Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Wewe una matatizo na hicho Kijiji chako, ambacho hakiwezi kuishinda hata KatoroTulisha kwambia Kama nyumba za kuishi tu makambako zinajengwa maana ww hukawii kukimbilia kufichamia kwenye Chaka la ofisi za mkoaView attachment 3458252View attachment 3458253
KatoroTulisha kwambia Kama nyumba za kuishi tu makambako zinajengwa maana ww hukawii kukimbilia kufichamia kwenye Chaka la ofisi za mkoaView attachment 3458252View attachment 3458253
Naona tayar umeanza kuweweseka dose bado katoro inakujaje tulisha itoa nje muda hicho bado Kijiji kikashindane na vijiji vyenzieWewe una matatizo na hicho Kijiji chako, ambacho hakiwezi kuishinda hata Katoro
Hizo zipo za kuzidi mzeeeeee
Makambako haina soko la kisasa Katoro tayari ina soko la kisasa ππ€π€£π€£π€£Naona tayar umeanza kuweweseka dose bado katoro inakujaje tulisha itoa nje muda hicho bado Kijiji kikashindane na vijiji vyenzie
Hii hat katikati ya matope ndio Jengo la abiria ?ππKahama airport
View attachment 3462248
Kwani kuna tatizo π π
Tena kubwa.Lake zone eg Mwanza haijengwi na Serikali ππKwani kuna tatizo π π
Mpaka mtasema hapa Geita inaenda kubadili suraTena kubwa.Lake zone eg Mwanza haijengwi na Serikali ππ
Makambako haina soko la kisasa Katoro tayari ina soko la kisasa ππ€π€£π€£π€£
Maana yake kipi ni Kijiji hapo
Achana na Kijiji chako Cha katoro leta project Kama hiz geita cbdMakambako haina soko la kisasa Katoro tayari ina soko la kisasa ππ€π€£π€£π€£
Maana yake kipi ni Kijiji hapo?
Achana na Kijiji chako Cha katoro leta project Kama hiz geita cbdView attachment 3462989
Rudi page za nyuma hapo, Makambako bado ni Kijiji kikubwa tu chenye kutu na vumbiAchana na Kijiji chako Cha katoro leta project Kama hiz geita cbdView attachment 3462989
Geita ni Mkoa Mpya,wanapita ambako wengine wamepia kitamboMpaka mtasema hapa Geita inaenda kubadili sura
View attachment 3462983
Japo kuna limitations za kutokuzidi ghorofa 8 sababu ya effect za matetemeko ya baruti za migodini
Page za mapaa au wenzenu wanajenga kila leo mzeeRudi page za nyuma hapo, Makambako bado ni Kijiji kikubwa tu chenye kutu na vumbi
Endelea kujitariji wenzenu mitaan na CBD kunapamba Moto project hazi kaukiππRudi page za nyuma hapo, Makambako bado ni Kijiji kikubwa tu chenye kutu na vumbi
Rudi page za nyuma hapo, Makambako bado ni Kijiji kikubwa tu chenye kutu na vumbi
Page za nyuma ulipost vijengo vingap tu CBD ukaishia kupost ofisi za idara za mkoa tu ambazo kila mkoa mpya una mtaa wenye ofisi hizo sisi na WILAYA mpya zote wamefanya hivyo ko si Jambo geni kabisa Hilo ndo maana nilikwambia tembelea mikoa mipya yote ofisi zote wanajenga mtaa mmoja tunataka CBD hii ndo inaonyesha uwezo wa watu wa eneo husikaRudi page za nyuma hapo, Makambako bado ni Kijiji kikubwa tu chenye kutu na vumbi
Rudi page za nyuma hapo, Makambako bado ni Kijiji kikubwa tu chenye kutu na vumbi
Page za nyuma ulipost vijengo vingap tu CBD ukaishia kupost ofisi za idara za mkoa tu ambazo kila mkoa mpya una mtaa wenye ofisi hizo sisi tunataka CBD hii ndo inaonyesha uwezo wa watu wa eneo husikaRudi page za nyuma hapo, Makambako bado ni Kijiji kikubwa tu chenye kutu na vumbi