toka kimezaliwa.
Nakushauri utafute vimji mnavyofanana kama Nanyamba TC,Ifakara TC,Nachingwea TC nk ndio uwatambishie ,Njombe tuko level ya Manispaa na Makao makuu ya Mkoa hao ndio level yetu..Kimapato tuko juu ya Manispaa 10 na tuko juu ya Halashauri za Miji 24 sasa hapa unaona unaweza kufanya ligi na Njombe kweli?
Tu force ili iwaje? Ndio ukubwa wenyewe huo wa Mji wa Njombe.
Afu Njombe sio hadhi yenu hadi tubishane kuendelea ni kuikosea heshima,hicho kijiji hakina hata miaka 10 toka kimezaliwa.
Nakushauri utafute vimji mnavyofanana kama Nanyamba TC,Ifakara TC,Nachingwea TC nk ndio uwatambishie ,Njombe tuko level ya Manispaa na Makao makuu ya Mkoa hao ndio level yetu..Kimapato tuko juu ya Manispaa 10 na tuko juu ya Halashauri za Miji 24 sasa hapa unaona unaweza kufanya ligi na Njombe kweli?
Njombe sio level yako tafuta size yenu ndio mkabishaneJifunze hata mufindi inakimbiza mapato kila mwaka walisha Jenga viwanda vya kutosha sio njombe unaongelea habari ya kilimo mara Cha vanilla kumbuka kagera walianza kilimo hicho miaka 1980 ko usipofatilia hayo mambo utafikia kipindi mnaanza oho tunaibiwa mapato kumbe aina ya uwekezaji si rafiki ni wakizaman nenda kwenye majiji Kama Nairobi wanawekeza zaidi viwanda
Yaani hapa unaropoka tuu lakini unajua kwamna Njombe ina viwanda vingi kuliko Makambako kama vya vinywaji hadi vya kusindika maziwa na mazao ya kilimo na miti,kwako viwanda ni kitu gani? Juzi kati mwendazake alikuja kuzindua kiwanda Njombe hapo kijijini kwenu alizindua nini? acha kupayuka hovyoJifunze hata mufindi inakimbiza mapato kila mwaka walisha Jenga viwanda vya kutosha sio njombe unaongelea habari ya kilimo mara Cha vanilla kumbuka kagera walianza kilimo hicho miaka 1980 ko usipofatilia hayo mambo utafikia kipindi mnaanza oho tunaibiwa mapato kumbe aina ya uwekezaji si rafiki ni wakizaman nenda kwenye majiji Kama Nairobi wanawekeza zaidi viwanda
Mufindi anakimbiza mapato nani? labda anakimbiza mapato kwenye kijiji chenu hicho ila sio Njombe.Viwanda vya Mafinga ni vya kusindika mazao ya kilimo hasa chai na Mazao ya Miti amavyo vinajengwa pia Njombe tena sisi tuna advantage ya viwanda vingine zaidi sijui unaongea nini wewe.Jifunze hata mufindi inakimbiza mapato kila mwaka walisha Jenga viwanda vya kutosha sio njombe unaongelea habari ya kilimo mara Cha vanilla kumbuka kagera walianza kilimo hicho miaka 1980 ko usipofatilia hayo mambo utafikia kipindi mnaanza oho tunaibiwa mapato kumbe aina ya uwekezaji si rafiki ni wakizaman nenda kwenye majiji Kama Nairobi wanawekeza zaidi viwanda
Hebu vitaje hivyo viwanda vilivyopo njombe tcYaani hapa unaropoka tuu lakini unajua kwamna Njombe ina viwanda vingi kuliko Makambako kama vya vinywaji hadi vya kusindika maziwa na mazao ya kilimo na miti,kwako viwanda ni kitu gani? Juzi kati mwendazake alikuja kuzindua kiwanda Njombe hapo kijijini kwenu alizindua nini? acha kupayuka hovyo
Munjombe amevitaja Sana tuu humu ,tafuta posts zake shida unaishi kwa mihemko..kwa mfano maji ya Kitulo yanatoka Makambako?Hebu vitaje hivyo viwanda vilivyopo njombe tc
Acha kuchanganya mambo me nimeongelea mufindi dc sio mafinga tc maana au huelewi mufindi dc ni ipi na mafinga tc usije ukawa unaviona vya mafinga pale ukajua ndo tunavoongelea vya mufindi mzeeMufindi anakimbiza mapato nani? labda anakimbiza mapato kwenye kijiji chenu hicho ila sio Njombe.Viwanda vya Mafinga ni vya kusindika mazao ya kilimo hasa chai na Mazao ya Miti amavyo vinajengwa pia Njombe tena sisi tuna advantage ya viwanda vingine zaidi sijui unaongea nini wewe.
Hahaha aliyetaja hadi vya wangingombe na njombe dc uzuri tunavifahamu ngoja tukutajie Kuna tanwat bidhaa za miti ,kitulo maji nundu chai luponde umemaliza vyote ndo mtaizidi nyie makambako maana Cha maji chemichemi ,maji kipengere na Cha chai kibena vipo wangingombe na vya lupembe vpo njombe dc njombe tc inaanzia lihogosa mzeeMunjombe amevitaja Sana tuu humu ,tafuta posts zake shida unaishi kwa mihemko..kwa mfano maji ya Kitulo yanatoka Makambako?
Bizaa zinautambulisha mji kimataifa kuliko hata kilimo afuu unaweza kuta wanao miliki mashamba Wana kaa makambako kwaiyoo pesa yote inaludi makambakoNa bado kuna faida ya kuongeza mzunguko wa Pesa watu watawekeza majengo ya kibiashara pia vina saidia kutambulisha mji kimataifa zaidi kupitia bidhaa zake wanazo zalisha mfana viwanda vya madawa makambako vita u brand mji kimataifa zaidi na kuongeza fedha za kigeni na wageni kuongezeka kutoka nchi za SADC ndo maana wameamua kutafuta hata eneo la kujenga uwanja wa ndege
Viwanda vinaajili watu wengi hata Kama ni vibarua hata kwenye kilimo wengi ni vibarua mabosi wapoo mjini wametulia afuu kilimo sio kila siku mnavuna mnaenda kwa msimu tofauti na viwandaWewe ajira za vibaruani za wahindi ndio ajira hizo? Kuchuma chai au pareto na viwanda vyenu hivyo uchwara nani wanaajiri watu wengi?
Naunga mkono viwanda pale tuu vinapotumika kama soko kwa bidhaa za kilimo
Mkuuu kwenye idadi ya watu makambako wapo wengi wee cheki population density ya makambako n kubwa kuliko njombe kwaiyoo eneo kubwa ni makazi ya watu tofauti na njombe ambayo mmetuzidi ukubwa Mara tatu lakini population hamjatuzidi Sana nyie eneo kubwa ni mashamba na vijijiAcha upimbi mkuu Njombe ilikidhi viwango vya kuwa TC toka 2005 na ndipo 2007 ikapewa hadhi rasmi.
Jiografia ndio ililazimika kuwa na Tarafa mbili afu ziliwekwa kimkakati Ili tunapokidhi viwango vya Manispaa tusilazimike kuomba Eneo au kuchukua maeneo ya Halmashauri zingine,kwa hiyo waliona akili.
Nyie endeleeni kujikusanya bado mnasafari ndefu Sana,wachuuzi wenzenu Kahama walibebwa na mapato na idadi ya watu sasa sijui hicho kijiji Maskini kitabebwa na nini maana watu wachache na pesa kiduchu.
Sikumbuki kama Njombe TC wakati inapewa hadhi ya Mji ilikuwa na mapato madogo kama ya Makambako,kama ndivyo kueni kwanza sio kupiga makelele baada ya kuota ndevu.
Nyama inaitwaje au bucha ni kiwand a siku hizi π π π π ,taja hizo dawa..gysum hata mimi natengeneza kwanguViwanda vinavyo patikana kwa Sasa makambako vya madawa vitatu ,gypsum , kusindika parachichi , kusindika nyama ,vyombo vya plastic , kubangua kahawa, choka chapa dino, misumari na nondo ,nguzo za umeme, mabati, kalvat nk
Na kwa asilimia kubwa wapo makambako sema jamaa huwa anasimuliwa haelewi ukweli uliopoBizaa zinautambulisha mji kimataifa kuliko hata kilimo afuu unaweza kuta wanao miliki mashamba Wana kaa makambako kwaiyoo pesa yote inaludi makambako
Nitakutajia mara ngapi fatilia msd wameorodhesha na taarifa ya msimamizi wa ujenzi wa viwanda hivyo katajaNyama inaitwaje au bucha ni kiwand a siku hizi π π π π ,taja hizo dawa..gysum hata mimi natengeneza kwangu