jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,323
Kupitia wapo radio nimesikia.
Wanajamvi,
Salaam.
Taharuki imetanda huu mjini Kahama,moto mkubwa umezuka ambao chanzo chake bado hakijafahamika,unaendelea kuteketeza maduka ya kuuza mbao yaliyoko hapo.
Moto ni mkubwa na wananchi kwa juhudi zao hawajafanikiwa kuuzima wala kuokoa chochote kule ulikoanzia.
Kwa wale wenyeji wa kahama,tukio lipo stendi ndogo ya daladala karibu na kanisa la EAGT. Ntaendelea kuwajuza kinachoendelea.
Source;mimi mwenyewe.