Sasa wakuu I hope mko poa sasa ipo ivi leo katika pitapita zangu mjini nikapitia chimbo la buguruni malapa wanakojiuza makahaba nikachagua ninayemtaka tuka ongea bei akakubali elfu mbili nikazama ndani nikakutana na nyimbo za gospel anasikiliza kwenye simu yake haikuwa shida nikaanza kufanya kilichonipeleka sasa ukaanza wimbo wa upendo nkone -uniongoze yesu ukanifanya nijisikie vibaya sana kutokana na ujumbe wa huo wimbo nikafikiria huyu mtu atakuwa kakutana na vingap mpaka leo anamkumbuka mungu kwa nyimbo km hizi ndani ya danguro ambalo analipwa elfu mbili. Nilipomaliza nae ikabidi nimwongezee elf tatu iwe elf tano nikaondoka zangu