Kahama VS Njombe/Mafinga

Umekula za uso maneno kibao uzi mzima unarudia picha zilezile kwel hiyo manispaa uchwara makambako again.View attachment 3345987
Kwenye hicho kijiji chako cha Makambako kuna satellite town πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚?
Nyuma ya kanisa tu naona masankulo 🀭 πŸ˜‚
Nawapiga na vitu ambavyo huwezi vikuta kwenye Kijiji πŸ˜‚πŸ˜‚ na mtavisikia tu.
Makanisa makubwa ya Geita wala sitaki kuweka hapa usije ukakimbia
 
Hapa ni stendi tu na nyuma ya stendi ni masankulo kama kawaida yenu, hiki Kijiji chenu kawaida kabisa kulinganisha na akina Kahama, mafinga n.k
Weka video ya stendi ya Geita tuone kama panafanana hivyo 😁😁
 
Hapo umeona kiwanja tuπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„, mambo mengine ya ki-Dodoma Dodoma hutaki kuyaona sio πŸ˜‚ πŸ€— πŸ˜‚
Sasa mmejengewa stendi kulingana na hadhi yenu πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Usiwe na haraka ikikamilika utajuzwa
As usual Modern things
 
Week tuyaone sio kila muda kurudia ofisi za serikali ambazo zipo kila mkoa
 
Week tuyaone sio kila muda kurudia ofisi za serikali ambazo zipo kila mkoa
Niweke mara ngapi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hata kwa macho ya kawaida huwezi kuona satellite town unavyoandaliwa kwenye hii picha πŸ€”πŸ€”πŸ‘‡ na nyingi nimeweka humu
 
Hizo kanisa viwanja njombe na makambako vpo
Ni nakuuliza, Hapo Njombe/ Makambako mna satellite town πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kama hamna miji yenu itaendelea kuwa vijiji vilivyo changamka tu
 
Ni nakuuliza, Hapo Njombe/ Makambako mna satellite town πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kama hamna miji yenu itaendelea kuwa vijiji vilivyo changamka tu
Ww tumegundua huna jipya Yan Hilo eneo la ofisi utaita kila majina maana mmezoea kujenga nyumba holela ndo maana unashangaa hicho kitu
 
Ww tumegundua huna jipya Yan Hilo eneo la ofisi utaita kila majina maana mmezoea kujenga nyumba holela ndo maana unashangaa hicho kitu
Huwezi kuelewa vitu ambavyo hamuwezi kuwanavyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”¨πŸ”¨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…