Kahama VS Njombe/Mafinga

We jamaa bado mshamba Sana Tena Sana Yani mapaa yaliyojaa kila vijiji ndo ya kuumia leta project za maana huo ni Ushamba wako si ulizoea kuishi nyumba za tembe ko hivyo vitu kwako NI mashokolo mageni
Maneno ya mkosaji πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maneno ya mkosaji πŸ˜‚πŸ˜‚
Soma takwimu za sensa zitakusaidia mkoa was njombe NI wa ngapi katika nyumba Bora si wezi kubaki nabishana na mtu aliyetoka nyumba za tembe ndo anashaangaa kuwa Kuna mapaa ya bati
 
Soma takwimu za sensa zitakusaidia mkoa was njombe NI wa ngapi katika nyumba Bora si wezi kubaki nabishana na mtu aliyetoka nyumba za tembe ndo anashaangaa kuwa Kuna mapaa ya bati
Ebu weka tuzione hizo nyumba zenyewe sasa🀣🀣🀣🀣vijumba vimejaa mkoa mzima
 
Ebu weka tuzione hizo nyumba zenyewe sasa🀣🀣🀣🀣vijumba vimejaa mkoa mzima
Tumeweka mara ngapi saiz leta project mpya sio vipicha hivyohivyo vya nyumba za kijijini toka tumeanza kukufatilia project za maana hata tano hazifiki kwenye hicho Kijiji chako zaidizaidi NI Ushamba wa kupost mapaa
 
Endelelea kuumia hivyo hivyo na miji yako yenye kutu kila kona,πŸ‘‡πŸ‘‡umia tena
 
Endelelea kuumia hivyo hivyo na miji yako yenye kutu kila kona,πŸ‘‡πŸ‘‡umia tena
View attachment 3438505
Mzee wa tembe endelea kuhangaika na mapaa si tunacheck project mpya CBD ZA MJI ZINA HITAJI NINI HUKO TULISHA HAMA KARNE ZIMEPITA TUKO HUKU SASA NI MWENDO WA KUVUNJA NYUMBA ZA MAPAA CBD NA KUPANDISHA GOROFA
 
Endelelea kuumia hivyo hivyo na miji yako yenye kutu kila kona,πŸ‘‡πŸ‘‡umia tena
View attachment 3438505
Kwa ujenz huo hicho kitabaki kuwa Kijiji tu miaka yote hakuna barabara nyumba zipo holela some time muwe mnajifunza kwenye miji mikubwa ya jilan miji wanapangaje sio kila siku kutuletea mapaa et ndo mjimfano hiyo NI arusha unaona Kuna mapaa yako hapo
 
Endelelea kuumia hivyo hivyo na miji yako yenye kutu kila kona,πŸ‘‡πŸ‘‡umia tena
View attachment 3438505
Mkoa wa njombe umeamua Makambako kuwa mji wa VIWANDA na bishara ko nao unajifunza kwenye majiji yaliyopo junction yanayo kua kwa mfumo wa viwanda na biashara na jiografia zinazo endana flat land ya kutosha na si vinginevyo ndo maana kwa Sasa Kuna mabadiliko yanaendelea Kama uwekaji wa Alama ya mji round about ,ujenz wa gorofa CBD , VIWANDA NKlusaka zambiando maana mabadiliko yanaendelea CBD
 
Kuna nini cha maana hapo makambako zaidi ya vijumba vyenye kutu na vigorofa vitano ambavyo ni kawaida kwa maeneo mengi mpaka Kasulu hukoπŸ˜‚πŸ˜‚
Au kuwa na round about ndio maendeleo?

Ebu weka hizo nyumba mnazoishi tufurahi kidogo πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…