Kahaba kanifanya niwaze mambo mengi sana

Kahaba kanifanya niwaze mambo mengi sana

Bei ikifika Tsh 500 nishtueni mi hyo gharama kubwa kwangu wakifka Tsh 500 mniambie
 
Sasa wakuu I hope mko poa sasa ipo ivi leo katika pitapita zangu mjini nikapitia chimbo la buguruni malapa wanakojiuza makahaba nikachagua ninayemtaka tuka ongea bei akakubali elfu mbili nikazama ndani nikakutana na nyimbo za gospel anasikiliza kwenye simu yake haikuwa shida nikaanza kufanya kilichonipeleka sasa ukaanza wimbo wa upendo nkone -uniongoze yesu ukanifanya nijisikie vibaya sana kutokana na ujumbe wa huo wimbo nikafikiria huyu mtu atakuwa kakutana na vingap mpaka leo anamkumbuka mungu kwa nyimbo km hizi ndani ya danguro ambalo analipwa elfu mbili. Nilipomaliza nae ikabidi nimwongezee elf tatu iwe elf tano nikaondoka zangu
Mzee bado unanunua marap marap!aka nyama za mafungu!
 
Mi sielewi kirefu cha 'k' mfn 2k
K ni kilo.

Kilo ni elfu. Ni '000

Popote penye k unazidisha kwa 1000. Kama hamna desimali unaweza ukaongeza sifuri 3 kurahisisha.

2k = 2 '000 = buku 2
20k = 20 '000 = elfu 20
67k = 67 '000 = elfu 67
260k = 260 '000 = laki 2 na sitini

Penye desimali sasa inakua patamu. Hapo lazim uzidishe kwa 1000

2.5k = 2.5 x 1000 = 2500
68.7k = 68.7 x 1000 = 68700
250.25k =250.25 x 1000 = 250250
 
Huwezi jua mja unaemuhukumu kwa matendo yake akaiona pepo kuliko wewe unayejihesabia haki. Mungu anaona hata zile vita vya nafsi za waja wake kuliko hizo hukumu za walimwengu.
 
Back
Top Bottom