Haya makambako hyo hizo Ni hospital ambazo moja ipo umbali wa km 15 toka mjin na nyingine km 20 na kote kumekuchaView attachment 1699737
View attachment 1699738
View attachment 1699739
nje na CBD ya njombe zaidi kilomita 25 eti anasema njombe imekusanya vijiji ni kweli vilikua vijiji lakini hata jiji hua na vijiji na baadae kua jiji.
sasa hiki ndio nini umepost hapa,toa uchafu hapa mkuu tunataka picha za aerial au ghorofa sio magodown ya kutunzia mitumbaYan vi
Haya makambako hyo hizo Ni hospital ambazo moja ipo umbali wa km 15 toka mjin na nyingine km 20 na kote kumekucha
Yan vi
Haya makambako hyo hizo Ni hospital ambazo moja ipo umbali wa km 15 toka mjin na nyingine km 20 na kote kumekucha
We ndo mshamba kwel maendeleo sio gorofa gorofa inamaanisha mnauhaba wa ardhi au Kuna milima imezidisasa hiki ndio nini umepost hapa,toa uchafu hapa mkuu tunataka picha za aerial au ghorofa sio magodown ya kutunzia mitumba
Sawa wewe mjanja wa maendeleo ila Mji bila ghorofa ni kijiji kwa hiyo kama hakuna ghorofa ya ku post kaa kimya,by the way Makambako ni kijiji tuu hakuna chochoe hapo zaidi ya vibanda vya mitumbaWe ndo mshamba kwel maendeleo sio gorofa gorofa inamaanisha mnauhaba wa ardhi au Kuna milima imezidi
ENani aje huko polini kucheza ligi za mchangani wakati tuna timu yetu ligi daraja la kwanza Taifa,Njombe mji
Nyumba za mtoni ruhuji hahahaView attachment 1699847
mzee wa makambako nilipe picha kama hii kwa makambako.In short Njombe is well organised na advanced kuliko kahama.Tofauti itakua kwenye uwingi wa watu kwa kua hakuna kata,tarafa,wilaya na mkoa unao kariwa na wasukuma ukawa na watu wachache.Kama wilaya moja ya sengerema ina watu zaidi ya milioni moja japo 70% ya wilaya yote ni rural area sioni sababu kwa nini kahama iwe na watu wachache wakati ni generation moja na sengerema
Hawawezi kukimbia mumelipia pesa ije kuwaburudishaAngalia Kama hao ni akina Nan Kama sio hyo imekimbia mashambani hko imekuja hku
E
Onyesha za Makambako kama hizoNyumba za mtoni ruhuji hahaha
Nilisema sitachangia uzi, lakini hizi picha huu ni utani. Vitu kama hivi ni very minor, vijijini huko vimetapakaa kila mahali, au mdau hujatembea Tanzania? Picha gani unatuwekea hizi kujaza kwenye page za JF unnecessarily?Yan vi
Haya makambako hyo hizo Ni hospital ambazo moja ipo umbali wa km 15 toka mjin na nyingine km 20 na kote kumekucha
Baadhi ya Project zinazoendele barabara ya songea road makambakoOnyesha za Makambako kama hizo
Nilisema sitachangia uzi, lakini hizi picha huu ni utani. Vitu kama hivi ni very minor, vijijini huko vimetapakaa kila mahali, au mdau hujatembea Tanzania? Picha gani unatuwekea hizi kujaza kwenye page za JF unnecessarily?
Leta za kijijini kwenu tuzine Kama si mashambani tbora na wewe umeliona hilo maana nimesema Hadi nimechoka,jamaa anachafua uzi kwa vitu vya kipuuzi.
Ikumbukwe Kahama walianza ku post guests house tukawachana live
Ambae hujui Tanzania n ww unashinda shambanNilisema sitachangia uzi, lakini hizi picha huu ni utani. Vitu kama hivi ni very minor, vijijini huko vimetapakaa kila mahali, au mdau hujatembea Tanzania? Picha gani unatuwekea hizi kujaza kwenye page za JF unnecessarily?
Haha endeleen kujiita hko mashamNjombe inaitwa bustani ya Mungu ,hizo porojo zenu hazijawahi badilisha kitu
SAUT Kahama campus... Huenda ndio ikawa ya pili kwa ukubwa kanda hii.Kwa hiyo i vijiji vikubwa bora na Tabaora kuna hadi tawi la chuo kikuu na cha utumishi wa umma
Haha endeleen kujiita hko mashamView attachment 1700068ban
Makambako tcView attachment 1700081