Kahama VS Njombe/Mafinga

Yan ww ndo utopolo kwel hujui kitu kahama na makambako zilipewa hadhi ya mji mwaka 2012 usitulinganishe na mafinga Wala mbinga hko miji ya 2015 hebu angalia mapato ya mwaka 2021 usituletee mambo ya viparila vya viazi njombe hko
Toa Makambako hapo, wewe ndio hujui kitu ,Miji yote midogo imepewa hadhi 2015 ikiwemo Mbinga,Ifakara,Bariadi,Masasi,Nanyamba nk nk
 
1. Buzwagi tu wanalipa 3.2 billion kwa mwaka kwenye Halmashauri
2. Mapato ya Njombe kwa mwaka 4 billion

Kahama sio level za Njombe
 
E

Endelea kuota mchana utakavoshituka ndo utajua uwekezaji Nini we Kama wenzenu viwanda vpo zaidi ya 10,nyie vitatu cjui maana mazao hayaeleweki
Soma hiyo pdf hapo chini sio kuleta blaa blaa za kitoto,hapo kuna mpango kazi na mambo makubwa sana ya kuhusu Njombe by 2025
 

Attachments

Na hiyo njia ndio ina abiria wengi waliokuwa wanapanda treni za Tazara kwenda Makambako na Mbeya kununua vitu sasa maduka yote yatahamia Njombe sijui hiyo Makambako watachuuza nini maana kilimo hawana wala miti
 
Ahahahaaaa kumbe yajayo!
Yapo yaliyotekelezwa before,soma wewe usiogope ku face reality ,kwenye hiyo pdf utakutana na TAHA wame introduce kilimo cha maua kama yale ya arusha,kenya na ethiopia kwa hiyo uchuuzi wa maduka will take you no where nadhani unajua value chain ya maua,hiyo inaitwa ingizo jipya la kuleta pesa Njombe
 
Kabisa yan afu mtu anabisha hata hajui chochote
Tu

Tunako elekea makambako itakua mkoa njombe haifai kutwa mkoa .njombe imejisweka ndani sana af ukiangaria wafanya biashara huwa wanakuja kufunga mzigo makambak

Yan hzo Ni hadithi tu tumekwambia uje makambako tukutembeze kidogo sio stori oh njombe kubwa sijui Nini Mara barabara hivi hujui Kuna short Kat ya lupembe makambako ko unaongea na watu tunao jua vizur mkoa wa njombe ko makambako ita baki kuwa juu alaf Kuna mtu anaongelea mafinga Yan vitu vingine Ni vituko labda ungeongelea wilaya ndo ipo vizur ila miundombinu 0 ndo maana saiz ligi litakuwa tamu miji yote ipo kwenye mradi wa tact's
 
1. Buzwagi tu wanalipa 3.2 billion kwa mwaka kwenye Halmashauri
2. Mapato ya Njombe kwa mwaka 4 billion

Kahama sio level za Njombe
Hapa mkuu umenifungua macho na umejivua nguo hadharani yaani kwenye bln 6.2 za kahama less 3.2 bln you remain with only 3.0 bln from wananchi sources.Tukiwaambia nyie ni maskini muwe mnaelewa sasa yaani ukitoa service levy za mgodi nyie wengine zaidi ya 300,000 mnagawana huto tulitosalia,poleni sana kwa umaskini huo
 
Mgodi ulisimama baada sakata la Makinikia, wameanza mwaka jana production, na hiyo service levy imelipwa na kampuni ya Twiga (ubia wa JMT na Barrick) hapo hatujaweka other sources.
 
Ta
Na hiyo njia ndio ina abiria wengi waliokuwa wanapanda treni za Tazara kwenda Makambako na Mbeya kununua vitu sasa maduka yote yatahamia Njombe sijui hiyo Makambako watachuuza nini maana kilimo hawana wala miti

Na hiyo njia ndio ina abiria wengi waliokuwa wanapanda treni za Tazara kwenda Makambako na Mbeya kununua vitu sasa maduka yote yatahamia Njombe sijui hiyo Makambako watachuuza nini maana kilimo hawana wala miti
Kwa taarifa zako makambako inafanya biashara international sio local Kama njombe ndo maana hata soko wamewajengea limejaa meza za wakulima t muwe wapole mazao mtaendelea kuleta makambako parachichi nazo mtaleta tu watu wakenya wamewafungulia kiwanda kikubwa makambako
 
Ahahahahaaahaha
 
Yan huyu jamaa hebu Google uone makambako ilianza lini sio unaongea vitu na hiyo miji mingine ilianza lini usitufananishe na miji ya 2015 ww
Toa Makambako hapo, wewe ndio hujui kitu ,Miji yote midogo imepewa hadhi 2015 ikiwemo Mbinga,Ifakara,Bariadi,Masasi,Nanyamba nk nk
 
Yan huyu jamaa hebu Google uone makambako ilianza lini sio unaongea vitu na hiyo miji mingine ilianza lini usitufananishe na miji ya 2015 ww
Ahahaaa, tumemdhibiti, Harudi tena.
 
Yan makambako itazidi kuwa piga gap saizi Kuna mradi wa umeme itipula ruhuji utaletwa makambako kuunganishwa na grid ya taifa bado dry port mantak ya mafuta soko la kimataifa lenye ekar 60 ndoo maana tumekwambia unaota ndoto za mchana njoo uone wawekezaji walivochangamkia kujenga she'll baada ya kusikia main tank litakuwa makambako
 
2007 kwel Ni zamani ndo mjue hakukui wenzenu kahama wameanza 2012 saiz manispaa bado makambako imewapiga gap ya 2012 endeleen kulima viaz mlete tule town
 
Soma historia nenda njombe ukajifunze hyo population ilitokana na nn Kama sio baada ya kuchukua Jimbo zima
 
Nasikia huwa wanakimbilia Makambako kutafuta maisha
Ndivyo ilivyo makambako ndo imeubeba mkoa wa njombe ya hizi zingine Ni story tu yani huwa nashaangaa wanavojifananisha na kahama Hawa wajilinganishe na shinyanga Yan imetawala milima tu wanajenga wap Kama sio kukimbilia makambako ndo maana hata wawekezaji wamejaa makambako mfano kaulize tu shell zilizojengwa njombe Kama Kuna mtu mgen kujenga pale wagen wengi wamejaa makambako
 
Acha uvivu unadakia kwa mbele afu unadai picha? Anza kuperuzi ukurasa Hadi ukurasa utazikuta picha kibao sema picha za current ndio bado hatujaweka
Za Njombe niliziona,aliyeleta mada ni pro Kahama hakuweka picha yoyote.Mjadala uko public ni mtu yeyote anashiriki au ni nyie tu brother na wengine tunadandia?
 
Miji ya wilayani inadharaulika sana na watu wa Mikoani. Mimi ni wa Mwanza Ilemela ila nilibadili mtazamo wangu kuhusu miji ya wilayani. Naimani ni rahisi Makambako inaweza kuwa Manispaa kabla ya Njombe. Labda siasa ingie kama walivyofanya kwenye Mkoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…