Kahaba kanifanya niwaze mambo mengi sana

Kahaba kanifanya niwaze mambo mengi sana

Hahaa, acha masikhara jf humu ni great thinkers tupu, hatuwezi fanya hivo bana

Hapo ulivomalizia ndyo umeharibu mi si mrembo hata, kawaida sanaa[emoji2]
Demiss na genge lao ni great thinker embu kuwa serious, bora yako wewe ulifight ukapata kibarua na una kwako maeneo ya ubungo.

wachache humu mnajielewa sio wote, humu ndani kuna majambazi ya mapenzi hasa full kununuliwa usiku kucha.
 
Dah japo situmii hayo makitu, ningekutana naye barabarani akaniambia katika kugawa kwa 2000 ningezidisha mara kumi kama kutoa dhaka
 
Elfu mbili? Itabidi nami nikapajue apo
Sasa wakuu I hope mko poa sasa ipo ivi leo katika pitapita zangu mjini nikapitia chimbo la buguruni malapa wanakojiuza makahaba nikachagua ninayemtaka tuka ongea bei akakubali elfu mbili nikazama ndani nikakutana na nyimbo za gospel anasikiliza kwenye simu yake haikuwa shida nikaanza kufanya kilichonipeleka sasa ukaanza wimbo wa upendo nkone -uniongoze yesu ukanifanya nijisikie vibaya sana kutokana na ujumbe wa huo wimbo nikafikiria huyu mtu atakuwa kakutana na vingap mpaka leo anamkumbuka mungu kwa nyimbo km hizi ndani ya danguro ambalo analipwa elfu mbili. Nilipomaliza nae ikabidi nimwongezee elf tatu iwe elf tano nikaondoka zangu
 
Wanapitia magumu sana ndo maana kuna wakati ni lazima kumkumbuka MUNGU.
Haijalishi binadamu anafanya mini cha kumfrahisha MUNGU AU cha kumchukiza lakini hachoki kumwomba MUNGU.Kwani ndo mkombozi wetu sote
Sure jamaaa kaleta kama story ya kawaida ila funzo debe
 
Ndo wale wale tunaokutana nao kwenye daladala sema location utakayomkuta tuu ndo ita determine bei
Mwanaume unaanza kumtongoza halafu moyoni unasema huyu ndiye mke mwema niliyekuwa namtafuta siku zote.
 
Sasa mkuu 2000 hela ya chumba kalipa kiasi gani??
Yaani inabidi ujionee aibu,mwanaume unanua papuchi kwa 2k kweli!!!
Unapoenda dukani ukakuta unga kilo moja inauzwa 1000 kwahiyo utanunua kwa shilingi 5,000? Siyo kosa lake kwasababu ndiyo bei halisi
 
Back
Top Bottom