Kahama VS Njombe/Mafinga

Rudi page za nyuma hapo, Makambako bado ni Kijiji kikubwa tu chenye kutu na vumbi
Huo mtaa wako wa ofisi za mkoa NI sawa na ramani hizi za shule kila mkoa wamejenga ramani moja ko ndo maana Hilo hatutaki kugusia Sana tunataka CBD Ina jipya gani 👇👇👇
 
Makambako haina soko la kisasa Katoro tayari ina soko la kisasa 😃🤭🤣🤣🤣
Maana yake kipi ni Kijiji hapo?
Una hangaika na Kijiji chako Cha katoro wambie wakajifunze kupangilia nyumba swax hapo nyumba NI za kawaida ila tayar Zina thamani kubwa 👇👇👇
 
Huo mtaa wako wa ofisi za mkoa NI sawa na ramani hizi za shule kila mkoa wamejenga ramani moja ko ndo maana Hilo hatutaki kugusia Sana tunataka CBD Ina jipya gani 👇👇👇View attachment 3463352
Unachekesha vitu vya Manispaa huwezi vikuta kwenye vijiji vyenu hivyo chakavu

Unatoa wapi ujasiri wa kutaka kulinganisha vijiji vyako hivyo na Manispaa?
CBD kuna vyuma vinane vinaanza kunyanyuliwa na TBA andaeni pa kujifichia 😅
 
Huku nyumba zinajengwa kwa mpangilio watu wanajielewa hii NI songea road
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…