Kahaba kanifanya niwaze mambo mengi sana

clefting

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2019
Posts
222
Reaction score
393
Sasa wakuu I hope mko poa sasa ipo ivi leo katika pitapita zangu mjini nikapitia chimbo la buguruni malapa wanakojiuza makahaba nikachagua ninayemtaka tuka ongea bei akakubali elfu mbili nikazama ndani nikakutana na nyimbo za gospel anasikiliza kwenye simu yake haikuwa shida nikaanza kufanya kilichonipeleka sasa ukaanza wimbo wa upendo nkone -uniongoze yesu ukanifanya nijisikie vibaya sana kutokana na ujumbe wa huo wimbo nikafikiria huyu mtu atakuwa kakutana na vingap mpaka leo anamkumbuka mungu kwa nyimbo km hizi ndani ya danguro ambalo analipwa elfu mbili. Nilipomaliza nae ikabidi nimwongezee elf tatu iwe elf tano nikaondoka zangu
 
Elfu mbili ..duuuh.... Makumaku imekuja kuwa Bei rahisi hivyo
 
Yes! inaweza kuwa anahitaji kumgeukia Mola wake (kila mmoja wetu ana dhamira) au

No! Ni shetani tu anataka umuonee huruma usikatishe safari uliyoanza kuelekea huko ktk upotovu.
 
Sasa wakuu I hope mko poa sasa ipo ivi leo katika pitapita zangu mjini nikapitia chimbo la buguruni malapa wanakojiuza makahaba nikachagua ninayemtaka tuka ongea bei akakubali elfu mbili nikazama ndani nikakutana na nyimbo za gospel anasikiliza kwenye simu yake haikuwa shida nikaanza kufanya kilichonipeleka sasa ukaanza wimbo wa upendo nkone -uniongoze yesu ukanifanya nijisikie vibaya sana kutokana na ujumbe wa huo wimbo nikafikiria huyu mtu atakuwa kakutana na vingap mpaka leo anamkumbuka mungu kwa nyimbo km hizi ndani ya danguro ambalo analipwa elfu mbili. Nilipomaliza nae ikabidi nimwongezee elf tatu iwe elf tano nikaondoka zangu
Buguruni malapa hapajawahi na wala hakuna wauza mbunye....wengi wapo kwanzia rozana hadi sheri kule kote wametapakaa.
 
Back
Top Bottom