Mapovu mengi makambako lazima iwaonyeshe bomoen milima au mkamwombe Queen Elizabeth awaachie ile tambaraleKasi ya ujenzi ni pesa na kila sehemu kuna kasi,kijiji cha Makambako ni kama kinabalehe sasa huwezi linganisha na matured town kama Njombe mkuu.
Kazaneni labda mtaweza japo kuifikia Tunduma ila Njombe bado saaaana
Fatilia vizuri umeme utaelekea wap Kama si makambako kwenye grid ya taifa mk ndo baba yenu station kuu ipo makambako hata project ya makaa ya mawe ludewa umeme utaletwa makambako huu mji lazima uwachanganye na bado subiri project ya depo za mafuta lazima muende kufata makambakoImagine project ya Ruhudji Hydropower itakapoanza utamu utakuaje
Mambo ya mapato yapo tofauti sana ndugu kumbuka kuna miji ilikuwa inaongoza ikaja kupoteana na kingine anza kufatilia historian mkoa wa njombe toka 2015ni halimashaur ipi ilikuwa inaongozaHiyo soon itafika lini maana the gap keeps on getting wider kama hivi [emoji116][emoji116]View attachment 1797271
Njombe ndo Ina kazi kuikuta makambako maana jiografia tu imewabana wenze flat kila Kona full kuwekeza hko tuendelee kulima tu hamna namna Yan kamji ukifika stend kuzunguka tu unaonana na maporomoko na misitu tu mji wenye vinyungu hadi cbd duuπππ Kama unabisha kabla hujafika nmb bank kushoto full vinyungu hadi njoss bado uje upande wa kulia stend ya zamani ukienda mitaa300 unakutana na vinyungu ndio mtuletee mada eti mtaizidi makambako kweli mnachekesha wenzenu msilo lijua upande wa Kushoto Kama unaenda songea mji umesambaa zaidi ya km 12 na bado kufuata barabara na upande wa kulia nako ni zaidi ya km 10 hapo nyumba. Zimeshona sio zile za hapa na pale kama njombe wanakojenga kwa kuvizia miliman tuKasi ya ujenzi ni pesa na kila sehemu kuna kasi,kijiji cha Makambako ni kama kinabalehe sasa huwezi linganisha na matured town kama Njombe mkuu.
Kazaneni labda mtaweza japo kuifikia Tunduma ila Njombe bado saaaana
Hahaha Shule gan kaka nazo saiz mnapigwa gap wenzenu zinajengwa had za international kitu ambacho kwa njombe hadi makanisa yawasaidieSawa nyie mnajenga viwanda na sisi huku tumejikita kwenye service industry kama vyuo,mashule,hoteli kali kubwa nk nk
Mwisho wa siku figures zinaibeba Njombe kama inavyosomeka hapa down[emoji116][emoji116]View attachment 1797263
Hebu fatilia hata population density ya 2012 njombe ni 36km squre wakati makambako ni 106 km squre na growth rate hii inakupa picha kuwa sehemu kubwa ya njombe haina makazi ni mashamba na misitu tofauti na makambako mzee sehemu kubwa ni makazi lazima mpigwe gap mzee bababrother Njombe CBD in subtowns kama Ramadhani,Kibena Nundu makambao haina subtowns sasa itaiwezaje Njombe kwa Uwingi wa kaya au majengo na nyumba hapo sijazungumzia hadi vitongoji vyake kama uwemba,Magoda,Luponde,Matola,nk.....
Kwani uongo huenda ndo halmashaur ya mji ya kwanza Tanzania yenye vijiji vingi na hii yote ilitokana na kukosa vigezo na mapato wakachukuwa Jimbo la njombe kusini lote mtu yupo uliwa huko bdo ypo tc Zaid ya km 60ππππ bush za kutosha kweli makambako inahitaji pongezi na ndo maana hata watumishi wanapenda kuhamia makambako tc na so njombe ma bush mengi mno yote hayo ni kuhangaika na mapatoWatakwambia Njombe imechukua vijiji sijui hadi km 60 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yanππππ maana kibena ni mtaa wa kata ya ramadhani yan ni sawa na makambako ni taje majengo osterbay na kilimahewa wakati yote ni mitaa ya kata moja mara nundu ,hagafilo ,hiyo si mitaa ya kata ya mji mwema kweli panashida makambako imewatupa mbali Kama hivyo vimitaa mnaita sub town bas mk sub town zitakuwa Zaid ya 60 maana mitaa yake imechangamka kwelikweli tofaut na njombe iliyochangamka barabarani tu hususa songea road wakati makambako mitaa mingi imekucha kwel kutembelea miji mingine kujifunza kunahitajika sio kwa porojo hizi hadi itipula ni sub townbrother Njombe CBD in subtowns kama Ramadhani,Kibena Nundu makambao haina subtowns sasa itaiwezaje Njombe kwa Uwingi wa kaya au majengo na nyumba hapo sijazungumzia hadi vitongoji vyake kama uwemba,Magoda,Luponde,Matola,nk.....
Hujui ulisemaloYaani kwenye mapesa mengi ya mbao na kila mazao ndo ulinganishe na Kahama bush huko?
kwani makambako mimi siifahamu?Hebu fatilia hata population density ya 2012 njombe ni 36km squre wakati makambako ni 106 km squre na growth rate hii inakupa picha kuwa sehemu kubwa ya njombe haina makazi ni mashamba na misitu tofauti na makambako mzee sehemu kubwa ni makazi lazima mpigwe gap mzee baba
ilembula igwachanya ziko wilaya nyingine ya wanging'ombe na haziko karibu na makambako labda useme wanafuata mahitaji makambako.Mkuu nahisi hii mada kubwa kwako.Ni Bora makambako ndo tungekwambia inazungukwa na sub town za kutosha mfano ilembula ni km 30 mtwango km27 nyororo km 45 igwachanya km45 na hapo ni kwa barabara zote iringa road ,mbeya road, na songea road huo urefu ni kuanzia round about na kufikia 2025 sehemu kubwa ya hv vimiji vitaungana kima kazi na makambako mfano mtwango tayari bado kidogo ilembula hii ni faida ya jiografia nzuri na hivi vimiji vina huduma hadi za kibenk unatuletea utopolo wa vijiji hapa na mitaa
ilembula igwachanya ziko wilaya nyingine ya wanging'ombe na haziko karibu na makambako labda useme wanafuata mahitaji makambako.Mkuu nahisi hii mada kubwa kwako.
Njombe ni nzuri kuliko kahama tofauti iko kwenye labda wingi wa watu maana kahama ni sukuma land na usukumani kuona kijiji kina watu 10000 kawaida,kaya moja unakuta ina watu 20 hivyo tu labda.Lakini in terms of miundo mbinu,modern structure, cleanliness ,na mipango miji kahama haiwezi ifikia Njombe.Zingatia kahama ilitangazwa kuwa Manispaa kwa kuwa mkurugenzi alimfurahisha Rais wa wakati huo.Usiwe unalinganisha Manispaa ya Kahama na hicho kijiji sijui mnakiita Njombe.
Kama ni kama DAR/ Mwz / Arusha ni mchanganyiko wa makabila. Ni vile hujawahi fika tu.Njombe ni nzuri kuliko kahama tofauti iko kwenye labda wingi wa watu maana kahama ni sukuma land na usukumani kuona kijiji kina watu 10000 kawaida,kaya moja unakuta ina watu 20 hivyo tu labda.Lakini in terms of miundo mbinu,modern structure, cleanliness ,na mipango miji kahama haiwezi ifikia Njombe.Zingatia kahama ilitangazwa kuwa Manispaa kwa kuwa mkurugenzi alimfurahisha Rais wa wakati huo.