RO7 ZA MGOS
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 2,388
- 6,913
We fala kweli. Hujui mifumo ya makusanyo ya mapato, matumizi na uidhinishaji wake ikoje bali una bwabwaja tu. Hujui hata mwenye mamlaka ya kutoa fedha za miradi ni nani. Hujui kuwa wakuu wa idara/taasisi kuidhinisha fedha za miradi ni kwa niaba ya mkuu wa nchi?Hiyo stand inayotoa mabasi 100 ni ipi,acha kupiga debe za uwongo...kahama wanajenga kwa pesa za manispaa yao sio pesa ya samia,bladifakeni
Kwanza saizi pesa zipo, watumishi wanaenda seminars,wanaajitiwa ,madaraja wamepandishwa nk..Na bado ana miezi 8 tu,, huyu mama atafanya maajabu
Nahitaji ufafanuzi mzuri; hizo billions 12.5 za kujenga barabara kuzunguka viwanja vya Ummy Mwalimu investment centre, swali; hiyo investment centre ya Ummy Mwalimu iko sehemu gani Manispaa ya Kahama?? Maana hata yenyewe haieleweki !!View attachment 2045659
===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,
Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,
Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,
Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,
Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
View attachment 2045659

Atawale milele kwenye huu huu mwili wa kufa, au baadaye atabadilika kuwa mzimu.......
Lugha tu mkuu wangu, Sijui kama umesoma lugha yakuvumisha
Jabari la siasa [emoji23][emoji23]
Rais samiah hana hela yakitoa isipokuwa serikali inatoa kodi zetu kwenye miradi ya maendeleo acheni kujipendekeza kwa kiwango hichoView attachment 2045659
===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,
Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,
Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,
Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,
Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Tena kwa kumlazimishaaaaa!Hata JPM mlitaka atawale milele.
Mimi mwenyew nashangaaHiyo stand inayotoa mabasi 100 ni ipi,acha kupiga debe za uwongo...kahama wanajenga kwa pesa za manispaa yao sio pesa ya samia,bladifakeni
Ninyi wanafiki mnaharibu sasa na hizo "atawale milele." Mmesahau kilichomkumba Shujaa Mwendazake?View attachment 2045659
===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,
Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,
Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,
Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,
Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Halafu si lazima aende kufagia njia ya uchaguzi mapema mapema huko usukumani ili kusudi hicho kinachoitwaa sukuma gang kisimfungie milango huko, kwani uhangaya kaupatia wapi?Stupidity shall never end. Wanavyokazia katoa hela utafikiri katoa za mfukoni kwake....... hizo ni kodi zetu na ndio kazi zinazotakiwa kufanya. Hamna ubunifu wa maana wa kuleta mageuzi ya kiuchumi.
Unao huo mpango mkuu?Yote ilikuwa kwenye mipango ya Magufuri , na alikuwa ameanza na sehemu nyingine mf Korogwe , Singida , Dar , Msamvu - Moro , Dodoma , Kigoma , Na Mwanza + Geita + Moshi + ambayo zilikiwa on progress pia , ili akija kujenga kahama wale wapuuz wa ukabila wasipate hoja so hatujaona ubunifu wa Mama , afanye kile alichoshindwa Magu mf kuruhusu mzunguko wa ela mtaani , kuto ajira ( sio kutangaza maana hata Magu alikuwa anatangaza ) , kuruhusu siasa ya usawa ( demokrasia )
Nenda Kahama watakuonesha,Hiyo UM Investment Center ipo maeneo gani Mkuu?
RAIS SAMIA KAMA SAMIA NI NOMA,View attachment 2045659
===
Kwanza,Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Investment Centre "ikiwa ni pamoja na mitaro na taa za barabarani,
Pili,Rais Samia Suluhu Hassan atajenga Stand ya kisasa kwenye eneo hili la uwekezaji pamoja na soko la kisasa ambalo litabeba wamachinga wote wakiwemo Mamalishe,
Tatu,Rais Samia pia anajenga Stand kuu ya mabasi ya Mbulu,mtakumbuka Kahama inatoa mabasi zaidi ya 100 ya mikoani kwa siku hakika hakuna kama Rais Samia Suluhu Hassan,
Nne, Rais anajenga pia Soko la Sango litakalochukua wajasiriamali zaidi ya 1,200 kwa mkupuo,
Tano,Sihivyo tu,Rais Samia Suluhu Hassan pia ametoa TZS 10.5BL kwaajili ya Ujenzi wa barabara za Mjini Km 10.5 pamoja na mitaro na Taa za Barabarani .
Tangu Uhuru huyu ndio Rais mwenyewe sasa,RAIS SAMIA KAMA SAMIA NI NOMA,