Endelea kuufatilia mkoa was njombe Mambo yanazidi kuwa mazuriHauoni hata aibu kutupostia kutu humu 🤗🤗🤗🤔
Endelea kuufatilia mkoa was njombe Mambo yanazidi kuwa mazuriHauoni hata aibu kutupostia kutu humu 🤗🤗🤗🤔
Unazani Geita Mambo hayawi mazuri? Na wewe ifatilie Geita yaani Mkoa wa njombe kuupita mkoa wa Geita kwa maendeleo ya watu labda kwenye makaratasi, but on the ground sahauEndelea kuufatilia mkoa was njombe Mambo yanazidi kuwa mazuri
Hahaha unachekesha una oya shituka angalia moja ya maeneo yaliyokuwa vijiji kuzunguka makambako njombe geita mtaishia kuyaona mashimoUnazani Geita Mambo hayawi mazuri? Na wewe ifatilie Geita yaani Mkoa wa njombe kuupita mkoa wa Geita kwa maendeleo ya watu labda kwenye makaratasi, but on the ground sahau
Unaongelea vijiji huku tunaongelea miji inayokua kwa kasi zaidi ya mitano ndani ya mkoa wa Geita ukiacha Katoro na Geita,Hahaha unachekesha una oya shituka angalia moja ya maeneo yaliyokuwa vijiji kuzunguka makambako njombe geita mtaishia kuyaona mashimo View attachment 3310157View attachment 3310159View attachment 3310160
Mbona haupataji? unahofu gani?🤔🤔🤔😂Hahaha unachekesha una oya shituka angalia moja ya maeneo yaliyokuwa vijiji kuzunguka makambako njombe geita mtaishia kuyaona mashimo View attachment 3310157View attachment 3310159View attachment 3310160
Ubaruku iko mbeya.Kwa Njombe kama tunazungumzia towships ni kama ifuatavyo.Hoja sio uwingi wa miji ni kukua kwa mkoa.Mkoa unaweza kuwa mji mmoja na subtowns nyingi.Kwa Njombe ya sasa huwezi jua mji unaanzia wapi na unaishi wapi.Ukitoka Njombe kwenda Makambako hutajua ni wapi Makambako na Njombe inaishia ni almost imeungana kwa kuwa katikati kuna Mtwango subtown.Kuna subtown nyingi kama ilembula,Ikonda,Makete,Ludewa,Igwachanya,Makete,Ikonda,Mlangali.Unaongelea vijiji huku tunaongelea miji inayokua kwa kasi zaidi ya mitano ndani ya mkoa wa Geita ukiacha Katoro na Geita,
1. Masumbwe mji
View attachment 3310204
2. Runzewe mji
View attachment 3310205
3. Ushirombo mji
View attachment 3310206
4. Chato
5. Nyarugusu
Namba 1 to 3 hii miji yote ni level ya makambako, out of makambako na njombe hakuna mji mwingine wa kulinganisha na hii ndani ya mkoa wa njombe
Yaani kwa Mkoa wa Njombe you have only
1. Njombe mji
2. Makambako mji
At least Ubaruku ndio utakuja kuwa mji wa tatu after many years to come sababu you lack the necessary population to boost fast development ya mji
Mtwango ndio hiyo sijui unstumia satellite ganiMbona maneno tu huweki ushahidi wa kuonekana 🤔🤔? Unachanganywa na linear settlement za barabarani kutoka mji mmoja kwenda mwingine , kutoka Njombe hadi makambako hakuna mji mwingine hapo katikati zaidi ya vijiji tu vinavyofata barabara
View attachment 3310426View attachment 3310427View attachment 3310428View attachment 3310429
Sasa hiki si kijiji tu, subtown ndogo ndogo huku ni kamaMtwango ndio hiyo sijui unstumia satellite gani
Bora umemwambia ndo maana huyu nilimwambia mkoa wa NJOMBE haujui vizuri anaishia kuangalia kwenye Google mapUbaruku iko mbeya.Kwa Njombe kama tunazungumzia towships ni kama ifuatavyo.Hoja sio uwingi wa miji ni kukua kwa mkoa.Mkoa unaweza kuwa mji mmoja na subtowns nyingi.Kwa Njombe ya sasa huwezi jua mji unaanzia wapi na unaishi wapi.Ukitoka Njombe kwenda Makambako hutajua ni wapi Makambako na Njombe inaishia ni almost imeungana kwa kuwa katikati kuna Mtwango subtown.Kuna subtown nyingi kama ilembula,Ikonda,Makete,Ludewa,Igwachanya,Makete,Ikonda,Mlangali.
Endelea kujidanganya njombe eneo kubwa makazi yameungana huwezi jua njombe imeanzia wapi na imeishia wapi makazi ya halmashauri nne yamesha kutana ambazo NI njombe mji , makambako mji , njombe dc , na wangingombe hapo NI makete na ludewa ndo kidogo zipo mbali ko mkoa wa NJOMBE una advantage ya kukua sana ndo maana viongozi wengi wanaushangaa Kama NI mkoa mpya kwa kasi ya maendeleo ulio nayo na hii zamani kabla njombe haujawa mkoa ilikuwa wilaya moja ya njombe baada kupata mkoa ndo wamemega halmashauri nne lengo NI kuitengeneza njombe ya kitofauti nyanda za juu kusini👇👇👇Kwa mfano Igwachanya hiki si bado kijiji kidogo tu 🤔👇
View attachment 3310533
Compare and contrast na miji midogo ya Geita post ya juu hapo
Haya huu uwanja wa ndege unajengwa katikati ya halmashauri nne AMBAPO NI km 20 kutoka kwenye kila halmashauri ambazo NI njombe tc , njombe dc , makambako TC na wangingombe dc 👇👇👇👇 KIWANJA CHA KISASA KUJENGWA NJOMBE KARIBUNIUnaongelea vijiji huku tunaongelea miji inayokua kwa kasi zaidi ya mitano ndani ya mkoa wa Geita ukiacha Katoro na Geita,
1. Masumbwe mji
View attachment 3310204
2. Runzewe mji
View attachment 3310205
3. Ushirombo mji
View attachment 3310206
4. Chato
5. Nyarugusu
Namba 1 to 3 hii miji yote ni level ya makambako, out of makambako na njombe hakuna mji mwingine wa kulinganisha na hii ndani ya mkoa wa njombe
Yaani kwa Mkoa wa Njombe you have only
1. Njombe mji
2. Makambako mji
At least Ubaruku ndio utakuja kuwa mji wa tatu after many years to come sababu you lack the necessary population to boost fast development ya mji
Geita uwanja tunao tayariUsilo
Haya huu uwanja wa ndege unajengwa katikati ya halmashauri nne AMBAPO NI km 20 kutoka kwenye kila halmashauri ambazo NI njombe tc , njombe dc , makambako TC na wangingombe dc 👇👇👇👇 KIWANJA CHA KISASA KUJENGWA NJOMBE KARIBUNI
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema kwa mwaka wa fedha 2025/2026 Serikali inatarajia kutenga fedha kwa ajili ya kukamilisha upembuzi yakinifu na usanifu wa kina kwa kiwanja cha ndege cha kisasa cha Njombe, na tayari Serikali imeidhinisha taarifa za awali za upembuzi yakinifu na usanifu wa kina ambapo zaidi ya shilingi milioni 800 zilitengwa kwa mwaka 2024/2025.
Akijibu swali la Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika bungeni Dodoma Aprili 10, 2025, Kihenzile amesema mara baada ya taratibu hizo kukamilika, ujenzi utaanza kulingana na upatikanaji wa fedha.
Akielezea umuhimu wa Kiwanja cha Ndege cha Njombe, Kihenzile amesema ni muhimu kimkakati hususani kwenye kukuza uchukuzi katika usafiri wa anga kijamii, kiuchumi na kibiashara ikiwemo biashara ya mazao ya misitu, mbogamboga, matunda (maparachichi) ambayo yote hayo huzalishwa na kusafirishwa nje ya nchi.
Aidha, kufuatia uboreshwaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) uliopelekea manunuzi ya ndege kubwa ya mizigo aina ya Boeing 767-300 F, Serikali kupitia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kwa kushirikiana na Mkoa wa Njombe imekamilisha uchambuzi wa eneo jipya la TANWAT kwa ajili ya ujenzi wa kiwanja kipya cha ndege, na sasa Serikali inaendelea na taratibu za utwaaji wa ardhi.
Hata Geita ilikuwa wilaya. Na msitafute pa kujifichia, nimeshawawekea miji 7 ndani ya mkoa wa Geita inayokua kwa kasi,Endelea kujidanganya njombe eneo kubwa makazi yameungana huwezi jua njombe imeanzia wapi na imeishia wapi makazi ya halmashauri nne yamesha kutana ambazo NI njombe mji , makambako mji , njombe dc , na wangingombe hapo NI makete na ludewa ndo kidogo zipo mbali ko mkoa wa NJOMBE una advantage ya kukua sana ndo maana viongozi wengi wanaushangaa Kama NI mkoa mpya kwa kasi ya maendeleo ulio nayo na hii zamani kabla njombe haujawa mkoa ilikuwa wilaya moja ya njombe baada kupata mkoa ndo wamemega halmashauri nne lengo NI kuitengeneza njombe ya kitofauti nyanda za juu kusini👇👇👇View attachment 3310916View attachment 3310932
Hiyo linear settlement inawachanganya sana sababu kwenu huko naona ni kitu kigeni. Na barabara ya kutoka njombe to makambako hapo katikati inapita ndani ya wilaya ya Wanging'ombe-njombe dc- makambako na ni makazi yanayofuata barabara na pia ni Short distanceEndelea kujidanganya njombe eneo kubwa makazi yameungana huwezi jua njombe imeanzia wapi na imeishia wapi makazi ya halmashauri nne yamesha kutana ambazo NI njombe mji , makambako mji , njombe dc , na wangingombe hapo NI makete na ludewa ndo kidogo zipo mbali ko mkoa wa NJOMBE una advantage ya kukua sana ndo maana viongozi wengi wanaushangaa Kama NI mkoa mpya kwa kasi ya maendeleo ulio nayo na hii zamani kabla njombe haujawa mkoa ilikuwa wilaya moja ya njombe baada kupata mkoa ndo wamemega halmashauri nne lengo NI kuitengeneza njombe ya kitofauti nyanda za juu kusini👇👇👇View attachment 3310916View attachment 3310932
We huyajui mazingira haya hiyo linear settlement itoke wapi hili eneo kwa Sasa makazi yamesambaa kumbuka lilikuwa NI wilaya moja ukifika makambako tu ukiwa eneo la soko la kimataifa utapata view ya eneo tunalo liongelea maana NI tambarare ya kutosha pia ukiwa hifadhi ya mpanga kipengere una pata view yote ko kimiundombinu lilisha imashwa baada ya kumaliza lami ya igwachanya hadi itulahumba saizi wataanza ya mtwango hadi ikuna Hilo eneo tunalo kuonesha Lina sub town zinazo kuwa Kama mtwango , igwachanya , na ilembula plus miji mikubwa ya makambako na njombe hapo tumeacha miji inayo ibuka makete dc na ludewa dcHiyo linear settlement inawachanganya sana sababu kwenu huko naona ni kitu kigeni. Na barabara ya kutoka njombe to makambako hapo katikati inapita ndani ya wilaya ya Wanging'ombe-njombe dc- makambako na ni makazi yanayofuata barabara na pia ni Short distance
View attachment 3312476
Na geita mna mji mmoja tu ambao NI manispaa ya geita vingine NI vi sub town ambavyo kwa Sasa kila Kona ya Tanzania vipoGeita uwanja tunao tayari
Hata Geita ilikuwa wilaya. Na msitafute pa kujifichia, nimeshawawekea miji 7 ndani ya mkoa wa Geita inayokua kwa kasi,
1. Masumbwe
2. Runzewe
3. Ushirombo
4. Nyarugusu
5. Chato
6. Katoro
7. Geita
Njombe mna miji miwili
1. Makambako
2. Njombe
Yaani njombe kuna miji miwili tu unayoweza kulinganisha na miji 7 mikubwa ndani ya mkoa wa Geita
We bado tunakwambia kwa kuhusu suala makazi na future ya mkoa kwa rasilimali ilizo nazo geita kwa njombe imesha achwa tayar Yan geita kinacho wainuaga muonekane NI madini tu Tena ya aina moja tofauti na njombe ambayo kwa Sasa Ina kila fursa na eneo hili ndilo litakalo unda jiji la njombe kulingana na UWEKEZAJI una endelea na ndio miji inavotakiwa kuwa Sasa jamaa unaanza kutuletea kambi za wachimbaji wa madini unasema mji madini yakiisha wanakimbia hakuna uchumi endelevu njombe wametengeneza uchumi endelevu unao mgusa hata raia wa chini huji kusikia analia njaaHiyo linear settlement inawachanganya sana sababu kwenu huko naona ni kitu kigeni. Na barabara ya kutoka njombe to makambako hapo katikati inapita ndani ya wilaya ya Wanging'ombe-njombe dc- makambako na ni makazi yanayofuata barabara na pia ni Short distance
View attachment 3312476
Endelea kujifariji, unaijua vizuri Katoro!? Kwa kanda ya ziwa miji ya kibiashara ukiacha Mwanza na Kahama the next ni Katoro, Masumbwe, Runzewe na Ushirombo ni balaa jingine kanda ya ziwa.Na geita mna mji mmoja tu ambao NI manispaa ya geita vingine NI vi sub town ambavyo kwa Sasa kila Kona ya Tanzania vipo