Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Toa takataka hapa na maneno yako matupu ya kwenye kanga, kama soko lipo siuliweke hapa tuoneToka Jana nilishakuona fyuz imelegea we mji unaitwa wa biashara na VIWANDA unakosaje masoko huku hawaongelei soko moja mzee uwe unaelewa katembelee kariakoo ujifunze tunavo kwambia soko linakuwa na mitaa ya bidhaa tofauti tofauti ndicho kilichopo makambako uwe unaelewa hapo bado masoko mengine ya mtaani
Kama shule ya msingi πππππMABORESHO TAYARI KWA SASA NDO SOKO LA KIMATAIFA LA MAZAO na ujenzi unaendelea limechukua ekari zaidi ya 300 MTAA mzima View attachment 3341584 https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/100064044039613/posts/pfbid0xZNdCKJEGv2UBr9oNmzBKj2ijXMx3NxkAzxM3AtX8ekYKtq57CDBNqC8oeqieDTtl/?app=fbl
Haujitambui wewe na mnaulimbukeni sana nyie watu, sasa huu nao ni mji wa kutamba nao kweli πππ kuna cha maana hapo zaidi ya round about?Yani hata geita yako kwa makambako inakalishwa kwa ukubwa sio kutuletea Kijiji chako Cha katoro kilicho jaa njia za ngombeView attachment 3341586View attachment 3341587 https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/100064044039613/posts/pfbid0GJMPT5Jvoe2diGmFAjBWEtycsTt9FfuumAUjAycBZZbMSWDHKYWJyB8geKyn3LrWl/?app=fbl
Endelea kushinda kwenye mashimo Kama fuko utakapo toka ndo utajua kwanini katoro NI kijijiHaujitambui wewe na mnaulimbukeni sana nyie watu, sasa huu nao ni mji wa kutamba nao kweli πππ kuna cha maana hapo zaidi ya round about?
Umeshindwa kuleta soko la hiyo kijiji yenye kutu wewe ni wa kupuuzwa jumla na Kijiji chako cha njiapanda
Unayajua masoko wwKama shule ya msingi πππππ
Hii π kama ndo ingekuwa Makambako tusingepumua hii nchi , unaumia ukiwa wapi π€ πUnayajua masoko ww
Si ulete soko hapa sasa ππ, kama hakuna soko kuu la maana sema π€Unayajua masoko ww
Hata ukaze fuvu lako vipi kazi yangu nimeshamaliza kukuonyesheni muache kukipa sifa zisizo zake hicho kijiji cha njiapanda kilichozeeka kwa kutuEndelea kushinda kwenye mashimo Kama fuko utakapo toka ndo utajua kwanini katoro NI kijiji
Soko naona kama tumemaliza ππππ Makambako hainaUnayajua masoko ww
Katoro bado bush soko lipo Kama shule et ndo soko kuu duu au NI frem za mtu binafs hako ka Kijiji hakana future yoyote hakana barabara nyumba zimejengwa bila mpangilio njia za ngombe za kutoshaSi ulete soko hapa sasa ππ, kama hakuna soko kuu la maana sema π€
Yaani kwa asiyeijua makambako akisikia vile mnavyoipaisha anaweza jua ni bonge la mji, kumbe ni kijiji cha zamani cha njiapanda kilichojaa kutu hakina hata soko kina masangulo tu π€π€πView attachment 3341704
Angalia masoko yanavyo designiwaSi ulete soko hapa sasa ππ, kama hakuna soko kuu la maana sema π€
Yaani kwa asiyeijua makambako akisikia vile mnavyoipaisha anaweza jua ni bonge la mji, kumbe ni kijiji cha zamani cha njiapanda kilichojaa kutu hakina hata soko kina masangulo tu π€π€πView attachment 3341704
Makambako daily mijengo inanyuka hatuna muda wa kupiga picha panazaidi ya mitaa 50Hata ukaze fuvu lako vipi kazi yangu nimeshamaliza kukuonyesheni muache kukipa sifa zisizo zake hicho kijiji cha njiapanda kilichozeeka kwa kutu
Ww ndo hujui aliyefika MIKOA ya nyanda za juu kusini wanaifahamu ndo junction ya MIKOA hiyo uwe unaelewa junction maana fyuzi yako imelegea ndo wanakupuuza na Kijiji chako hicho kutwa kukaa kwenye mawe kupiga picha mapaa na barabara moja hiyoSi ulete soko hapa sasa ππ, kama hakuna soko kuu la maana sema π€
Yaani kwa asiyeijua makambako akisikia vile mnavyoipaisha anaweza jua ni bonge la mji, kumbe ni kijiji cha zamani cha njiapanda kilichojaa kutu hakina hata soko kina masangulo tu π€π€πView attachment 3341704
Makambako ina mpangilo gani??ππKatoro bado bush soko lipo Kama shule et ndo soko kuu duu au NI frem za mtu binafs hako ka Kijiji hakana future yoyote hakana barabara nyumba zimejengwa bila mpangilio njia za ngombe za kutosha
Pole kwa maumivuWw ndo hujui aliyefika MIKOA ya nyanda za juu kusini wanaifahamu ndo junction ya MIKOA hiyo uwe unaelewa junction maana fyuzi yako imelegea ndo wanakupuuza na Kijiji chako hicho kutwa kukaa kwenye mawe kupiga picha mapaa na barabara moja hiyo
Njombe kuna sokoAngalia masoko yanavyo designiwaView attachment 3341710
Endelea kuweweseka VIWANDA vinazidi KUONGEZEKA ππ€’ππππNjombe kuna soko
Katoro kuna soko
Makambako........... hakuna kitu
HITIMISHO ππ€
Makambako ni kijiji kwenye njiapanda ya mikoa ya nyanda za juu kusini
Pole kwa maumivu
hahaha inaonekana unaumia sana hamia nyanda za juu kusini maana kutwa unashinda unalinganisha na vijiji vyenu vya wachuu Uno takiwa na mipango mijiMakambako ina mpangilo gani??ππ
Kwa sensa ya majengo 2022Makambako daily mijengo inanyuka hatuna muda wa kupiga picha panazaidi ya mitaa 50