Kahaba kanifanya niwaze mambo mengi sana

Kahaba kanifanya niwaze mambo mengi sana

K ni kilo.

Kilo ni elfu. Ni '000

Popote penye k unazidisha kwa 1000. Kama hamna desimali unaweza ukaongeza sifuri 3 kurahisisha.

2k = 2 '000 = buku 2
20k = 20 '000 = elfu 20
67k = 67 '000 = elfu 67
260k = 260 '000 = laki 2 na sitini

Penye desimali sasa inakua patamu. Hapo lazim uzidishe kwa 1000

2.5k = 2.5 x 1000 = 2500
68.7k = 68.7 x 1000 = 68700
250.25k =250.25 x 1000 = 250250
Bora yako umetoa elimu mzee baba, jambo la maana sana.

Y2K ilinichanganyaga sana ilipovuma mwaka 2000 na sikuwahi kuelewaga hadi nilipofika mwaka 2012 ndio nikaelewa kumbe ile Y= Year
2K= 2000
 
Mambo gani amekufanya uwaze kea kahaba mwenzio.....?
 
Mi nawaza tu huyo anayejiuza kwa elfu mbili, Ni maisha magumu au karogwa? Upondwepondwe kwa elfu mbili kweli 🙄
 
Mi nawaza tu huyo anayejiuza kwa elfu mbili, Ni maisha magumu au karogwa? Upondwepondwe kwa elfu mbili kweli [emoji849]
ugumu wa maisha mkuu mtu analiwa mtungo (Mande) Kwa buku 4 na njemba mbili kisa buku 4
 
ugumu wa maisha mkuu mtu analiwa mtungo (Mande) Kwa buku 4 na njemba mbili kisa buku 4
Kwanini achague kazi ngumu hivyo kwa ujira mdogo? Hiyo elfu mbili angeuza karanga angepata nyingi zaidi. Mi naona ni ukosefu wa akili. Ni Bora uamue kuwa kahaba first class kuliko wa buku mbili yaani hasara juu ya hasara
 
Hasara VP wakati anatembea na mtaji
 
Ulipata ujasili wa kuchomeka dushe kwenye K ya 2000.

Inasikitisha sana.
[emoji24][emoji24] hilo kweli kabisa, lakini inawezekana wanafanana aina zao hata akiwa na mke ni rahisi sana kwenda kuopoa
 
Back
Top Bottom