Kahama VS Njombe/Mafinga

Unaweza ukawa na mapato mengi maendeleo 0%
 
Unaweza ukawa na mapato mengi maendeleo 0%
Sasa wewe kwa akili yako Njombe na Makambako wapi kuna maendeleo? Kwa hiyo hizo pesa zinazokusanywa zinaenda wapi? Ingia kwenye tovuti ya Njombe hapo kuna video za miradi afu urudi hapa kuongea ulichoongea.
 
Hahaha na vigofu hivyo pita makambako uone wenye mji wanalivo amua kubadilisha madhari ya mji sio kila Kona picha za soko hadi tumelichoka
Mdatchu soma hiyo
Pesa nyingine hiyo,ndani ya miaka 2 Njombe itakuwa inaongoza Tzn kwa kuzalisha Vanilla zaidi ya tani 20,000
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa wewe kwa akili yako Njombe na Makambako wapi kuna maendeleo? Kwa hiyo hizo pesa zinazokusanywa zinaenda wapi? Ingia kwenye tovuti ya Njombe hapo kuna video za miradi afu urudi hapa kuongea ulichoongea.
Tatizo tuna bishana na mtu ambae haupo eneo husika unaenda kwa kuvizia siku tembelea kiundani hii miji miwili ndo utaamini nini tunacho sema
 
Davos Resort Njombe Super sana mdatchu karibu sana

View attachment 1788543

View attachment 1788544
Hiyo ni hotel ya kawaida naifaham ipo uzungu kumbuka makambako ni kweli ilikuwa nyuma ki ujenzi wa majengo ya juu kwa Sasa ipo kasi mno ko nalo jiandae kupigwa chini na kumbukuka mk ya mwaka jana na mwaka huu ni tofauti full mabadiliko na project zinaendelea ndo maana tuliwambia time will tell jiandae kuona gorofa za kuzidi makambako baadhi ukipita saiz zinaendelea kupandishwa kitu ambacho ni tofaut na njombe kasi imepungua sana mengi ni majengo ya serikali
 
Hizo ni project ambazo hata makambako zinaendele na kuna kampun zina fanya kaz hio maeneo ya mahongole kitandililo ibatu nk pia na parachichi zimelimwa za kutosha
Mdatchu soma hiyo
Pesa nyingine hiyo,ndani ya miaka 2 Njombe itakuwa inaongoza Tzn kwa kuzalisha Vanilla zaidi ya tani 20,000 View attachment 1788803View attachment 1788807
Aendelea
Mdatchu soma hiyo Pesa nyingine hiyo,ndani ya miaka 2 Njombe itakuwa inaongoza Tzn kwa kuzalisha Vanilla zaidi ya tani 20,000 View attachment 1788803View attachment 1788807
P
 
Hizo ni project ambazo hata makambako zinaendele na kuna kampun zina fanya kaz hio maeneo ya mahongole kitandililo ibatu nk pia na parachichi zimelimwa za kutosha
Mdatchu soma hiyo
Pesa nyingine hiyo,ndani ya miaka 2 Njombe itakuwa inaongoza Tzn kwa kuzalisha Vanilla zaidi ya tani 20,000 View attachment 1788803View attachment 1788807
Aendelea
Mdatchu soma hiyo Pesa nyingine hiyo,ndani ya miaka 2 Njombe itakuwa inaongoza Tzn kwa kuzalisha Vanilla zaidi ya tani 20,000 View attachment 1788803View attachment 1788807
P
 
Ila asee nimeimisi hii mafinga ...maana misosi bwelele alafu cheap. Weather ipo makini sana,
Dah kinyanambo
Changarawe
Mkombwe
Meti
Balali
Southern H primary school
 
Onyesha hiyo kasi mkuu acha porojo si umesema uko Eneo husika?
 
Tatizo tuna bishana na mtu ambae haupo eneo husika unaenda kwa kuvizia siku tembelea kiundani hii miji miwili ndo utaamini nini tunacho sema
Kwani maendeleo kwako ni nini hasa Mkuu maana naona unataka kubishana na uhalisia.

Kwamba Makambako imeendelea kuliko Njombe au? Kuwa serious kidogo ,hapo Makambako watu na viwanda ndio wanaongezeka kutokana na jiografia lakini na wewe unajua kwamba nguvu ya Njombe iko kwenye kilimo biashara na mazingira yanaruhusu kuliko Makambako.

Soon tunakuwa Manispaa kitu ambacho kitawachukua Makambako nusu Karne kwa sababu kuu moja na mapato kiduchu ya kujiendesha.Wakati wewe inategemea miujiza wenzio Njombe TC wamefika kwenye 7bln,hizi pesa zote zinaenda kwenye huduma za jamii na kiuwekezaji.
 
Zaidi ya kilimo kaka njombe kuna uwekezaji upi mpya na kumbuka Bei ya mazao inapanda na kushuka na uwekezaji wa viwanda vingi makambako huo ndo utaongeza maradufu hayo mapato unayo yaona na kupitia hayo mapato madogo tayari wamelipa eneo fidia ya kujenga stendi kubwa ya mabasi pale kipagamo na zoezi la ujenzi mkandarasi anaanza mwez wa saba na kumaliza mwez wa 12 kitu tayar serikali kuu Sasa imelipa fidia eneo la ujenzi one stop centre pale idofi jilan na mpaka wa mkoa wa iringa na njombe pia imelipa fidia eneo la ujenzi soko la kimataifa pale mashujaa wamebaki watu kumi na tano kumaliziwa kazi iendelee na pia kuna ujenzi wa kiwanda cha madawa chini ya msd kwaajili ya ku supply nchi za SADC kazi bado inaendelea pale idofi ,kiwanda cha kusindika nyama pale kihanga wanamalizia kufunga mitambo ,ujenzi wa soko kubwa la mazao pale kiumba inaendelea hiyo ni baadhi tu ya miradi ya serikali ambayo inaendelea kutekelezwa ndani ya halmashaur ya mji wa makambako na ya watu binafsi na makampuni hiyo tumeiweka kando kidogo maana ni mingi mno muda unaongea
 
Huo muda wa kuwa manispaa haufiki tu kila siku soon wenzenu kahama halimashari ya mji imeanza 2012 ndani ya miaka tisa imekuwa manispaa na njombe imeanza mji toka 2007 Ina miaka14 bado utasikia soon soon mnaendelea kupigwa bao na makambako ya 2012. Na growth rate ya njombe ni ndogo mno wenzenu makambako tayari wameanza ujenzi wa shule za kata za gorofa kutokana na rate ya ukuaji kuwa kubwa mno Ungesikiliza madiwan wako wanavokwambia kwambia kwa mpangilio wa njombe ilivyo Sasa msahau kuwa manispaa pia kiwango cha mapato kinashuka kutokana na watu hawataki kutumia soko kuu walilojengewa na stendi pia gari haziendi
 
hoja yako ya Njombe kutokuwa Manspaa ni dhaifu kidogo.Hata wageni hua wanashangaa kwa nini Njombe imechangamka kimakazi na kibiashara kuliko baadhi ya Manspaa kama za Lindi lakini haijapewa hadhi hiyo lakini jibu ni kua wakati ule makao makuu mengi ya miko yalipewa hadhi ya manspaa ili kuchochoa maendeleo na biashara japo vigezo vilikua havijatimia.Njombe ya 2007 haingeweza kua na hadhi hiyo kwanza ilikua bado iko mkoa wa Iringa na miundo mbinu yake ilikua bado kabisaaa na hakukua na uwekezaji wa maana.Lakini Njombe ya leo inastahili kwa sababu inasonga kwa kasi na majengo yanajengwa sio kama Dar es Salaam lakini yanajengwa na ushindani ni mkubwa.
 
Jibu liko wazi. kahama ni baba lao
Kumbuka kahama kuna uwanja wa ndege na usafiri wa ndege kwenda mwanza na maeneo mengine pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…