Kahama: Moto wateketeza maduka ya kuuza mbao

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,322
Kupitia wapo radio nimesikia.

Wanajamvi,
Salaam.
Taharuki imetanda huu mjini Kahama,moto mkubwa umezuka ambao chanzo chake bado hakijafahamika,unaendelea kuteketeza maduka ya kuuza mbao yaliyoko hapo.

Moto ni mkubwa na wananchi kwa juhudi zao hawajafanikiwa kuuzima wala kuokoa chochote kule ulikoanzia.

Kwa wale wenyeji wa kahama,tukio lipo stendi ndogo ya daladala karibu na kanisa la EAGT. Ntaendelea kuwajuza kinachoendelea.
1473878740373.jpg

Source;mimi mwenyewe.
 
Kahama maduka takribani mia moja na viwanda kadhaa vyalipotiwa kuteketea kwa moto kuanzia saa12 za leo jioni. Kuna nini Tanzania? Mbona majanga yamezidi?
MUNGU ibariki Tanzania.
 
Mkuu kumbe huna akili kiasi hiki? Ni wewe unaekesha hapa kumkosoa Magu kumbe kichwani mwako hewa kabisa?.

Taarifa gani hii sasa
 
Wanajamvi,
Salaam.
Taharuki imetanda huu mjini Kahama,moto mkubwa umezuka ambao chanzo chake bado hakijafahamika,unaendelea kuteketeza maduka ya kuuza mbao yaliyoko hapo.

Moto ni mkubwa na wananchi kwa juhudi zao hawajafanikiwa kuuzima wala kuokoa chochote kule ulikoanzia.

Kwa wale wenyeji wa kahama,tukio lipo stendi ndogo ya daladala karibu na kanisa la EAGT. Ntaendelea kuwajuza kinachoendelea.

Source;mimi mwenyewe.

1473878740373.jpg
 
  • Thanks
Reactions: 911
Dah mitaji ya watu hapo na Hays Maisha ya Kazi Tu. Alafu ukute Una marejesho Bank Dah. I can't imagine kwa wahanga. Pole yao Sana maana wa tetemeko wako nje mpaka sasa sijui nano atwatazama hawa waliopoteza mitaji
 
Pole kwa waliofikwa na hilo janga
Mungu awasimamie katika hiki kipindi kigumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom