Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Kama hapajapauka kutu zinaonekana viziri ππNI msimu wa kiangaz mzee au hujui inchi yako inatofautiana
Ebu leta ya msimu wa mvua ππππ
Kama hapajapauka kutu zinaonekana viziri π
Shida yako tulisha kwambia tembea ujiifunze miji inaendaje unaamini et picha ndo kila kitu shituka mzee njombe ni mkoa wa kijan mwaka mzima miti ya kutosha sio Kama hukoEbu leta ya msimu wa mvua ππππ
Kama hapajapauka kutu zinaonekana viziri ππ
Maneno mengi na Kijiji chako ambacho hakina hata mpangilio wacha kazi ziendelee makambakoEbu leta ya msimu wa mvua ππππ
Kama hapajapauka kutu zinaonekana viziri ππ
HAYA angalia kutu za geita CBD yako tulisha kwambia miji ambayo ilishaanza maendeleo muda mrefu hivyo vitu NI kawaida huwezi linganisha na Kijiji chako hicho ambacho hata mpangilio sifuriEbu leta ya msimu wa mvua ππππ
Kama hapajapauka kutu zinaonekana viziri ππ
Wacha mkoa wa NJOMBE uendelee na project ya KUUJENGA MJI MKUBWA wa viwanda na biashara Kanda ya nyanda za juu kusini πππEbu leta ya msimu wa mvua ππππ
Kama hapajapauka kutu zinaonekana viziri ππ
Huko Geita ilishahama kitambo iko busy kutengeneza mji wa kisasa ππ€£π€£ nyie endeleeni na hivyo vijiji vyenu vya Kutu republicHAYA angalia kutu za geita CBD yako tulisha kwambia miji ambayo ilishaanza maendeleo muda mrefu hivyo vitu NI kawaida huwezi linganisha na Kijiji chako hicho ambacho hata mpangilio sifuriView attachment 3452016View attachment 3452017View attachment 3452018
Huna lolote leta CBD usituletee ofisi hapa hizo zipo kila mkoaHuko Geita ilishahama kitambo iko busy kutengeneza mji wa kisasa ππ€£π€£ nyie endeleeni na hivyo vijiji vyenu vya Kutu republic
View attachment 3452624
Kahama biashara ipo na mji unakua kulingana na rasilimali madini iliyopo uchumi wa lile eneo ni mkubwa kwa upande wa njombe mwingiliqno wa watu ni mkubwa kutokaa na soko la mazao hata wageni kutoka kenya wanakuja kununua mazao njombe hivyo fursa kubwa pale ni kilimoKaribuni kwenye mada.
Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga.
Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji?
Njombe View attachment 2674915
Kahama View attachment 2674916
Wewe Katoro inakutosha tu siwezi kuhangaika na Geita kulinganisha na hivyo vijiji vyenu vikubwa vya ujamaaHuna lolote leta CBD usituletee ofisi hapa hizo zipo kila mkoa
Geita CBD ππHAYA angalia kutu za geita CBD yako tulisha kwambia miji ambayo ilishaanza maendeleo muda mrefu hivyo vitu NI kawaida huwezi linganisha na Kijiji chako hicho ambacho hata mpangilio sifuriView attachment 3452016View attachment 3452017View attachment 3452018
Sasa tabora inahusikaje unataka iwasaidie
Toa matongotongo ππ huwa mnapost Mbeya na Songea kwani huwa inahusikaje humu?Sasa
Sasa tabora inahusikaje unataka iwasaidie
Nchi ya vumbi na Kutu πππAloo we jamaa bado unaushamba Sana Sasa Kuna Nini kipya hapo naona umeamua kuweka had tent za maonesho makambako tu kwa mkoa wa njombe imewaacha mbali huo ndo ukweli zingine mbwembwe tuView attachment 3455009View attachment 3455012
Sasa tabora toka Lin ikawa Kanda ya ziwa we jamaa hata jiografia ya nchi hujui Basi miji mingi unaishia ku Google tuToa matongotongo ππ huwa mnapost Mbeya na Songea kwani huwa inahusikaje humu?
Ili ujue miji yenu ni vijiji vikubwa ndio maana nakuwekea miji ya kanda za kina Ngosha ili angalau upunguze ushamba wa kuvipatia sifa zisizo stahili hivyo vijiji vyenu π€£π€£
Nchi ya vumbi na Kutu πππ
Hebu angalia makambako kwa CBD hiyo walivyo IDRAFT na kwa Sasa wapo kwenye maboresho ya master plan lengo NI kuufanya mji mkubwa wa viwanda na biashara nyanda za juu kusini na nchi jilani za SADC kwa kuongeza maeneo ya kongani za viwanda nk
Punguza Ushamba, na ujaribu kuwa mfatiliaji wa miji mingine ushamba utapungua na utaacha kusifia hiki Kijiji chako ona uchafu hapo CBD πHebu angalia makambako kwa CBD hiyo walivyo IDRAFT na kwa Sasa wapo kwenye maboresho ya master plan lengo NI kuufanya mji mkubwa wa viwanda na biashara nyanda za juu kusini na nchi jilani za SADC kwa kuongeza maeneo ya kongani za viwanda nkView attachment 3455848View attachment 3455858View attachment 3455866View attachment 3455848