Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,365
- 1,006
Shida ya mkoa wa Shinyanga ni moja ,wilaya zilizoendelea vizuri ni mbili tu yaani Shinyanga Manispaa na Kahama Manispaa wilaya zilizobaki zipo nyuma sanaGeita inaizidi Hadi Shy Sasa unashangaa nini?
Sengerema Kuna nini huko Cha maana Bora hata MisungwiShida ya mkoa wa Shinyanga ni moja ,wilaya zilizoendelea vizuri ni mbili tu yaani Shinyanga Manispaa na Kahama Manispaa wilaya zilizobaki zipo nyuma sana
Uzuri wa Mkoa wa Geita una wilaya tano zimepiga hatua kimaendeleo ya watu na zina fursa nzuri kwa mtu anayetafuta maisha, ( mbogwe, bukombe, Geita DC, Chato na Geita MC). Kwenye haya maeneo kuna pesa
Mkoa wa Mwanza huwa naona unashikiliwa na wilaya tatu tu, Mwanza jiji, Ilemela na Sengerema ndio sehemu zenye fursa nyingi za kiuchumi, kwa wilaya kama Misungwi, ukerewe, Kwimba na magu huwa naona ni setbacks kwa mkoa wa Mwanza ndio zenye maskini wengi na fursa chache na huwa zinachangia sana negatively kwenye data za uchumi kwa mkoa wa Mwanza
Ukiniambia nichague mkoa wa kutaftia pesa kanda ya ziwa chaguo langu kwa sasa litakuwa Geita, Na Geita inapokea wahamiaji wengi sana wanaofata fursa za pesa na kama itabaki hivi mpaka census ijayo Mkoa wa Geita unaweza kuongoza kwa population kwa kanda ya ziwa
Sengerema kwa maendeleo ya watu iko vizuri ndio maana mpaka sasa ina halmashauri mbili, Misungwi huijui vizuriSengerema Kuna nini huko Cha maana Bora hata Misungwi
Wawekee picha za Mijengo mikubwa kama Kibidamo,BS na lile gorofa kubwa pale unapoingia stendi.Uwekezaji hospital ya kibingwa makambako unaendeleaπππView attachment 3403815
Na ile ya Mikumi-Ifakara-Malinyi-Songea ikifunguka Mji utakimbia kasi zaidiSONGEA ITAKUWA BARABARA FUPI KWENDA NCHINI AFRIKA YA KUSINI
Mkuu wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Mheshimiwa Kapenjama Ndile amesema kitendo kilichofanywa na serikali kutoa bilioni 110.7 kuanza kujenga barabara ya lami nzito kuanzia Likuyufusi hadi Mkenda Mpakani na Msumbiji kutafungua fursa nyingi kiuchumi katika wilaya ya Songea kwa sababu itakuwa ndiyo barabara fupi zaidi kwenda nchini Afrika ya kusini.
Ndile amesema hayo katika hafla ya utambulisho wa mradi huo katika awamu ya kwanza ya utekelezaji kwa ujenzi wa barabara ya lami kilometa 60 Kati ya kilometa 124.
Sengerema gani unayoisemea? Yaani Wilaya Ina watu zaidi ya Laki 6 lakini Mapato haifiki hata Bilioni 3? Hayo ndio Maendeleo? πππSengerema kwa maendeleo ya watu iko vizuri ndio maana mpaka sasa ina halmashauri mbili, Misungwi huijui vizuri
ππππ Kumbe umepita barabarani, ukitoa tarafa ya usagara ambayo soon inaweza hamishiwa mwanza jiji Misungwi inabaki na nini π π?Sengerema gani unayoisemea? Yaani Wilaya Ina watu zaidi ya Laki 6 lakini Mapato haifiki hata Bilioni 3? Hayo ndio Maendeleo? πππ
Misungwi ipi sijui wakati nimeishi pale miaka 2 na Kila mwaka naenda? Misungwi imeungana na Mwanza ,harafu hata Daraja la Kigongo-Busisi linaunganisha Misungwi na Sengerema bushi.
Usagara Iko misungwi pia.Kwa taarifa yakonimefika Hadi kakola Kupitia Ile Barabara ya Mwanangwa-Misasi Hadi Kahama.
Kumbe unafahamu kwamba huo Mkoa wenu maendeleo yapo hapo mjini tuu Wilaya zingine zote ni hovyo kabisa ππππππ Kumbe umepita barabarani, ukitoa tarafa ya usagara ambayo soon inaweza hamishiwa mwanza jiji Misungwi inabaki na nini π π?
Sengerema ulifika hadi Buchosa? Wilaya ya Misungwi na wilaya ya Sengerema nazijua kama kijanja changu zote nimetembelea hadi vijini ndani ndani huko π wewe si ulipita barabarani π€
Misungwi nimefika kuanzia Sumve huko, fela, mwagala buhingo, misasi , mwawile mpaka ilijamate hadi walipotelea maji ya ziwa Victoria kwenda Dodoma
Sengerema nayo nimefika kuanzia Ngoma huko,sogoso, Nyehunge, Nyakarilo mpaka butalanda nazijua vizuri
Rank ya maendeleo kwa wilaya za Mwanza, Misungwi lazima itakuwa kwenye top three ya least developed districts ambazo ni Ukerewe, kwimba na Misungwi na Magu hizi ziko kundi moja.
Ukiacha Ilemela na Nyamagana Sengerema inafata kwa Maendeleo na uchangiaji wa pato la mkoa