πππ Ngoja tukusaidie kiwanda cha parachichi ,vya unga mk hivyo hatuongei ,nguzo za umeme bdo vya rawmaterial kutoka ludewa dc kiwanda cha bati ,nondo,misumari na wire ,pia saiz hata plastic zilizo choka tunawasaidia kununua kwa ajili ya kiwanda cha vifaa vya plasticJiji la mbeya ni moja ya Miji inakua kwa kasi bila kuwepo extractive, processing na manufacturing industry kubwa badala yake inategemea zaidi businesses,value chain ya kilimo na service industry kama vyuo vikuu.
By the way taja kiwanda hata kimoja kinachochukua raw materials kutoka Njombe kuja kuwa processed hapo village town ya Makambako au ndo unategemea wimbo wa tuta..tuta..[emoji38][emoji38]
Bahati nzuri viwanda vyote hivyo haviongezi thamani ya bidhaa za wananchi kama agro processing industries ndio maana licha ya uwepo wake TRA inakusanya pesa karibu robo tatu kutoka Wilaya ya Njombe.πππ Ngoja tukusaidie kiwanda cha parachichi ,vya unga mk hivyo hatuongei ,nguzo za umeme bdo vya rawmaterial kutoka ludewa dc kiwanda cha bati ,nondo,misumari na wire ,pia saiz hata plastic zilizo choka tunawasaidia kununua kwa ajili ya kiwanda cha vifaa vya plastic
Acha kulia lia mkuu kila mtu ashinde mechi zakeNa habar za parachichi na vanilla wawekezaji wakubwa wanawekeza lupembe njombe dc ndo kwenye mashamba makubwa sio unasifia tu hata project zinazo endelea maeneo husika hata huelewi mfano makambako vimefunguliwa viwanda vya bati ,nondo, wire, misumari .raw material ni ludewa wanapeleka makambako pale ndo hub ya uchumi
Bahati nzuri viwanda vyote hivyo haviongezi thamani ya bidhaa za wananchi kama agro processing industries ndio maana licha ya uwepo wake TRA inakusanya pesa karibu robo tatu kutoka Wilaya ya Njombe.
Kana kwamba hiyo haitoshi mapato ya Mji wa Njombe ni makubwa mara tatu ya Kijiji cha Makambako,unaelewa sababu? Nimekwambia mapema kabisa ingekuwa viwanda vya dizaini hiyo ni dili basi Makambako ingeendelea kuliko Tunduma,vijiji vyenu vyote hivyo haviwezi sogeza pua kwa Njombe kwa chochote ndio maana tunaongelea kuwa Manispaa
Itawachukua miaka 10 kufikisha 3 bln..sie wenzenu wenye mapato ya kuanzia 5bln tumeruhusiwa na gvt kutumia 60% ya mapato yetu kwenye miradi ya maendeleo,nyie wengine mnatakiwa kutumia 40%Usilo lijua viwanda vingi vimeanza kazi mwaka huu tegemea ongezeko la mapato
Hyo miaka kumi ni ya mawazo yko ndani ya mwaka huu utabaki mdomo waziItawachukua miaka 10 kufikisha 3 bln..sie wenzenu wenye mapato ya kuanzia 5bln tumeruhusiwa na gvt kutumia 60% ya mapato yetu kwenye miradi ya maendeleo,nyie wengine mnatakiwa kutumia 40%
Sasa sijui mtaendeleaje kwa kutegemea ruzuku ya serikali kuu ambayo haina uhakika.Ila msikate tamaa ndo mnakua hivyo ipo siku mtalingana na kaka yenu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] unajifariji sio? Soma hiyo [emoji116][emoji116]Hyo miaka kumi ni ya mawazo yko ndani ya mwaka huu utabaki mdomo wazi
Hayo ni makadilio hata hivyo mk inajitahidi huon hata makadilio yameongezeka tofauti na mwaka Jana njombe yameganda na kumbuka soon utasikia wilaya mpya za tarafa ya lupembe makao makuu yanajengwa kidegembye baadhi ya kata zitamegwa kutoka njombe na wilaya ya tarafa ya makambako inayoanzia wangama mtwango maana kuna kata ziliazimishwa njombe dc ziwakuzie mapato Sasa zinarudi maana miundo mbinu imekalika yote hapo njombe miaka ijayo itegemee kupata jiji nje ya makao makuu ya mkoa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] unajifariji sio? Soma hiyo [emoji116][emoji116]View attachment 1809304
Yan kwa njombe hata ingekuwa asilimia 100 bado haiwasaidii maana asilimia 85 ya mji wa njombe ni vijiji barabara ni mbovu balaa ndio maana hata mbunge wenu juzi anasema tanesco wasichukulie uhalisia wa Jimbo kuitwa njombe mjini ni Jimbo lenye vijiji vingi havina umeme kitu ambacho kwa makambako wamesahau umeme kila Kona barabara zko poa na bado wanaendelea kupiga lami kutembelea eneo husika ndo kuna kupa picha sio mijadala ya ntandaon na kutafuta sehemu walipo jenga na kupiga picha huo sio uhalisiaItawachukua miaka 10 kufikisha 3 bln..sie wenzenu wenye mapato ya kuanzia 5bln tumeruhusiwa na gvt kutumia 60% ya mapato yetu kwenye miradi ya maendeleo,nyie wengine mnatakiwa kutumia 40%
Sasa sijui mtaendeleaje kwa kutegemea ruzuku ya serikali kuu ambayo haina uhakika.Ila msikate tamaa ndo mnakua hivyo ipo siku mtalingana na kaka yenu.
Kwa hiyo unalinganisha tarafa moja na tarafa tatu.Njombe mjini ni Jimbo liliunganishwa na tarafa tatu wakati makambako ni tarafa moja na usitake kutudanganya moja ya vijiji duni sana kwa wilaya ya Njombe ni vile vilivyo kaskazini na vingi vinaakua tarafa ya makambako na mkakati uliopo ni kuvitafutia shughuli mbadala wa uchumiYan kwa njombe hata ingekuwa asilimia 100 bado haiwasaidii maana asilimia 85 ya mji wa njombe ni vijiji barabara ni mbovu balaa ndio maana hata mbunge wenu juzi anasema tanesco wasichukulie uhalisia wa Jimbo kuitwa njombe mjini ni Jimbo lenye vijiji vingi havina umeme kitu ambacho kwa makambako wamesahau umeme kila Kona barabara zko poa na bado wanaendelea kupiga lami kutembelea eneo husika ndo kuna kupa picha sio mijadala ya ntandaon na kutafuta sehemu walipo jenga na kupiga picha huo sio uhalisia
Kwa nini isitusaidie? hizo pesa ndio zitatumika kuboresha miundombinu na huduma zingine kama unavyoona inafanyika,utasemaje haitusaidii mkuu.Kumbuka hizo ouskirts villages za Njombe ndio zinachangia sana mapato ya Mji.Yan kwa njombe hata ingekuwa asilimia 100 bado haiwasaidii maana asilimia 85 ya mji wa njombe ni vijiji barabara ni mbovu balaa ndio maana hata mbunge wenu juzi anasema tanesco wasichukulie uhalisia wa Jimbo kuitwa njombe mjini ni Jimbo lenye vijiji vingi havina umeme kitu ambacho kwa makambako wamesahau umeme kila Kona barabara zko poa na bado wanaendelea kupiga lami kutembelea eneo husika ndo kuna kupa picha sio mijadala ya ntandaon na kutafuta sehemu walipo jenga na kupiga picha huo sio uhalisia
Mna jengo la kisasa, mmejenga kwa mapato ya ndani?Kahama (GOLD) Municipal Council. Tumemaliza ofisi, sasa tukamilizie Hospital yetu, stand kuu na kisha tuanze barabara zote za mitaaView attachment 1806968
π π π π Mkuu acha kutapatapa,hayo mnayoita makadirio yameongezeka hamtakaa muyafikie maana kila mwaka mnakadiriwa vihela kiduchu lakini hamfikii wakati sisi Njombe TC huwa tunavuka malengo kila mwaka,mwaka huu unaoishia tunatakiwa kuvuka 6.7b wakati hicho kijiji chako kiko kwenye 2.8b ambapo hadi mwezi march 2021 kwa hiyo trend ya 60% hamtafikia Ilhali Njombe TC tutavuka malengo kama kawaida yetu na kuingia ligi za wakubwa.Makaisio ya mwaka ujao wa fedha yameongeeka kidogo but baada ya reconciliation automatic wataongeza kwa sababu watakuta tumefikia 7b.Hayo ni makadilio hata hivyo mk inajitahidi huon hata makadilio yameongezeka tofauti na mwaka Jana njombe yameganda na kumbuka soon utasikia wilaya mpya za tarafa ya lupembe makao makuu yanajengwa kidegembye baadhi ya kata zitamegwa kutoka njombe na wilaya ya tarafa ya makambako inayoanzia wangama mtwango maana kuna kata ziliazimishwa njombe dc ziwakuzie mapato Sasa zinarudi maana miundo mbinu imekalika yote hapo njombe miaka ijayo itegemee kupata jiji nje ya makao makuu ya mkoa
Kwa nini tujenge jengo la Halmashauri kwa pesa zetu wakati serikali imetoa hizo pesa na za kujengea hospital? Pia kwa miaka iliyopita tulikuwa na mapato chini ya 5b sasa sioa sawa kuwekeza kwenye maofisi badala ya miradi ya wananchi.Mna jengo la kisasa, mmejenga kwa mapato ya ndani?
Njombe ni nzuri kuliko kahama tofauti iko kwenye labda wingi wa watu maana kahama ni sukuma land na usukumani kuona kijiji kina watu 10000 kawaida,kaya moja unakuta ina watu 20 hivyo tu labda.Lakini in terms of miundo mbinu,modern structure, cleanliness ,na mipango miji kahama haiwezi ifikia Njombe.Zingatia kahama ilitangazwa kuwa Manispaa kwa kuwa mkurugenzi alimfurahisha Rais wa wakati huo.
Mara yako mwisho kufika Njombe ni lini?Wewe umefika Kahama au unasema tu ?
Komaeni na vijiji vyenuπ π π π Mkuu acha kutapatapa,hayo mnayoita makadirio yameongezeka hamtakaa muyafikie maana kila mwaka mnakadiriwa vihela kiduchu lakini hamfikii wakati sisi Njombe TC huwa tunavuka malengo kila mwaka,mwaka huu unaoishia tunatakiwa kuvuka 6.7b wakati hicho kijiji chako kiko kwenye 2.8b ambapo hadi mwezi march 2021 kwa hiyo trend ya 60% hamtafikia Ilhali Njombe TC tutavuka malengo kama kawaida yetu na kuingia ligi za wakubwa.Makaisio ya mwaka ujao wa fedha yameongeeka kidogo but baada ya reconciliation automatic wataongeza kwa sababu watakuta tumefikia 7b.
Hii 7b tutakaa nayo kwa kipindi hadi hapo tutakapoongeza economic activities,hizo ni pesa nyingi sana kwa halmashauri maana kuna manispaa kibao hazina hayo mapato.
Ndi maana nilikuwa nawashushua hata Wachuuzi wenzenu wa Kahama kwamba Njombe kungekuwa hakuna pesa hakuna mtu angejenga mahoteli kule.Sasa mkuu badala ya kupinga unatakiwa kutoa kongole kubwa sana kwa kaka yako Njombe kwanza kakulea pamoja na kelele unazopiga.
Sasa hiyo wilaya ikianzishwa itaiathiri nini Njombe hasa maana watakaoathirika na hilo ni Njombe DC na sio Njombe TC.Kwani tulivyowazaa nyie Makambako na Wanging"ombe DC tumeathirika nini? Mkuu unatakiwa ujue kwamba unavyozungumzia mapato ya Mkoa wa Njombe technically unazungumzia Njombe DC na Njombe TC nyie wengine mnajazilizia paliposalia