Kahama VS Njombe/Mafinga

Hiyo nakukatalia ukiangalia mji wa makambako wengi wanatokea njombe songea wakuja kujenga makambako kwa kasi na ndo maana mji wa makambako unasambaa sna wanacho wekeza njombe ni mashamba kwa idadi kubwa na ukiuliza wanakwambia gharama ya ujenzi njombe ni kubwa kuliko makambako pia hata gharama za maisha njombe kubwa kuliko makambako ndo maana makambako ipo kasi sana kiukuaji wageni wanao ingia kuwekeza ni wengi na population makambako inazidi kuongezeka kila siku imefikia muda Sasa wameamua kuweka traffic wa kuongoza magari jioni maeneo ya police na posta kutokana na msongamano wa vyombo vya moto
 
Na ishu nyingine usiyoijua watu wanajenga sana makambako kutokana na ongezeko la fursa ya viwanda vikubwa vya watu binafsi na serikali ndo maana saiz maboss kila Kona zinajengwa appartment za kutosha na hii population itakwenda mara mbili yake njombe iliizidi makambako shule za English medium ndani ya miaka miwili makambako wamepindua meza zimejengwa. Shule za kutosha na hadi saiz kuna mdau wa kampuni ya be forward anapiga gorofa kwaajili ya international school
 
ujenzi wa nyumba za chini hata vijijijini zipo,mji unajaengwa na majengo nyumba za makazi kwa mkoa wa Njombe bado haujaanza kulipa sana.Njombe in modern structure nyingi kuliko makambako hiyo ndio tofauti.Njombe inabebwa zaidi kwa kuwa inahost viongozi wa kikanda,kitaifa na kimataifa.Barozi yeyote anayeenda Njombe hawezi kulala Makambako atalala Njombe.Niamabie watu wa nje gani weneye taasisi au project wanao kaa makambako.Hivyo Njombe mjini inanufaika kwa kua administrative,commercial and social town wakati Makambako ni commericial na residential tu.
 
Ndoo maana me nimewai kukwambia ni kweli njombe gorofa mliizidi makambako ila kwa Sasa watu wameamua kufikia mwezi wa kumi na mbili utapata majibu ya structure ya mji wa makambako ilivyo na kuhusu kulala wagen hii inategemea Kama kaja kiziara mkoa wa njombe ata lala njombe kwa sababu ofisi ndiko ziliko ila utambue tazam road inayopitisha watu wa nchi mbalimbali ipo makambako na mbasi ya taqwa sometime yana lala makambako bdo treni makambako lazima wagen wawe wengi
 
ukisema watu wa nje hata njombe haina most ni wenyeji tena afadhali na makambako kuna project za ujenzi za wageni mfano mo ana maduka na godawn watu kutoka Kenya wanakiwanda cha parachichi kuna wahindi wanagodawn za mbolea ,kuna kibo seed ,export trading,nk bdo upande wa shell wagen ni wengi na shule kumbuka hata viwanda vingi ni project za wageni nayo itachochea kuingia kwa wagen wengi tofauti na njombe inayotegemea ziara ya kiongoz
 
Anyway yote kwa yote tuombe project kubwa ziendelee kuja kwa faida ya Mkoa wa Njombe ila Mji wa Njombe kwa sasa uko juu ya makambako.Angalau sasa naona kuna residential houses nzuri zinaanza kuonekana,kuonesha watu wa makambako hawawazi tu Magari bali wameona thamani ya ardhi pia
 
Me naona haya mambo ya mji gani upo juu agost mwakani kwenye sensa ya watu na makazi majibu yatapatikana mji upi umejengeka kuliko mwingine na population report ya mkoa itaongea na ungekuwa na kitabu cha uwekezaji cha mkoa ungepata picha vizuri kwanini tuna sema makambako makazi ni mengi kuliko njombe mule kuna mambo mengi yameelezewa
 
brother Njombe CBD in subtowns kama Ramadhani,Kibena Nundu makambao haina subtowns sasa itaiwezaje Njombe kwa Uwingi wa kaya au majengo na nyumba hapo sijazungumzia hadi vitongoji vyake kama uwemba,Magoda,Luponde,Matola,nk.....
 
brother Njombe CBD in subtowns kama Ramadhani,Kibena Nundu makambao haina subtowns sasa itaiwezaje Njombe kwa Uwingi wa kaya au majengo na nyumba hapo sijazungumzia hadi vitongoji vyake kama uwemba,Magoda,Luponde,Matola,nk.....
Watakwambia Njombe imechukua vijiji sijui hadi km 60
 
Imagine project ya Ruhudji Hydropower itakapoanza utamu utakuaje
 
Sawa nyie mnajenga viwanda na sisi huku tumejikita kwenye service industry kama vyuo,mashule,hoteli kali kubwa nk nk

Mwisho wa siku figures zinaibeba Njombe kama inavyosomeka hapa down
 
Weka picha acha porojo na urojo,,mwezi wa 12 ndio umefanya nini sasa.

Wapi ambako hakujengwi sasa mkuu
 
Mandhari tuu inaibeba Njombe,huko Makambako wanalala wanaoshuka na treni za Tazara kutoka Mlimba , Ifakara na Vijiji vingine vya aina hiyo ndio maana Makambako imejaa gesti bubu uchwara hakuna Hotel kama Njombe
 
Sasa mkuu unateseka na nini maana sikuelewi,hiyo round about kuwa relocated wewe unaumia na nini sasa
 
Kasi ya ujenzi ni pesa na kila sehemu kuna kasi,kijiji cha Makambako ni kama kinabalehe sasa huwezi linganisha na matured town kama Njombe mkuu.

Kazaneni labda mtaweza japo kuifikia Tunduma ila Njombe bado saaaana
 
Hiyo soon itafika lini maana the gap keeps on getting wider kama hivi
 
Kasi ya ujenzi ni pesa na kila sehemu kuna kasi,kijiji cha Makambako ni kama kinabalehe sasa huwezi linganisha na matured town kama Njombe mkuu.

Kazaneni labda mtaweza japo kuifikia Tunduma ila Njombe bado saaaana
Hizo kelele zita kata tu
 
Sub town makambako ni nyingi kuliko njombe mzee magegere ,lyamkena ,kipagamo ,majengo, maguvani nk ongea kingine maana hata ikelu ipo ndan ya mji wa makambako haha ha maana ulicho kifanya wewe ni kuchomoa kata ya njombe mjini na mjimwema wakati hapo makambako tumeacha kata za centre Kama makambako ,mjimwema ,mwembetogwa ,kitisi,nk
brother Njombe CBD in subtowns kama Ramadhani,Kibena Nundu makambao haina subtowns sasa itaiwezaje Njombe kwa Uwingi wa kaya au majengo na nyumba hapo sijazungumzia hadi vitongoji vyake kama uwemba,Magoda,Luponde,Matola,nk.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…