Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Kma ni mume wa mtu wa karibu yako utamshauri nin mwanamke mwenzako?Hii ndo dawa ya wanaume wasiotulia kwenye ndoa zao..big up kwa huyo malaya
Kma ni mume wa mtu wa karibu yako utamshauri nin mwanamke mwenzako?Hii ndo dawa ya wanaume wasiotulia kwenye ndoa zao..big up kwa huyo malaya
Mm siwez mshauri mtu kwenye mapenzi maana sijui moyon mwake anampenda mume wake kwa kiasi ganKma ni mume watu wa karibu yako utamshauri nin mwanamke mwenzako?
Nimekuelewa sana.Mm siwez mshauri mtu kwenye mapenzi maana sijui moyon mwake anampenda mume wake kwa kiasi gan
Ila kwangu mm namuacha apambane tu na hali yake maana ameyataka..angekuwa amepata ajali nyingine ningemuelewa na maisha yanaeñdelea bila hata shida yoyote na wala upendo usingepungua hata chembe.
Hayo matamanio huwa mnayaendekeza tu ...ila kutulia inawezekana sana...binadamu n kiumbe mwenye utashi sasa haya mambo yanahitaji akili kuyacontrol...ila mtu ukiamua kuendeshwa na mihemko ndo inakuja balaaNimekuelewa sana.
Tatizo kubwa ni kushindwa kusema na nafsi zetu na hya matamanio.
Lkini hta hvyo sio wanaume pekeyao hta wanawake hukuaga hvyo.Hayo matamanio huwa mnayaendekeza tu ...ila kutulia inawezekana sana...binadamu n kiumbe mwenye utashi sasa haya mambo yanahitaji akili kuyacontrol...ila mtu ukiamua kuendeshwa na mihemko ndo inakuja balaa
Hata wanyama wanajicontrol kuliko binadamu siku hizi japokuwa hawana utashi..kwa hiyo binadamu wanajiendekeza tu
Yeah wote wana matatizoLkini hta hvyo sio wanaume pekeyao hta wanawake hukuaga hvyo.
Hii issue ya kuchepuka imekosa hta suluhisho unaweza kuniambia tatzo lko wapi?Though wanaume ndo huwa wanajitetea sana kwamba kuchepuka n lazima
Inahitaji kutumia akili na siyo mihemko..kila mtu ana akili anajua jema na baya...watu waache kujiendekeza eti kuchepuka lazima kwamba mtu usipochepuka utakufa? Ila wengine n tabia zao hawabadiliki sawa na mwizi...muongo ..mnafiki n.kHii issue ya kuchepuka imekosa hta suluhisho unaweza kuniambia tatzo lko wapi?
Lkini matamanio hushinda akili.Inahitaji kutumia akili na siyo mihemko..kila mtu ana akili anajua jema na baya...watu waache kujiendekeza eti kuchepuka lazima kwamba mtu usipochepuka utakufa? Ila wengine n tabia zao hawabadiliki sawa na mwizi...muongo ..mnafiki n.k
Inategemea unachukua demu gani,Malaya wana classesNilikuwa nawaogopa sana malaya ila pia natamani kuonja ata mara 1 hatimae nilifanikiwa kujaribu ilo juzi kati hapa..Aisee ule uchafu sitokuja kujaribu tena niwape heshima wadau wote wa wale watu ule uchafu mm hapana tena..
Umeua aisee, kwa hiyo jamaa ndo kinakuwa kimenuka!
Inasikitisha sana. Wao hawajali afya zao..... Wewe uliyechukua malaya wa ambiance..... Anaye - bleed ndio unayejali afya yako? Mkeo umemwacha nyumbani..... Like seriously.....!!Kuna siku, nimekula zangu beer hapo ambiance, natoka nje, nakuta mdada poa, nikaenda mfumua kule nyuma marie stopers, kumbe yule malaya alikua ana bread, nafika home, nacheki kwenye suruali kuna midamu, lahaula, nikatudi zangu hadi kwa mangi, nikanunua maji, nikalowanisha kwenye zipu pale, nikasafirisha, kwa kitambaa, nikanunua na beer, nikamwagia kidogo, nafika ndani wife anauliza ulienda wapi tena, nikasema kwa Mangi, kununua mkate, ila nimekuta mlevi kanimwagia beer kwenye suruali, ngoja niiloweke kabisa isije shika uvundo, tangu siku hiyo nikaacha kula malaya kwa wima, nikiwa na nguo zangu, wale hawajali afya zao kabisa.....
unafukua makaburi bro 😂😂Mshikaji uko poa? Pole....
Mkuu!!!; aiseeeeeKuna siku, nimekula zangu beer hapo ambiance, natoka nje, nakuta mdada poa, nikaenda mfumua kule nyuma marie stopers, kumbe yule malaya alikua ana bread, nafika home, nacheki kwenye suruali kuna midamu, lahaula, nikatudi zangu hadi kwa mangi, nikanunua maji, nikalowanisha kwenye zipu pale, nikasafirisha, kwa kitambaa, nikanunua na beer, nikamwagia kidogo, nafika ndani wife anauliza ulienda wapi tena, nikasema kwa Mangi, kununua mkate, ila nimekuta mlevi kanimwagia beer kwenye suruali, ngoja niiloweke kabisa isije shika uvundo, tangu siku hiyo nikaacha kula malaya kwa wima, nikiwa na nguo zangu, wale hawajali afya zao kabisa.....