dump
JF-Expert Member
- Mar 23, 2020
- 758
- 1,154
Kwa nini useme ni washamba tuanzie hapo, kuhusu kujenga miundo mbinu ya Barabara ni kazi ya wana inchi au serikali? Una sema mji una Nuka ni kweli, huko kwenu Dara hapa nuki? Acha uboya mshamba mkKahama ni mji unaosifiwa sana na watu washamba ambao hawajatembea miji ya wenzetu ambao wanatumia rasilimali zao vizuri kupendezesha miji yao.
Siku nilipofika kahama nikawa najiuliza hizi sifa zinazomiminwa kuwa kahama ni mji mzuri kwa nini mimi sizioni.Ukianzia miundombinu ya barabara ni mashimo tu na vumbi la kutosha.Mji wenyewe kwa ujumla umejengwa kiholela(hakuna mvuto na unanuka(kila sehemu takataka.
Stendi yenyewe ya hovyo tu licha ya kuwa na mapato makubwa yatokanayo na migodi.NINYI WASHAMBA MNAOSIFIA HUU UTOPOLO MJITAFAKARI AU MJITAHIDI MTEMBELEE NCHI ZA ULAYA AU HATA TU RWANDA.NAHITIMISHA KUWA MIPANGO MIJI TANZANIA NI ZERO.