Kahama VS Njombe/Mafinga

Utarudia mno πŸ˜‚πŸ˜‚
Kijiji kilichochangamka
Geita iko level zingine ni kufuata nyayo za Dodoma tu πŸ’₯ πŸ‘‡, hamuwezi fika hapa
View attachment 3348142
See the development at the background, modern city πŸ’₯πŸ’₯
Kijiji Cha wachuuz hicho hicho Kijiji linganishaga na vijiji vya huko huko usituletee Tena maana tumesha kugundua nje ya ofisi za mkoa huna Cha kupost ebu miji ya nyanda za juu iendelee kuonyesha misuli kuwa pesa IPO na watu mafinga tc
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Vitu ambavyo hata Kasulu vipo
Swali ni Je: Mna satellite town πŸ˜‚ πŸ€— πŸ‘‡
 
TAZARA DRY PORT MAKAMBAKO akianza kazi mchina hizi zinaenda kuanza kufanya kazi na ita οΏΌhudumia mikoa ya njombe , IRINGA,na ruvuma Kanda ya nyasa na nchi ya malawi
 
Moja ya barabara ambayo ikiwekwa lami itawarahisishia sana usafiri watu w mlimba na ifakara kwenda makambako na mikoa ya nyanda za juu kusini na itapunguza km https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/694090239936915/?app=fbl
 
Ni mwendo wa VIWANDA eneo hili igawaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ MKUU WA WILAYA YA MBARALI APONGEZA UJENZI WA KIWANDA CHA PLASTIKI UNAOENDELEA MBARALI

Mkuu wa Wilaya ya Mbarali Mhe. Kanali Maulid Hassan Surumbu siku ya leo tarehe 03.06.2025 ameambatana na Maafisa Biashara na Viwanda pamoja na Afisa Mazingira wa Wialya ya Mbarali ametembelea Mradi mkubwa wa kiwanda cha Plastiki unaeondelea kijengwa katika kata ya Lugelele kijiji cha Igomelo kitongoji cha Nyanyanjo.

" Niwashukuru sana Uongozi wa kampuni ya RJ MUSA CONSTRUCTION kwa kubuni mradi huu na kuona inafaa kuuleta nyumbani"

" Mradi huu utaenda kupunguza changamoto ya Ajira kwa vijana wetu wa Mbarali, Mkoa wa Mbeya na hata nje ya Mkoa wa Mbeya" Aliongeza Kanali Maulid

"Wilaya ya Mbarali ina miradi zaidi ya 26 kwenye Sekta ya Maji na inahitaji mabomba mengi, nina imani mtawasaidia watakapohitaji"

" Uwepo wa kiwanda hiki Mkoa wa Mbeya, utaenda kupunguza gharama kubwa zinazotumika za kuagiza mabomba nje ya Nchi au Nje ya Mkoa na Miradi itakuwa inakamilika kwa wakati" Kanali Maulid

Kiwanda hicho cha Plastiki kinajengwa katika Kata ya Lugelele na kinatarajia kukamilika Mwezi Agosti, 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…