Kahama VS Njombe/Mafinga

Barabara ya songea kuanzia makambako Hadi msitu wa tanwat wangama km 30 NI full mijengo na VIWANDA vya kutosha hapa NI ikelu na ilundaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Sasa huko kusini kuna Jiji lolote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hii mikoa yote uliyoitaja ina majiji ambayo ndio highest level of urbanization na maendeleo kwa ujumla ndio maana utaona kama sehemu zingine hazijaendelea ndani ya mkoa husika but sio guarantee ya nyanda za juu kusini kuyazidi kimaendeleo
Halafu Hungumalwa ni Kwimba sio Misungwi.
Sasa kwa mfano mkoa wa Njombe hauna hata Manispaa moja πŸ˜‚ πŸ˜‚ huoni kuna tatizo πŸ€”πŸ€”
 
Tumewazidi Kimaendeleo,hakuna Kijiji Utaenda Nyanda za Juu ukakuta vijumba vya tembe au matope kama huko kwenu isipokuwa Iringa Kuna tembe Baadhi ya Wilaya kame.
 
SONGEA ROAD KUTOKA MAKAMBAKO HADI WANGAMA KM 30 TAYARI VIWANJA VIMEPIMWA MKOA WA NJOMBE UMEDHAMILIA KUTENGENEZA MJI MKUBWA WA VIWANDA NA BIASHARA πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡Mkuu wa wilaya ya Njombe Juma Sweda Julai 15,2025 amekabidhi hati miliki za viwanja 521 kwa Wananchi wa Kijiji cha Lunguya Kata ya Mtwango Halmashauri ya wilaya ya Njombe zikiwa ni juhudi za serikali katika kuhakikisha wananchi wanarasimisha ardhi.

Zoezi la upimaji wa viwanja hivyo limefanywa na Digital Land Consultant Co.ltd (DILACO) ambayo ilianza utekelezaji wa mradi huo 01.08.2023 ikitarajia kupima jumla ya viwanja 4,361 katika Miji 11 ambapo mpaka sasa imekwishafanya utambuzi wa vipande vya ardhi 2,716.

Wananchi hao wametakiwa kuzitunza hati hizo, kuzitumia katika mikopo kwa taasisi muhimu zinazotambuliwa na serikali ili kukuza uchimi wao lakini pia mkuu wa wilaya amehimiza suala usawa katika umiliki wa ardhi kwa wanamume kuwashiriki wake zao ili kuepusha migogoro ya kifamilia pindi vifo vinapotokea.

#jisikiemfalme #kingsfmradio #kingsfmupdates #2025imenogailembaya #njombe
 
Kwa Sasa Jiji la Mbeya Kuna kasi kubwa sana ya ujenzi wa magorofa everywhere kiasi kwamba sura ya Jiji imebadilika.

The only problem ni kwamba majengo yanayojengwa sio marefu na Yako scattered sio kama Miji mingine ambapo Yako concentrated CBD.

Ila eneo la kuanzia 8/8 Hadi Forest ni pamoto.sana.

Some buildings on progress πŸ‘‡πŸ‘‡

Hayo ni Baadhi tuu niliyoya spot eneo la Mwanjelwa ila unaanza kukutana na magorofa mapya yanayojengwa kuanzia Songwe-Viwandanj Hadi Uyole na mengine kibao huko mtaani.

Speed hii Ikiendelea ni wazi Mbeya inaenda kuwa hub ya Uchumi mkubwa sana hapa Nyanda za Juu.
 
Nyanda za juu kusini miji yenu inakaa kama nchi za mavumbini Chad huko πŸ˜‚ πŸ€—
Makambako ona ilivyopauka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ€­πŸ€­
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…