Sijui unaongea nnPiga Uwa, NJOMBE ni Kijiji Chenye FUTURE ya SIKU MOJA KUJA KUWA WILAYA. there is Potential .
Pembeni angalau kutu zimepungua
MAKAMBAKO Eneo ambalo soon linabomelewa kupisha ujenzi wa soko la kisasa kupitia mradi wa tacts πππ
View: https://www.instagram.com/reel/DMCJMmJoDer/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
Uhalo gan tulisha kwambia CBD SAIZ ZINASHUKA GOROFA NA KUWA NA NYUMBA ZENYE KUTU KATIKATI YA MJI NI KAWAIDA KWA MIJI MINGI KWAni mji ndo ulianzia hapo kinacho angaliwa mji una mpangilio sio kujenga holela mji ukakosa miundombinu MUHIMU mji ukiwa planned kubadili majengo sio shida ndo maana kwa Sasa makambako CBD wanavunja na kushasha vitu vikiwa kwenye ramani ile ile ilaasa ni mwendo huuππPembeni angalau kutu zimepungua
Shida ni huuπuharo kwenye CBDπππ€£π€£
Acha kutapatapa na gulio lako hilo ππUhalo gan tulisha kwambia CBD SAIZ ZINASHUKA GOROFA NA KUWA NA NYUMBA ZENYE KUTU KATIKATI YA MJI NI KAWAIDA KWA MIJI MINGI KWAni mji ndo ulianzia hapo kinacho angaliwa mji una mpangilio sio kujenga holela mji ukakosa miundombinu MUHIMU mji ukiwa planned kubadili majengo sio shida ndo maana kwa Sasa makambako CBD wanavunja na kushasha vitu vikiwa kwenye ramani ile ile ilaasa ni mwendo huuππView attachment 3447686View attachment 3447685View attachment 3447687
Acha kutapatapa na gulio lako hilo ππ
Video uliyopost inaonyesha uharo tupu mandhari ya mji ni chafu tu CBD imejaa kutu halafu unaanza kuokoteza kajengo kamoja π€£πππ
Nikiweka picha za CBD ya Katoro hakuna uchafu wa kutu na mandhari ni yakuvutia kama ππ hapo πView attachment 3448296
Miji yenu ni uchafu yaani ni vijiji vilivyokuwa kwa Kasi zamani na ujenzi wa nyumba za kizamani ambazo karibu 85% pale CBD ni vyema zibomolewe otherwise Makambako CBD itaendelea kuwa na mwonekano wa uharo milele π
Hichi NI Kijiji milele hakuna mpangilio wowote Kama ndo CBD tafuta vijiji vyenzake ndo ushindanishe mzee unatuchosha akiliAcha kutapatapa na gulio lako hilo ππ
Video uliyopost inaonyesha uharo tupu mandhari ya mji ni chafu tu CBD imejaa kutu halafu unaanza kuokoteza kajengo kamoja π€£πππ
Nikiweka picha za CBD ya Katoro hakuna uchafu wa kutu na mandhari ni yakuvutia kama ππ hapo πView attachment 3448296
Miji yenu ni uchafu yaani ni vijiji vilivyokuwa kwa Kasi zamani na ujenzi wa nyumba za kizamani ambazo karibu 85% pale CBD ni vyema zibomolewe otherwise Makambako CBD itaendelea kuwa na mwonekano wa uharo milele π
Kaaa kwa kutilia vitu vinanyanyuka CBDAcha kutapatapa na gulio lako hilo ππ
Video uliyopost inaonyesha uharo tupu mandhari ya mji ni chafu tu CBD imejaa kutu halafu unaanza kuokoteza kajengo kamoja π€£πππ
Nikiweka picha za CBD ya Katoro hakuna uchafu wa kutu na mandhari ni yakuvutia kama ππ hapo πView attachment 3448296
Miji yenu ni uchafu yaani ni vijiji vilivyokuwa kwa Kasi zamani na ujenzi wa nyumba za kizamani ambazo karibu 85% pale CBD ni vyema zibomolewe otherwise Makambako CBD itaendelea kuwa na mwonekano wa uharo milele π
Pamepauka hadi huruma π€£π€£π€£π€£π€£Kaaa kwa kutilia vitu vinanyanyuka CBDView attachment 3449905
NI msimu wa kiangaz mzee au hujui inchi yako inatofautianaPamepauka hadi huruma π€£π€£π€£π€£π€£